Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

Inasikitisha sana kusema kweli. Huyu na Bashite si ajabu na Wakuu wa Mikoa na Wilaya wengine wamewadhalilisha na kuwatesa Watanzania wengi sana pia kujipatia utajiri mkubwa kwa njia haramu. Humu kuna watu walikuwa wanahoji utajiri mkubwa wa Bashite katika kipindi kifupi ikiwemo nyumba na magari ya kifahari. Kuna tuhuma kwamba Bashite naye alikuwa akipita jijini Dar kwa Wafanyabishara wakubwa kukusanya millions kwa jina la maccm. Je, kama ni kweli pesa hizo alizifikisha ccm? Na utajiri wake mkubwa ndani ya kipindi kifupi cha less than 5 years ameupataje!?

Mwenyezi Mungu fundi sana vinginevyo kuendelea kuishi kwa yule dhalimu Watanzania wengi wangedhalilishwa na kunyanyasika sana. Mwenyezi Mungu ashukuriwe sana. 🙏🏾
Daah sikuwahi kuiona hii clip...ndio nimeiona leo..dah roho imeniuma utafikiri huyu baba ni ndugu yangu
 
Inasikitisha sana kusema kweli. Huyu na Bashite si ajabu na Wakuu wa Mikoa na Wilaya wengine wamewadhalilisha na kuwatesa Watanzania wengi sana pia kujipatia utajiri mkubwa kwa njia haramu. Humu kuna watu walikuwa wanahoji utajiri mkubwa wa Bashite katika kipindi kifupi ikiwemo nyumba na magari ya kifahari. Kuna tuhuma kwamba Bashite naye alikuwa akipita jijini Dar kwa Wafanyabishara wakubwa kukusanya millions kwa jina la maccm. Je, kama ni kweli pesa hizo alizifikisha ccm? Na utajiri wake mkubwa ndani ya kipindi kifupi cha less than 5 years ameupataje!?

Mwenyezi Mungu fundi sana vinginevyo kuendelea kuishi kwa yule dhalimu Watanzania wengi wangedhalilishwa na kunyanyasika sana. Mwenyezi Mungu ashukuriwe sana. [emoji1488]
Hiyo clip uliyopost, huyo baba kasema kuna mteja alifika hotelini kwake, ambaye ni msanii mkubwa hapa Tz, sasa alikua anahitajika na sabaya, hadi kufikia kuleta fujo,

Huyo msanii ni nani na jinsia gani. Nahitaji kujuzwa.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Washasahau mpaka kuhesabu safari za mama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanaohesabu safari za mama ni MATAGA na Sukuma Gang. Mbona CDM wana msuport sana mama yetu? Upinzani wako huru Sasa, hawajapigwa virungu, hawajapigwa risasi, hawajatekwa na kupigwa na kurejeshwa mahututi, hawajatekwa na kupotea kabisa n.k. Sasa kwa akili yako unafikiri Wapinzani wanamchukia our dearest President? Hao ni upinzani tu Achilia wale waliobambikizwa kesi za hujumu uchumi, kuchukuliwa pesa a.k.a ujambazi bila silaha, biashara kufilisiwa, mali kufilisiwa n.k kisa wana mrengo wa upinzani au chuki binafsi.
Hao ni wachache.

Kwa sasa Tanzania imelipuka kwa FURAHA, amani, uhuru n.k

Mama anapendwa na wengi mno ndani na nje ya mipaka. Yaani dunia nzima. Huenda hata 2025 Wapinzani wasisimamishe mgombea Urais maana huyu mama anatosha mno.
 
Chadema mlipaswa kumshukuru huyu bwana mdogo maana alishawaonyesha njia kuwa inawezekana kumtoa bwana yule kwenye ubunge wa kudumu so kazi kidogo libaki kwenu tu kumchomoa katika uenyekiti wa maisha.
Apa tunasema watanzania sio chadema au umetumwa
 
Wanaohesabu safari za mama ni MATAGA na Sukuma Gang. Mbona CDM wana msuport sana mama yetu? Upinzani wako huru Sasa, hawajapigwa virungu, hawajapigwa risasi, hawajatekwa na kupigwa na kurejeshwa mahututi, hawajatekwa na kupotea kabisa n.k. Sasa kwa akili yako unafikiri Wapinzani wanamchukia our dearest President? Hao ni upinzani tu Achilia wale waliobambikizwa kesi za hujumu uchumi, kuchukuliwa pesa a.k.a ujambazi bila silaha, biashara kufilisiwa, mali kufilisiwa n.k kisa wana mrengo wa upinzani au chuki binafsi.
Hao ni wachache.

Kwa sasa Tanzania imelipuka kwa FURAHA, amani, uhuru n.k

Mama anapendwa na wengi mno ndani na nje ya mipaka. Yaani dunia nzima. Huenda hata 2025 Wapinzani wasisimamishe mgombea Urais maana huyu mama anatosha mno.
Mama anatekeleza sera za CCM
 
Nyie nanyi mnajitekenya na kucheka wewenyewe heheheeee

Alitumbuliwa Lowasa akiwa waziri, wakatumbuliwa mawaziri kina Lugola mkuu sembuse mkuu wa wilaya Sabaya🙄🙄

Hiyo ndio CCM baba lao
Wanafiki hamchelewi kugeukana ! mwenye bia nyingi mezani ndio wako !
 
DC wa Iringa, Arusha na RC wa Iringa nao wapitiwe

Watahukumiwa kufuatana na report za wakubwa wao wa kazi!! Mama SASHA hafanyi kazi kwa kukurupuka na wala hamuonei mtu; ni mcha Mungu na mwezi huu bado anafunga sitta hawezi kufanya kitu chchote cha uonevu!!

Isipokuwa MAMA awe muangalifu kwenye hao anaowateua kuwa wakurugenzi naona washauri wake wanamchomekea majina ya watu ambao ni wagonjwa na hawana uwezo wa kuwa msaada kwenye hizo Taasisi!!
 
Wanafiki hamchelewi kugeukana ! mwenye bia nyingi mezani ndio wako !

Wanafiki ni nyie msiojua hata mmnachoshabikia

Kutengua na kuteua ni kazi ya Rais, tuliona Lowasa na lugola wakitenguliwa sembuse sabaya🤣

Hii ndio CCM babalao....nyie endeleeni kudemka tuu, wacha ironlady awapeleke kasi
 
Back
Top Bottom