Rais Samia ampokea Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris, Ikulu Dar es Salaam leo Machi 30, 2023

Katika maeneo mengine sina shida, hasa ya kiuchumi na kisiasa. Lakini eneo la msaada wa kijamii na la wanawake, halafu yakichagizwa na maneno matamu ya suala zima la usimamizi mzuri wa demokrasia kidogo hapo nina "zoom" ili kuzidi kujionea. "Bi Harris vilevile ameipongeza serikali ya Tanzania katika suala zima la usimamizi wa demokrasia huku akisisitiza ushirikishwaji zaidi wa wanawake katika demokrasia ambapo ametangaza Marekani kutoa kiasi cha dola bilioni moja kusaidia wanawake katika eneo hilo"
 
tuomba kufahamu kama huo msaada una masharti yoyote?
umasikini ni mbaya sana
Masharti ya Marekani Yako wazi ni Demokrasia na Haki za binadamu ndio principal zao,Nchi zinzofuata hivyo inakuwa ni kufaulu Kwa ushawishi wa Marekani wa sera zake za Nje.

Ni kweli umaskini ni mbaya ila maskini mwenzio hawezi kukutoa kwenye umaskini ni wewe mwenyewe kucheza vyema na tajiri.
 

Majizi yameshika calculator tayari kiweka figure kwenye invoice
 
 Capitalism and corruption are brother and sister if we real want to eradicate corruption we must welcome socialism, take example of China, Russia, North Korea etc.
 
Wahuni tu hao ..kama wana mpunga waende wakamlize vita huko Somalia, Congo na Ethiopia.


Tangu lini mzungu akaipenda ngozi nyeusi..mnakatazwa kutumia dawa za kienyeji mkidaganywa kuwa ni ushirikina muda huo huo wanatumia mimea kutengeneza dawa.


Poor Africa.
 
Wao ndio waliwaambia wapigane? Muuane nyie alaumiwe Marekani?Acha ujinga
 
Obama alikuja bongo 2013 ni kipi kimebadilika ...acheni mawazo mgando.
 
Obama alikuja bongo 2013 ni kipi kimebadilika ...acheni mawazo mgando.
Hujui kitu ila unapayuka tuu..

Wewe ndio ulitoa pes za kujenga Barabara ya Tunduma Sumbawanga?

Au wajomba zako ndio wlitoa pesa za kujenga Barabara ya Songea Masasi?

Au wewe ndio Huwa unatoa pesa za malaria,kifua Kikuu,ukimwi na chanjo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…