Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kweli mashangingi wa ccm ni hatari ! wewe leo ni wa kumtelekeza sabaya kweli ?Wanafiki ni nyie msiojua hata mmnachoshabikia
Kutengua na kuteua ni kazi ya Rais, tuliona Lowasa na lugola wakitenguliwa sembuse sabaya🤣
Hii ndio CCM babalao....nyie endeleeni kudemka tuu, wacha ironlady awapeleke kasi
Ni muujiza kuweza kuelewana na yule Mungu mtu. Kwa imani ya mama na ubinadamu asingeweza kukubaliana na udhalimu. Ndiyo maana kulikuwa na three attempts. Niishie hapaHapo ndipo inapothibitisha pasipo shaka kwamba JPM na SSH hawakuwa kitu kimoja kwa vyovyote vile. There was a cold wrangle inside the muscular powers until the whole team is disrupted with frustrations subsequently screwing up each other. Wakianza kushughulikiana kwa mtindo huu upinzani mshindwe ninyi kupoka nafasi hiyo kurejea kwenye anga la kuogelea kama kawa.
Kweli mashangingi wa ccm ni hatari ! wewe leo ni wa kumtelekeza sabaya kweli ?
Kuna watu wanampenda mama yetu mpaka utawahurumia. Picha ya mama imetundikwa mpaka kwenye baadhi ya nyumba za watu. Binafsi nitaitundika kwangu.mama kweli wewe ni kipenzi cha watanzania
Lini nilishakua nae hadi iwe nimemtelekeza[emoji849][emoji849][emoji849]
Kwao CCM ni chama kwanza.... sio kule Chadema pesa na mbowe kwanza
Ndio mjifunze hapa
Amina ....Mungu ametufuta machoziInasikitisha sana kusema kweli. Huyu na Bashite si ajabu na Wakuu wa Mikoa na Wilaya wengine wamewadhalilisha na kuwatesa Watanzania wengi sana pia kujipatia utajiri mkubwa kwa njia haramu. Humu kuna watu walikuwa wanahoji utajiri mkubwa wa Bashite katika kipindi kifupi ikiwemo nyumba na magari ya kifahari. Kuna tuhuma kwamba Bashite naye alikuwa akipita jijini Dar kwa Wafanyabishara wakubwa kukusanya millions kwa jina la maccm. Je, kama ni kweli pesa hizo alizifikisha ccm? Na utajiri wake mkubwa ndani ya kipindi kifupi cha less than 5 years ameupataje!?
Mwenyezi Mungu fundi sana vinginevyo kuendelea kuishi kwa yule dhalimu Watanzania wengi wangedhalilishwa na kunyanyasika sana. Mwenyezi Mungu ashukuriwe sana. 🙏🏾
Huyo ataondolewa na Mungu , ondoa shakamama bado ndugai
Hata sijui ni naniHivi huyo msanii aliyekua anatakwa na sabaya hotelini hapo ni nani? Na ni jinsia gani?
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Basi endeleeni kupewa dole la kati na mvumilie.
Our Excellency, our beloved mom. So beautiful inside out.Kweli ni mama la mama [emoji91][emoji91][emoji91]
View attachment 1783629
Good news ingekuwa kutenguliwa lakini kusimamishwa ni sawa na kutafutiwa njia ya kusafishwa tu halafu baadae ateuliwe kuwa RCWhat a beautiful news!!!!
Mungu anaendelea kusafisha SUKUMA GANG
Mimi naomba ikiwapendeza watanzania tumpe wa milele kabisa mpaka aseme umri hautaki tena. Kutoka sakafu ya moyo wangu. Kwanza yuko neutral kiukabila na kikanda hivyo atatufaa mno kusafisha ile sumu ya ukabila na ukanda iliyopandikizwa na kutugawa.Mama yetu kipenzi hapa unatufanya tunasherehekea Eid kwa shangwe zote. Huku Arusha kumelipuka kwa furaha. Mama hapa tunakupa miaka yako 20 ya kuiongoza Tanzania.
Nikijaribu kusogea kusoma posts nikimaliza page nakutwa nimeachwa. Uzi huu ni mwendo wa train ya umeme. Sabaya njoo hukuwe kama mimi, naukimbiza lkn uko 1000 miles ahead of me
Unaweza kufungua mashtaka ili umnasua na uonevu.Sijarishishwa kabisa. Sabaya ameonewa. Wenye tuhuma kama za kwake za mitandaoni ni wengi kwa waliokuwa viongozi awamu ya 5. Sabaya atendewe haki. Tuhuma zinazoelekezwa kwake zipo nyingi kwa watu mbali mbali toka JPM aingie madarakani. Ameonewa ameonewa ameonewaaa.
MATAGA mlishapigwa tatu sifuri kwa Kayafa kufa,sasa hivi mnapaswa kukaa kimya.Your era is over!hapa mama anajaribu kuwaeleza hivyo pia[emoji23][emoji23][emoji23]
nao nyumbu wanashangilia.
Uchunguzi utamfuta kabisa. Subiri uone mambo. Hapo wanamtesa mno kisaikolojia. Wameamua kuchukua njia nzuri ili wamfukue kisawasawa. AtajutaBakizeni akiba ya maneno.
AMESIMAMISHWA KAZI