Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

Unasema Hujawaji na Hutawahi kuipinga serikali?

Wewe si kila siku hapa Unapingana na Serikali ya Mama!!!

Kweli Mataga mmechanganyikiwa. Hamjui lipi mshike lipi muache
Mmechanganyikiwa nyinyi msiojua samia alikuwa makamu wa magufuli.
[emoji3][emoji3]sasa anayofanya mnamuunga mkono.
 
Mama amenifurahisha sana leo. Woyoo woyoo!! πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ‘πŸ‘πŸ™πŸ€πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Kuna Clip moja alikuwa akimuonyesha dharau Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mama Anna Mughwira eti kwa kuwa ni Mwanamke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…