Acceptable
Senior Member
- Oct 7, 2020
- 153
- 303
Hivi kuna binadamu ambae anamwamini Mungu na anaakili timamu anaweza kumtetea Sabaya??? [emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja na mm nifuatilie ulichokisemaTanzania kuna watu wawili usiwaguse kwa ubaya. Kama utawaonea jua utapotea na utachukiwa na kila mtu ukigombana na hao watu hata kama wao hawatakujibu ila wana nguvu ya asili ya kushinda vita (psychic ability to win every obstacles) na watu hao ni Askofu Gwajima na Freeman Aikaeli Mbowe.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Sabaya hana makosa? Ama kweli.
Usichojua ni kwamba huko kupiga na kuua ni njia ya kutetea chama.Jipige jipige sema Mimi ni mpumbavu
Sabaya ameteka, ameua na ushahidi uko wazi.
Hivi unapata wapi ujasiri wa kumtetea huyu jambazi?
Ona aibu kidogo.
Yaani sasha ajifunze haraka. Ccm ni chama cha mapinduzi. Sabaya ni mwanamapinduzi. Ukicheza na chadema utakula mabua...hao ni nyani.Nipo kwenye magroup mengi ya WhatsApp na Facebook nimeona wanaccm wengi sana zaidi ya asilimia 80% walivyochukizwa na kitendo cha Ole Sabaya kusimamishwa na kukiita usalaliti kwa chama, Chadema siwezi kuwalaumu kwa furaha walionayo sasa maana Sabaya aliwaweza sana...
Pole zako wewe..Nipo kwenye magroup mengi ya WhatsApp na Facebook nimeona wanaccm wengi sana zaidi ya asilimia 80% walivyochukizwa na kitendo cha Ole Sabaya kusimamishwa na kukiita usalaliti kwa chama, Chadema siwezi kuwalaumu kwa furaha walionayo sasa maana Sabaya aliwaweza sana...
Hivi siku hizi hakuna ule mpangp wa elimu ya watu wazima? Ilifaa sana ungejiunga huko. Ukajifunza japo kuandika, kuhesabu na kusoma.Nipo kwenye magroup mengi ya WhatsApp na Facebook nimeona wanaccm wengi sana zaidi ya asilimia 80% walivyochukizwa na kitendo cha Ole Sabaya kusimamishwa na kukiita usalaliti kwa chama, Chadema siwezi kuwalaumu kwa furaha walionayo sasa maana Sabaya aliwaweza sana....
PIA yeye na aina yake wanahitaji kuombewa, ili shetani walieachiwa na mungu wao MWENDAZAKE, awatoke.Inaonyesha hujui jinsi nchi ilivyoharibiwa kisiasa wala hujui kuwa hata sisi ccm tulikuwa tumeanza kuona aibu kwa jinsi uharamia ulivyokuwa ukitumika eti kwa maslai ya Chama.Msingi mkubwa wa chama chetu ni utu wa mwafrika na heshima yake sio uhuni.Mwacheni mama afanye kazi
Ameua kuzidi lema na mbowe?Jipige jipige sema Mimi ni mpumbavu
Sabaya ameteka, ameua na ushahidi uko wazi.
Hivi unapata wapi ujasiri wa kumtetea huyu jambazi?
Ona aibu kidogo.
Ulaaniwe shetani wewe.Nipo kwenye magroup mengi ya WhatsApp na Facebook nimeona wanaccm wengi sana zaidi ya asilimia 80% walivyochukizwa na kitendo cha Ole Sabaya kusimamishwa na kukiita usalaliti kwa chama, Chadema siwezi kuwalaumu kwa furaha walionayo sasa maana Sabaya aliwaweza sana...
Wahenga walisema " mtasema kwa lugha"Nipo kwenye magroup mengi ya WhatsApp na Facebook nimeona wanaccm wengi sana zaidi ya asilimia 80% walivyochukizwa na kitendo cha Ole Sabaya kusimamishwa na kukiita usalaliti kwa chama, Chadema siwezi kuwalaumu kwa furaha walionayo sasa maana Sabaya aliwaweza sana...
Mbio zake za kuwafurahisha chadema zitakigharimu chama tawalaNipo kwenye magroup mengi ya WhatsApp na Facebook nimeona wanaccm wengi sana zaidi ya asilimia 80% walivyochukizwa na kitendo cha Ole Sabaya kusimamishwa na kukiita usalaliti kwa chama, Chadema siwezi kuwalaumu kwa furaha walionayo sasa maana Sabaya aliwaweza sana...
Mungu alivyo na maajabu,mtu mnayemtenga na kudhani hafai,kupitia huyo watu mnajichumia laana.Hivi kuna binadamu ambae anamwamini Mungu na anaakili timamu anaweza kumtetea Sabaya??? [emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]
We sabaya subiri uchunguzweNipo kwenye magroup mengi ya WhatsApp na Facebook nimeona wanaccm wengi sana zaidi ya asilimia 80% walivyochukizwa na kitendo cha Ole Sabaya kusimamishwa na kukiita usalaliti kwa chama, Chadema siwezi kuwalaumu kwa furaha walionayo sasa maana Sabaya aliwaweza sana...
DahMagoti too late, atakumbana na TAKUKURU mpya ya CP Hamduni, ataliwa kichwa paaap, ndio ajue damu ya watu mbaya sana