Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

Uwe na chembe ya adabu basi. Wewe nani unamwambia Rais ajitafakari. Tumia uhuru wa maoni kwa hekima na busara.
 
Fair play
 
Kumbe Veronica France ndio wewe?
Sabaya amepata msaidizi kweli ngoma imeanza kunoga endelea kupiga bi mkubwa anaweza kutengua maamuzi kesho tu [emoji3][emoji3]
 
Kuishi kwa kutegemea uchawa kunadhalilisha sana !
 
🤣🤣🤣🤣 Mtanyooka tu, ndo kwanza miez miwil hii. Shubaaamiiit!
 
Samahani nilikuwa namjibu mayala kwenye hoja ya teuzikuhusu swala jinsia naomba ichukuliwe hivyo
 
Samahani nilikuwa namjibu mayala kwenye hoja ya teuzikuhusu swala jinsia naomba ichukuliwe hivyo
Duh una bahati maana hukueleweka kabisa mara nyingine mTAG au mpe CC au tanguliza alama ya @
huku mambo si mambo teuzi zitaanza za Majaji baadae Wakuu wa Mikoa
Mama yuko Mapumzikoni Ikulu Zanzibar sijui ni kwa Dr Mwinyi au ni hizi km za Chato?
pita kimyakimya maana jamaa ame address kala bata, Chamwino, Zenj, Magogoni, Chamwino
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…