Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

Mgaya yupo sahihi. Huyu Sabaya mpumbavu sana. Alidhani anaweza kujisafisha simply tu kwa kwenda kulipia airtime studio?

Mama Samia kafanya sawa kumuweka pembeni ili tuhuma zake mwisho wa siku vyombo vya dola videal nae perpendiculary.
 
Kwa kuwa hatima yetu hatuijui, hivyo basi yatupasa tusiyafurahie masahibu ya wangine
 
Alizaliwa mwaka 1980 katika mkoa wa Arusha

Hayati John Pombe Magufuli tarehe 28 Julai, 2018 alimteua Sabaya kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai
Watu wa ajabu ajabu kama hawa sijui alikuwa anawaokota wapi?

Hivi hizi elimu hazina maana yoyote tena Tanzania? Kila aina ya uchafu ni sawa, twende tu!
 
Inabidi uwe na akili nyingi sana ndipo uweze kuelewa vyema maana halisi ya kauli ya Mama kuwa "Mimi na Magufuli ni kitu kimoja". Na Mataga kamwe hamtaelewa badala yake kila siku mtakuwa mnaishia kushangaa namna Miungu-watu wanavyomomonyoka taratibu 😂😂 Tulianza na jamaa uchwara(Kakurwa) tukaja mavieite(Chakubanga) na hatimaye Sabaya. Aishi maisha marefu Mama Samia🙏🙏
 
Mama anatatua matatizo ya pande zote mbili sasa upinzani unanafasi gani? Common sense.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…