[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Wakimfukuza wanakuwa wamemhukumu na hivyo kupata escape route, lengo la kumsimamisha ni ili kumkondesha kwanza, na aonyeshe network yake yote na hatimaye ajinyonge, mwenyewe
Jokate sina shida nae kabisaJokate anapiga kazi nzuri apewe Mkoa wa Mbeya
What a beautiful news!!!!
Mungu anaendelea kusafisha SUKUMA GANG
Nkimawane Konyagi ndogo itaamsha mzukaEnjoy...mie ngoja nitoke tu..sikua na mpango kbs...jamani taarifa kama hizi muwe mnatupa mapemaaa..saa9 hivi tunaipata💃💃🤸♂️🤸♂️
Huyu Madam SSH anafanya kazi au anafanya maamuzi kwa kusikiliza kelele na porojo za mitandaoni.
Ni hatari sana kuwa na Rais anayesikiliza umbea, udaku na mihemuko ya mitandaoni kisha anachukua maamuzi ili kuwaridhisha followers wake.
Kaaazi kweli kweli!!!
Nafikiri kusimamishwa kupisha uchunguzi maana halisi ni kuwa kama kuna matukio ya jinai atashughulikiwa kwa mujibu wa sheria.Huyu alikuwa wa kumfukuza kazi kisha kukusanya udhahidi dhidi ya maovu yake mbali mbali ya kupora watu, kuwadhalilisha kwa namna mbali mbaliu, kuwalawiti na kuwajeruhi nadhani pia kuna tuhuma za mauaji dhidi ya huyo dhalimu.
Weee konyagi hapana....!ile noNkimawane Konyagi ndogo itaamsha mzuka
Tena alikuwa anajidai kuwa anaripoti moja kwa moja kwa mwendazakeIla Jiwe alikuwa anafuga misukule ya ajabu sana, sasa mtu kama Sabaya unakaa nae wa nini
Huyu tulimwambia mahojiano na Clouds hayata mwacha salama. Sasa akachambie rungu.Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemsimamisha kazi Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ili kupisha uchunguzi wa tuhuma mbalimbali zinazomkabili kuanzia leo, Mei 13, 2021
Aidha, Rais Samia amefanya teuzi za Viongozi mbalimbali ambao uteuzi wao unaanza leo
View attachment 1783582
Habari ndo hiyo
Nawatakia Eid Njema.
====
Alizaliwa mwaka 1980 katika mkoa wa Arusha
CHAMA: CCM
#NA SASA KAZI IMEANZA#
TAARIFA ZA ELIMU YAKE
SVISC. MASSACHUSET UNIVERSITY USA
BSC.ED ST JOHN UNIVERSITY DODOMA
UNED: SINIOUR SIX –BUGEMA HIGH SCHOOL-UGANDA.
FORM IV: IKIZU SEC SCHOOL
STD VII: SAMBASHA PRIMARY SCHOOL.
OTHERS: IST: PRESIDENT ST. JOHN’S UNIVERSITY DODOMA 2007.
CHAPEL PREFECT BUGEMA HIGH SCHOOL UGANDA.
CEO: TANZANIA YOUTH DEVELOPMENT CENTRE
SEMINARS BSYMPOSIUM: S. KOREA YOUTH CONFERENCE ,SOUL
YOUTH SUMMIT COMMISSIONED BY HON. PINDA TYDC:2010
CAPRIPOINT YOUTH EMPOWERMENT 2014
View attachment 1783581
Salamu tosha kwa kina Ndugai na genge lake. Jana nilimtaka Saa Mbaya awatake radhi wote aliowakosea. Hakunielewa. Chala mguu sawa. Kaskazini hadi Kusini.Ukizingua Mama anakuzingua, haya ndo masalia ya Bwana yule yaliyozidi kujimwambafai hata katika awamu ya sita! Mama Hongera, hii inaonesha jinsi ulivyo msikivu tofauti na Bwana Yule!
Mama Samia Suluhu Hassan, Mungu akupe maisha marefu
Ukiwa kiongozi mwenye maono muite na muulize tatizo ni nini? Baada ya hapo tafuta mbinu ya kusikiliza upande unaolalamika baada ya hapo fanya maamuzi, tofauti na hivyo huu ni mwendelezo wa Rais anae sikiliza maoni ya watu pasipo kujiridhisha.Hapo mwisho hapana mkuu huko ni kumdhalilisha Rais wetu na kumtweza kusikohimilika tuwe na staha
Muhimu mama amempiga chiniKama ameshamtoa dikteta Mbowe haina shida.
Watu wa Hai hawatarudi tena kanani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila Jiwe alikuwa anafuga misukule ya ajabu sana, sasa mtu kama Sabaya unakaa nae wa nini
Hahahaha mchepsUwiii nikiliangalia hili jambazi nahisi kutapika(hapo lilikuwa linawaza sijui itakuwaje)
Masiala pembeni mimi mke mdogo wa Sabaya nimepokea kwa masikitiko taarifa hizi
Hahahahahahahabaa my ribsKwahiyo tuseme Clouds tv wamekula hela ya bure...