Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Original kikoje?Kughushi KITAMBULISHO cha TISS siyo KOSA?
[emoji2960][emoji23][emoji23][emoji23]Gwajiboi ni tapeli
Uwe na chembe ya adabu basi. Wewe nani unamwambia Rais ajitafakari. Tumia uhuru wa maoni kwa hekima na busara.Nipo kwenye magroup mengi ya WhatsApp na Facebook nimeona wanaccm wengi sana zaidi ya asilimia 80% walivyochukizwa na kitendo cha Ole Sabaya kusimamishwa na kukiita usalaliti kwa chama, Chadema siwezi kuwalaumu kwa furaha walionayo sasa maana Sabaya aliwaweza sana...
Fair playNipo kwenye magroup mengi ya WhatsApp na Facebook nimeona wanaccm wengi sana zaidi ya asilimia 80% walivyochukizwa na kitendo cha Ole Sabaya kusimamishwa na kukiita usalaliti kwa chama, Chadema siwezi kuwalaumu kwa furaha walionayo sasa maana Sabaya aliwaweza sana...
Kuishi kwa kutegemea uchawa kunadhalilisha sana !Nipo kwenye magroup mengi ya WhatsApp na Facebook nimeona wanaccm wengi sana zaidi ya asilimia 80% walivyochukizwa na kitendo cha Ole Sabaya kusimamishwa na kukiita usalaliti kwa chama, Chadema siwezi kuwalaumu kwa furaha walionayo sasa maana Sabaya aliwaweza sana...
Nani angediriki kumsukuma lupango wakati mkuu wa kaya alimteua kuwa DC.Alighushi?
Kama ndivyo, kwa nini bado hajasukumwa ndani lupango?!!!
Nipo kwenye magroup mengi ya WhatsApp na Facebook nimeona wanaccm wengi sana zaidi ya asilimia 80% walivyochukizwa na kitendo cha Ole Sabaya kusimamishwa na kukiita usalaliti kwa chama, Chadema siwezi kuwalaumu kwa furaha walionayo sasa maana Sabaya aliwaweza sana..
Alimuua au kumteka nani?Jipige jipige sema Mimi ni mpumbavu
Sabaya ameteka, ameua na ushahidi uko wazi.
Hivi unapata wapi ujasiri wa kumtetea huyu jambazi?
Ona aibu kidogo.
Waliishi kwa kusafisha mikojo Ili tumbo lishibe leo zimepita zama zileKwiiiiiishaaaaaa
Habari zao sasa hivi wnaalia lia hovyo tu kama vichaaa
The darker the berry .......Ana, mvuto gani sasa yule jamani,? Khaaaaaah
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Shika adabu yako, yaani Sabaya ni nani hadi Mh. Rais ajitafakari?Samia kafeli sana kwenye hilo
Huwezi acha kuuza gunia moja la ufuta kisa punje moja imedondoka.Samia kafeli sana kwenye hilo
Samahani nilikuwa namjibu mayala kwenye hoja ya teuzikuhusu swala jinsia naomba ichukuliwe hivyoNamimi huwa najiuliza tupo watu huwa tunashangaa kwanini waislam sio wengi katika sehemu nyingi za serekali nisawa na hili lawanawake siowengi katiaka uteuzi huu lakini kwaupande wangu sioni hata hao waislam wachache waliopo katika serekali wanausaidia nini uislam au wangekuwa hao wanawake wangeteuliwa wengi mke wangu angepata nini toka makinda...
Duh una bahati maana hukueleweka kabisa mara nyingine mTAG au mpe CC au tanguliza alama ya @Samahani nilikuwa namjibu mayala kwenye hoja ya teuzikuhusu swala jinsia naomba ichukuliwe hivyo