Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake



Akili za kuambiwa changanya na zako, Mama SSH (Sasha) kaambiwa na akachanganya na zake sasa anasubiri uchunguzi ili amkate mtu kichwa au amsamehe.😁
 
Huna ujualo mkuu kaa kwa kutulia mjomba wa sabaya wewe
 
overconfidence makes you careless.
thats sabaya. alijiamini kupitiliza.. ameliwa kichwa
 
Huna akili hata kidogo.kwani samia anaishi ndani ya kibuyu kiasi kwamba hana analosikia au kuona kwa macho yake? Hilo bichwa tumia kufikiri siyo kufugia nywele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…