Pimbi unampa jina zuri. huyo hayawaniBora alivoondolewa huyo pimbi....
[emoji23][emoji1][emoji23][emoji1][emoji23][emoji1]
Hivi huyo msanii aliyekua anatakwa na sabaya hotelini hapo ni nani? Na ni jinsia gani?Daah sikuwahi kuiona hii clip...ndio nimeiona leo..dah roho imeniuma utafikiri huyu baba ni ndugu yangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wacha weeeehAfungwe kabisa
Mama aongezewe ulinzi hahahaSASA NAMWELEWA MAZAAAA!!!
Daah sikuwahi kuiona hii clip...ndio nimeiona leo..dah roho imeniuma utafikiri huyu baba ni ndugu yangu
Mama aongezewe ulinzi hahahaSASA NAMWELEWA MAZAAAA!!!
Tutalala vila kujifunikaLeo Watanzania tutalala kwa amani sasa.
Asante mama
Hiyo clip uliyopost, huyo baba kasema kuna mteja alifika hotelini kwake, ambaye ni msanii mkubwa hapa Tz, sasa alikua anahitajika na sabaya, hadi kufikia kuleta fujo,Inasikitisha sana kusema kweli. Huyu na Bashite si ajabu na Wakuu wa Mikoa na Wilaya wengine wamewadhalilisha na kuwatesa Watanzania wengi sana pia kujipatia utajiri mkubwa kwa njia haramu. Humu kuna watu walikuwa wanahoji utajiri mkubwa wa Bashite katika kipindi kifupi ikiwemo nyumba na magari ya kifahari. Kuna tuhuma kwamba Bashite naye alikuwa akipita jijini Dar kwa Wafanyabishara wakubwa kukusanya millions kwa jina la maccm. Je, kama ni kweli pesa hizo alizifikisha ccm? Na utajiri wake mkubwa ndani ya kipindi kifupi cha less than 5 years ameupataje!?
Mwenyezi Mungu fundi sana vinginevyo kuendelea kuishi kwa yule dhalimu Watanzania wengi wangedhalilishwa na kunyanyasika sana. Mwenyezi Mungu ashukuriwe sana. [emoji1488]
Wanaohesabu safari za mama ni MATAGA na Sukuma Gang. Mbona CDM wana msuport sana mama yetu? Upinzani wako huru Sasa, hawajapigwa virungu, hawajapigwa risasi, hawajatekwa na kupigwa na kurejeshwa mahututi, hawajatekwa na kupotea kabisa n.k. Sasa kwa akili yako unafikiri Wapinzani wanamchukia our dearest President? Hao ni upinzani tu Achilia wale waliobambikizwa kesi za hujumu uchumi, kuchukuliwa pesa a.k.a ujambazi bila silaha, biashara kufilisiwa, mali kufilisiwa n.k kisa wana mrengo wa upinzani au chuki binafsi.Washasahau mpaka kuhesabu safari za mama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Apa tunasema watanzania sio chadema au umetumwaChadema mlipaswa kumshukuru huyu bwana mdogo maana alishawaonyesha njia kuwa inawezekana kumtoa bwana yule kwenye ubunge wa kudumu so kazi kidogo libaki kwenu tu kumchomoa katika uenyekiti wa maisha.
I had no idea Ana CV ya ovyo kiasi hicho.
My goodness. How does he sleep at night?
Mama anatekeleza sera za CCMWanaohesabu safari za mama ni MATAGA na Sukuma Gang. Mbona CDM wana msuport sana mama yetu? Upinzani wako huru Sasa, hawajapigwa virungu, hawajapigwa risasi, hawajatekwa na kupigwa na kurejeshwa mahututi, hawajatekwa na kupotea kabisa n.k. Sasa kwa akili yako unafikiri Wapinzani wanamchukia our dearest President? Hao ni upinzani tu Achilia wale waliobambikizwa kesi za hujumu uchumi, kuchukuliwa pesa a.k.a ujambazi bila silaha, biashara kufilisiwa, mali kufilisiwa n.k kisa wana mrengo wa upinzani au chuki binafsi.
Hao ni wachache.
Kwa sasa Tanzania imelipuka kwa FURAHA, amani, uhuru n.k
Mama anapendwa na wengi mno ndani na nje ya mipaka. Yaani dunia nzima. Huenda hata 2025 Wapinzani wasisimamishe mgombea Urais maana huyu mama anatosha mno.
It's very sad indeedYaani kwanini wengi wa hawa watu wenye makandokando mengi, CV zao ni kama za kuunga-unga mno???
Wanafiki hamchelewi kugeukana ! mwenye bia nyingi mezani ndio wako !Nyie nanyi mnajitekenya na kucheka wewenyewe heheheeee
Alitumbuliwa Lowasa akiwa waziri, wakatumbuliwa mawaziri kina Lugola mkuu sembuse mkuu wa wilaya Sabaya🙄🙄
Hiyo ndio CCM baba lao
DC wa Iringa, Arusha na RC wa Iringa nao wapitiwe
Wanafiki hamchelewi kugeukana ! mwenye bia nyingi mezani ndio wako !
Ni nandiHiyo clip uliyopost, huyo baba kasema kuna mteja alifika hotelini kwake, ambaye ni msanii mkubwa hapa Tz, sasa alikua anahitajika na sabaya, hadi kufikia kuleta fujo,
Huyo msanii ni nani na jinsia gani. Nahitaji kujuzwa.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Acha akasome magazeti. Washenzi wa yule jamaa wa March 2021. Safisha maji taka hizi.Na ile ya Biswalo kutolewa kuwa DPP na kupelekwa kwenye korido za mahakama!!!