Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

Hivi kuna binadamu ambae anamwamini Mungu na anaakili timamu anaweza kumtetea Sabaya??? [emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]
 
Ngoja na mm nifuatilie ulichokisema
 
Yaani sasha ajifunze haraka. Ccm ni chama cha mapinduzi. Sabaya ni mwanamapinduzi. Ukicheza na chadema utakula mabua...hao ni nyani.
 
Pole zako wewe..

Hata hujui kutofautisha kati ya SIASA na UHARAMIA WA KIDOLA kwa kivuli cha "kuvunja ngome ya kisiasa ya CHADEMA"

Sabaya is a criminal. He deserves to be in a concrete prison...
 
MPE heshima yake.Anza na Mhes Rais,usimtaje kama ulivyomzoea sabaya kijiweni.
Hata kama hupendi ni haki take kumpa heshima.
 
Hivi siku hizi hakuna ule mpangp wa elimu ya watu wazima? Ilifaa sana ungejiunga huko. Ukajifunza japo kuandika, kuhesabu na kusoma.

Kwenye jukwaa hili ungetumia zaidi muda wako kusoma maoni ua wenye uelewa.
 
PIA yeye na aina yake wanahitaji kuombewa, ili shetani walieachiwa na mungu wao MWENDAZAKE, awatoke.
Wawe watu wapya wenye utu, upendo na wanaothamini haki za watz wengine.
AMEN
 
Wewe ni jambazi, huo ni mwanzo. Mwisho wako bado. Kuna mahali panapokufaa .

Unajifanya una akili sana kwa kufungua ID nyingi ili ionekane kuna wanaokulilia. Huo ujinga unawaokota wajinga wenzako.
 
Jipige jipige sema Mimi ni mpumbavu

Sabaya ameteka, ameua na ushahidi uko wazi.

Hivi unapata wapi ujasiri wa kumtetea huyu jambazi?


Ona aibu kidogo.
Ameua kuzidi lema na mbowe?
Acha utani basi au kwa kua yeye alikua kwenye dola?
 
Uchunguzi ukiisha apewe umwenyekiti wa ccm wilaya ya hai ili awaweze vizuri chadema.
 
Ulaaniwe shetani wewe.
 
Yaani mnazidi kuongeza mbinu zakumchunguza,si msubiri taarifa then mkamtetee.Pia mjifunze kuheshimu neno uchunguzi watuhuma ambazo ni siri ya dondoo za mamlaka iliyomteua.
 
Wahenga walisema " mtasema kwa lugha"
 
Mbio zake za kuwafurahisha chadema zitakigharimu chama tawala
 
Hivi kuna binadamu ambae anamwamini Mungu na anaakili timamu anaweza kumtetea Sabaya??? [emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]
Mungu alivyo na maajabu,mtu mnayemtenga na kudhani hafai,kupitia huyo watu mnajichumia laana.

mwanzo 4:11-12 halafu 13-14.
maana yake,
kama Mungu ana ugomvi na binaadam msijihusishe na ugomvi huo,na kama mna ugomvi na binaadam,msimhusishe yeye na ugomvi wenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…