Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kila mtu ashinde mechi zake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Genge la chato akili zenu banaHuyu Madam SSH anafanya kazi au anafanya maamuzi kwa kusikiliza kelele na porojo za mitandaoni.
Ni hatari sana kuwa na Rais anayesikiliza umbea, udaku na mihemuko ya mitandaoni kisha anachukua maamuzi ili kuwaridhisha followers wake.
Kaaazi kweli kweli!!!
Leo nna rahaaa.......yaaani rahaaaaa......leo leo dahKweli ni mama la mama [emoji91][emoji91][emoji91]
View attachment 1783629
Huyu Madam SSH anafanya kazi au anafanya maamuzi kwa kusikiliza kelele na porojo za mitandaoni.
Ni hatari sana kuwa na Rais anayesikiliza umbea, udaku na mihemuko ya mitandaoni kisha anachukua maamuzi ili kuwaridhisha followers wake.
Kaaazi kweli kweli!!!
Kama uko nae hapo bar amekuagizia bia basi acha kunywa sepa haraka.. Hawezi kulipia hiyo bia sababu ya mawazo.Dc sabaya ni mwiba kwa ufisadi na kada mzuri wa ccm. Kutokana na uongozi wake hai ccm iliweza kupata ushindi mkubwa kwenye uchaguzi uliyopita ubunge na udiwani.
Kumsimamisha eti kwa uchunguzi ni kufanyia kazi madai ya uzushi ya wapinzani. Hili linaleta wasiwadi mkubwa kama kweli mama anafuata njia ya kimapinduzi ya jpm au anasikiliza kelele na uzushi wa maliberali vibaraka wa ubeberu.
Saa hizi anacheka tu, natamani nipate connection ya WhatsApp group ya CCM nione wanavyokorogana saa hizi
Miaka 35 ni sahihi ,kipind anasoma Ikizu sekondari akiwa form four mi nilikuwa form one mwaka 2006...jamaa alikuwa mbabe Sana , alikuwa na kundi la wannyanyua vyuma , yeye alikuwa wa mwisho kuingia dining hall na kundi lake na haiwezekani kuruhusiwa Kula bila yeye na kundi lake hawajafika , ni mtu wa system pia , Baba yake by that time alikuwa ni mkuu wa wilaya ya Serengeti kama sikoseiMbona huko clouds alisema ana miaka 35 na hapa kwenye CV kazaliwa 1980
Liarusha hilo lina roho ngumu sana, akakae zake nyumbani huko,Sabaya kaua watu wengi sana, Mungu ni shahidi!
Thanks mama,wewe ni kitu kimoja na mwendazake ila sio sawa sawa na mwendazake,hii uwe mwazo wa funzo KWA wateule wote na vijana kwamba ofis ni dhamana Kuna leo na kesho,THANKS MAMARais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemsimamisha kazi Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ili kupisha uchunguzi wa tuhuma mbalimbali zinazomkabili kuanzia leo, Mei 13, 2021
Aidha, Rais Samia amefanya teuzi za Viongozi mbalimbali ambao uteuzi wao unaanza leo
Ole Sabaya ukipona hii panguapangua, chinja kondoo
Huu ni ushauri wa bure kabisa nakupa mdogo wangu Mkuu wa Wilaya ya Hai Bwana Lengai Ole Sabaya. Ukibahatika kuendelea kuwa Mkuu wa hiyo Wilaya ya Hai katika hii pangua pangua inayokuja tafuta kondoo mweupe mchinje waite Masheikh hapo Bomang'ombe wakufanyie dua! Na usirudie tena kutumia mamlaka...www.jamiiforums.com
Habari ndo hiyo
Nawatakia Eid Njema.
====
Alizaliwa mwaka 1980 katika mkoa wa Arusha
Hayati John Pombe Magufuli tarehe 28 Julai, 2018 alimteua Sabaya kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai
CHAMA: CCM
#NA SASA KAZI IMEANZA#
TAARIFA ZA ELIMU YAKE
SVISC. MASSACHUSET UNIVERSITY USA
BSC.ED ST JOHN UNIVERSITY DODOMA
UNED: SINIOUR SIX –BUGEMA HIGH SCHOOL-UGANDA.
FORM IV: IKIZU SEC SCHOOL
STD VII: SAMBASHA PRIMARY SCHOOL.
OTHERS: IST: PRESIDENT ST. JOHN’S UNIVERSITY DODOMA 2007.
CHAPEL PREFECT BUGEMA HIGH SCHOOL UGANDA.
CEO: TANZANIA YOUTH DEVELOPMENT CENTRE
SEMINARS BSYMPOSIUM: S. KOREA YOUTH CONFERENCE ,SOUL
YOUTH SUMMIT COMMISSIONED BY HON. PINDA TYDC:2010
CAPRIPOINT YOUTH EMPOWERMENT 2014
Hayo mapato ni uporaji na sio toka faida za kibiasharaNaona mapato hai yakishuka kwa Kasi ya juu
Huyu polisi ni accomplice wa Sabaya , naye zake zinachemka jikoni zikip wa kuzi engineer
CCM wanajua Watanzania wengi wamejeruhiwa na Mwendazake, kilichopo saizi wanawaponya majeraha...2025 wanakuja na gia nyingine.Huyu Madam SSH anafanya kazi au anafanya maamuzi kwa kusikiliza kelele na porojo za mitandaoni.
Ni hatari sana kuwa na Rais anayesikiliza umbea, udaku na mihemuko ya mitandaoni kisha anachukua maamuzi ili kuwaridhisha followers wake.
Kaaazi kweli kweli!!!
we kama mimi, naukimbiza lkn uko 1000 miles ahead of meHalafu hui uzi naukimbiza lakini wapi
Mimi nimeanza Kunywa tokea Asubuhi kuna Mabest wangu Wamerejea kutika Ughaibuni wamekuja Kuwekeza Nchini kwao.
Hizi habari zimetufanya tulipuke kwa furaha shangwe na Vigelegele
Ni Jambo kua na rais anayesikiliza,Huyu Madam SSH anafanya kazi au anafanya maamuzi kwa kusikiliza kelele na porojo za mitandaoni.
Ni hatari sana kuwa na Rais anayesikiliza umbea, udaku na mihemuko ya mitandaoni kisha anachukua maamuzi ili kuwaridhisha followers wake.
Kaaazi kweli kweli!!!