Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
hapa mama anajaribu kuwaeleza hivyo pia[emoji23][emoji23][emoji23]Sabaya alitumwa jimbo la Hai na Magufuli kwenda kulawiti wananchi kisa ni jimbo la upinzani.Magufuli was a hopeless sinner who died for a good reason!
Kuna wahuni hawataki haya mambo yanayotendekea kwa sasa. Hawaamini kabisa.Huyu Ole Sabaya habari zake ni muda sasa amekuwa akilalamikiwa.
Lakini mamlaka ya uteuzi huko nyuma walikuwa wanamuangalia tu.
Walioingia sasa hawataki unafiki, ni mwendo wa tengua tu.
Yule jamaa aliyelawitiwa yukos wapiBarua kutoka kwa msemaji wa IkuluView attachment 1783579
Ahaaa, hakuna haja ya kusubiri.
Wasiofaa wanajulikana.Mongella na Chalamila hawafai. Wengine kibao tu hawafai.Slowly but surely!! Success is not an overnight phenomena!
kwani kigogo anasemaje kuhusu bimkubwa na paulo[emoji1787][emoji1787].DAB naye inabidi afunguliwe mashtaka ya kuondoa haki ya kuishi kwa baadhi ya watu kama USA walivyoreport.
Wasukuma hoi[emoji1][emoji1][emoji1]Mongella hafai na Chalamila hafai. Mtu anayetetea wauaji hafai.
Unadonyoa kwa lipi?Yule mwingine umemsahau? Alisema yeye huwa hapangiwi!
Kwanini mama mnataka kumpangia?
Ngoja mama aendelee kudonyoa mmoja mmoja. Pale wizara ya afya, mbeya, bot, TPA nk bado pana vichwa vya kula.
Huyu katelefoni anaweza kuwa na kichwa kitamu zaidi.
Au nasema uongo ndugu zangu?