Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

Nipo kwenye magroup mengi ya WhatsApp na Facebook nimeona wanaccm wengi sana zaidi ya asilimia 80% walivyochukizwa na kitendo cha Ole Sabaya kusimamishwa na kukiita usalaliti kwa chama, Chadema siwezi kuwalaumu kwa furaha walionayo sasa maana Sabaya aliwaweza sana...
Uwe na chembe ya adabu basi. Wewe nani unamwambia Rais ajitafakari. Tumia uhuru wa maoni kwa hekima na busara.
 
Nipo kwenye magroup mengi ya WhatsApp na Facebook nimeona wanaccm wengi sana zaidi ya asilimia 80% walivyochukizwa na kitendo cha Ole Sabaya kusimamishwa na kukiita usalaliti kwa chama, Chadema siwezi kuwalaumu kwa furaha walionayo sasa maana Sabaya aliwaweza sana...
Fair play
 
Kumbe Veronica France ndio wewe?
Sabaya amepata msaidizi kweli ngoma imeanza kunoga endelea kupiga bi mkubwa anaweza kutengua maamuzi kesho tu [emoji3][emoji3]
 
Nipo kwenye magroup mengi ya WhatsApp na Facebook nimeona wanaccm wengi sana zaidi ya asilimia 80% walivyochukizwa na kitendo cha Ole Sabaya kusimamishwa na kukiita usalaliti kwa chama, Chadema siwezi kuwalaumu kwa furaha walionayo sasa maana Sabaya aliwaweza sana...
Kuishi kwa kutegemea uchawa kunadhalilisha sana !
 
🤣🤣🤣🤣 Mtanyooka tu, ndo kwanza miez miwil hii. Shubaaamiiit!
Nipo kwenye magroup mengi ya WhatsApp na Facebook nimeona wanaccm wengi sana zaidi ya asilimia 80% walivyochukizwa na kitendo cha Ole Sabaya kusimamishwa na kukiita usalaliti kwa chama, Chadema siwezi kuwalaumu kwa furaha walionayo sasa maana Sabaya aliwaweza sana..
 
Namimi huwa najiuliza tupo watu huwa tunashangaa kwanini waislam sio wengi katika sehemu nyingi za serekali nisawa na hili lawanawake siowengi katiaka uteuzi huu lakini kwaupande wangu sioni hata hao waislam wachache waliopo katika serekali wanausaidia nini uislam au wangekuwa hao wanawake wangeteuliwa wengi mke wangu angepata nini toka makinda...
Samahani nilikuwa namjibu mayala kwenye hoja ya teuzikuhusu swala jinsia naomba ichukuliwe hivyo
 
Samahani nilikuwa namjibu mayala kwenye hoja ya teuzikuhusu swala jinsia naomba ichukuliwe hivyo
Duh una bahati maana hukueleweka kabisa mara nyingine mTAG au mpe CC au tanguliza alama ya @
huku mambo si mambo teuzi zitaanza za Majaji baadae Wakuu wa Mikoa
Mama yuko Mapumzikoni Ikulu Zanzibar sijui ni kwa Dr Mwinyi au ni hizi km za Chato?
pita kimyakimya maana jamaa ame address kala bata, Chamwino, Zenj, Magogoni, Chamwino
1621171940892.png
 
Back
Top Bottom