Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

Mungu gusa moyo wa huyu mama akubali. Binafsi nitampigia kampeni kwa gharama ZANGU just akikubali kutuongoza mpaka aseme basi yatosha. Yaani huyu ndiyo our Majesty the Queen of Tanzania.
Mama Samia aongezewe muda wa uraisi hata kama hatotaka
 
Huyu mama ajengewe sanamu yake pale njia panda ya kwenda West Kilimanjaro kumuenzi
Mimi angalao picha nitaweka home. Tena kuna mtu ananiwekea kwenye frame ya heshima. Ni picha ya kwanza ya Rais kuwa nyumbani kwangu. Nitaunganisha na ya baba wa Taifa ili wawe wawili.
 
Usimpangie Rais mpuuzi wewe
Mnaandamana matusi mkipigwa za uso mnaloloma.
We kima blue unamuita nani mpuuzi kenge wewe.
Unaweza kulishwa we na ukoo wako mzima miaka 10 na wewe ukichimbuliwa mtaro tu.
Panya
 
Huyu mama ajengewe sanamu yake pale njia panda ya kwenda West Kilimanjaro kumuenzi
Mimi angalao picha nitaweka home. Tena kuna mtu ananiwekea kwenye frame ya heshima. Ni picha ya kwanza ya Rais kuwa nyumbani kwangu. Nitaunganisha na ya baba wa Taifa ili wawe wawili.
Amka. Utakojoa kitandani
Mkuu nacheka mno. Huyo atajikojolea kitandani ukubwani. 🤣🤣🤣🤣
 
MATAGA mtataga Mayai ya kila rangi. Huyu mama ndiye Rais na siyo Dikteta wa kuzalisha na kufuga madikteta uchwara. Akanyeeee debe kwanza.
 
huyo kiongozi zaidi kachukiwa na wapinzani kwa sehemu kubwa na wapinzani siku zote hawajawahi mkubali mtu ambae ni mwiba kwao hata kama anasimamia sheria
Ameumiza wengi mno ambao siyo Wapinzani. Mimi hapa niko na FURAHA Tele na siyo Mpinzani.
 
Kichapo kinamuhusu huyu akitoka wahun hawajawahi muacha salama na ubabe wake
 
Kamati yote ya ulinzi na usalama wilaya ya hai hafai mama ondoa wote ni majambazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…