MLUGURU
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 2,929
- 3,710
Washasahau mpaka kuhesabu safari za mama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]nyumbu wameshasahau ya mkurugenzi bandari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Washasahau mpaka kuhesabu safari za mama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]nyumbu wameshasahau ya mkurugenzi bandari.
Sema pamoja na hatua hiyo ya MH.Raisi awaombe Watanzanifa msamaha.Mungu ni mwema wakati wote.
Ni vema DC Ole sabaya akamwomba radhi mama Mghwira kwa namna yeye na DC mstaafu wa Moshi mh Kippi walivyokuwa wanamdharau kwa sababu tu ametokea kwenye chama cha upinzani.
Hawa vijana wawili walimpa wakati mgumu sana Dr Mghwira na zaidi Ole aliutamani uRC.
Eid Mubarak!
Pedesheee kumbe na wee unafurahi huyu jamaa kutolewa out? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kachelewa sana kumsimamisha kazi huyo dogo.
Unaishi wapi huyafahamu hayo? Hata alipohojiwa na clouds TV alikiri na kusema ni wananchi wa Hai ndio wamefanya hayo lakini ukweli ni yeye 100%[emoji3064][emoji3064][emoji3064] alilawiti na kuua?
Amemtesa sana Mbowe ukisikiliza simulizi ya Mbowe na Tundu Lisu. Kuna video alivamia hotel yake kumkomoa...Sifurahii anguko lake ila Sabaya hafai hata kuwa kiongozi wa familia.
Hana utu maneno na matendo yake yanamuonyesha
Niliangalia mahojiano yake kipindi cha 40 Mins hadi nikabaki namshangaa anavyoongea kwa jazba na kujitapa.
Ilikua kama anataka kupigana na mtangazaji... Nilimchukia tokea siku hiyo.🤔
YesSasha once again..safi sana
Tunachotaka tuishi nchini mwetu kama kweli hii nchi ni yetu.
We Sabaya kuwa na heshima na Mama wewe,tumeshakujua,ukiendelea na dharau zako utatupwa ndaniKwa kifupi hatuna Rais zaidi ya mtu mpumbavu asie na focus juu ya Taifa na ustawi wa Taifa letu,amebakiza majungu maihemuko ya kisiasa,She is not a president zaid ya kuwa mwanamke mwenye period
Naipendaga id yako...nina kitabu cha hao wafalmeMwamwache aende mtaani raia wenye duku duku wafanye wajuavyo
Jambazi limeingia kwenye kilengeo Cha mama likafyatuliwa,Mungu ni mwema wakati wote.
Ni vema DC Ole sabaya akamwomba radhi mama Mghwira kwa namna yeye na DC mstaafu wa Moshi mh Kippi walivyokuwa wanamdharau kwa sababu tu ametokea kwenye chama cha upinzani.
Hawa vijana wawili walimpa wakati mgumu sana Dr Mghwira na zaidi Ole aliutamani uRC.
Eid Mubarak!

Haaaaa Haaaaa 😂 kwa mara ya kwanza umetukana
Mzee wa kusifia kila kitu.yaani ubongo wako umesitiwa CCM ikiclik hujiulizi mara 2 unaporomosha misifa tuu. Ukachunguzwe ubongo wewe si bure.Kazi IENDELEE
Mungu ni mwema wakati wote.
Ni vema DC Ole sabaya akamwomba radhi mama Mghwira kwa namna yeye na DC mstaafu wa Moshi mh Kippi walivyokuwa wanamdharau kwa sababu tu ametokea kwenye chama cha upinzani.
Hawa vijana wawili walimpa wakati mgumu sana Dr Mghwira na zaidi Ole aliutamani uRC.
Eid Mubarak!
Muache abwabwaje anavotaka atoe uchunguHapo mwisho hapana mkuu huko ni kumdhalilisha Rais wetu na kumtweza kusikohimilika tuwe na staha
Naomba Mh.Raisi aangalie na wale waliotuvurugia chaguzi za hivi karibuni kwani wameligawa taifa,kwa kile walichokifanya.Mungu ni mwema wakati wote.