Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

Avumaye baharini papa, kumbe wengine wapo. Kama yaliyokuwa yanasemwa na kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii ni ya kweli, kumsimamisha tu kazi hakutoshi, inabidi apelekwe mahakamani akajibu tuhuma zinazomkabili.
Huyu ni jambazi apelekwe mahakamani tu akajibu alichofanya. Alifikiri Magufuri ni Mungu na ndiyo iwe mfano kwa viongozi wote
 
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemsimamisha kazi Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ili kupisha uchunguzi wa tuhuma mbalimbali zinazomkabili kuanzia leo, Mei 13, 2021

Aidha, Rais Samia amefanya teuzi za Viongozi mbalimbali ambao uteuzi wao unaanza leo


Habari ndo hiyo

Nawatakia Eid Njema.

====
Alizaliwa mwaka 1980 katika mkoa wa Arusha

Hayati John Pombe Magufuli tarehe 28 Julai, 2018 alimteua Sabaya kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai

CHAMA: CCM

#NA SASA KAZI IMEANZA#


TAARIFA ZA ELIMU YAKE


SVISC. MASSACHUSET UNIVERSITY USA

BSC.ED ST JOHN UNIVERSITY DODOMA

UNED: SINIOUR SIX –BUGEMA HIGH SCHOOL-UGANDA.

FORM IV: IKIZU SEC SCHOOL

STD VII: SAMBASHA PRIMARY SCHOOL.

OTHERS: IST: PRESIDENT ST. JOHN’S UNIVERSITY DODOMA 2007.

CHAPEL PREFECT BUGEMA HIGH SCHOOL UGANDA.

CEO: TANZANIA YOUTH DEVELOPMENT CENTRE

SEMINARS BSYMPOSIUM: S. KOREA YOUTH CONFERENCE ,SOUL

YOUTH SUMMIT COMMISSIONED BY HON. PINDA TYDC:2010

CAPRIPOINT YOUTH EMPOWERMENT 2014

Tunamuhitaji mama asiangalie wale viongozi waliowakorofisha matajiri pekeyao ndioanawachukulia hatuwa nasisi wavuvi ziwa tanganyika wa kata yakalya tumefanyiwa uonevu mkubwa hatuja sikia nanikawajibishwa kwa kuharibu malizetu halali ilatunaona waliowakorofisha matajiri ndiohatua zinachukuliwa sasa tuambiwe tujuwe nini hatma yetu ?
 
Wanaosema mama asipewe pressure ni kwasababu maamuzi yoyote atakayoyafanya yana impact kubwa kwa taifa,, hivyo subira na umakini vinahitajika.
Fikiria uteuzi wa yule jaji ulivyolalamikiwa. Lakini naamini mama anafanya moves zenye umakini kuliko baadhi wanavyodhani.
Kwenye football kuna wakati mpira wa kushambulia unaurudisha nyuma kabisa kwa kipa ili kupanga mashambulizi upya.
 
Ana dharau sana huyu dogo
Juzi kwenye clouds alimkebehi sana Mbowe eti 'alizaliwa 1961 umri sawa na mamake '
Utaishi kwa shida sana utazeeka kumzidi Mh Mbowe
Shida wengi wao huwa wanajisahau sana kuwa haya mambo ni ya ulimwengu. Ishi vizuri na watu heshimu wakubwa na wadogo.
Leo Sabaya umedhalilika
Pesa hainunui kila kitu
Umeiba umepora umenyasasa hizo pesa hutazifurahia
Kiama kiko hapa duniani....
Wengine mliobakia muanze kutia maji
Kelele za mitandao kiko wapi?
Kila mtu abebe msalaba wake
 
Huyu Madam SSH anafanya kazi au anafanya maamuzi kwa kusikiliza kelele na porojo za mitandaoni.

Ni hatari sana kuwa na Rais anayesikiliza umbea, udaku na mihemuko ya mitandaoni kisha anachukua maamuzi ili kuwaridhisha followers wake.
Kaaazi kweli kweli!!!
Wanaochunguza na kupata taarifa za maovu mbalimbali ndio hao wanaoleta taarifa mitandaoni labda uwakataze hao, wakati mwingine wala ahitaji uchunguze matamshi yako na matendo yako yanaonekana wazi, mfno yule aliyesema "Maaskofu wafunge midomo yao" hivi unahitaji uchunguzi kujua kuwa huyo kijana anautovu wa nidhamu.
 
Kama uchunguzi utafanyika huru bila kuingiliwa kesi za kila namna zitamhusu. Atafunguliwa kesi hata 100. Hatapona. Na ndiyo mtego ulipo. Na hiyo kamati ya uchunguzi ijiangalie vizuri maana mama atakuwa na data zote za ukweli. Wakipindisha watakiona cha moto

Kichwa ya Sabaya imekatwa. Leta Mvinyo


Mvinyo hapana, ila utapata maji baridi tu.
 
Akina mbow wanahistoria ya kuendesha mambo na siasa zao kibabe na kihuni. Akitokea mhun na mbabe mwenzao wanapata wepesi wa kulialia
 
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemsimamisha kazi Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ili kupisha uchunguzi wa tuhuma mbalimbali zinazomkabili kuanzia leo, Mei 13, 2021

Aidha, Rais Samia amefanya teuzi za Viongozi mbalimbali ambao uteuzi wao unaanza leo


Habari ndo hiyo

Nawatakia Eid Njema.

====
Alizaliwa mwaka 1980 katika mkoa wa Arusha

Hayati John Pombe Magufuli tarehe 28 Julai, 2018 alimteua Sabaya kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai

CHAMA: CCM

#NA SASA KAZI IMEANZA#


TAARIFA ZA ELIMU YAKE


SVISC. MASSACHUSET UNIVERSITY USA

BSC.ED ST JOHN UNIVERSITY DODOMA

UNED: SINIOUR SIX –BUGEMA HIGH SCHOOL-UGANDA.

FORM IV: IKIZU SEC SCHOOL

STD VII: SAMBASHA PRIMARY SCHOOL.

OTHERS: IST: PRESIDENT ST. JOHN’S UNIVERSITY DODOMA 2007.

CHAPEL PREFECT BUGEMA HIGH SCHOOL UGANDA.

CEO: TANZANIA YOUTH DEVELOPMENT CENTRE

SEMINARS BSYMPOSIUM: S. KOREA YOUTH CONFERENCE ,SOUL

YOUTH SUMMIT COMMISSIONED BY HON. PINDA TYDC:2010

CAPRIPOINT YOUTH EMPOWERMENT 2014

IMG-20210514-WA0029.jpg
 
Amesimamishwa kupisha Uchunguzi daadeki[emoji23]
View attachment 1783580
Na akionekana hana hatia atarejeshwa kazini na kulipwa stahiki zake zote zilizosimamishwa.

Lakini ninavyoelewa tuhuma yoyote dhidi ya viongozi wa kariba yake huwa ndiyo mwisho wa uteuzi.

Sasa kwa barua hiyo ya ikulu, inamaanisha kibarua bado anacho uchunguzi ukimsafisha, vinginevyo angelikuwa kateuliwa mwingine kushika nafasi yake.
 
Kuwa serious na mambo, acha ujinga
Hamna siri dunia hii. Ukweli usemwe hivyohivyo ulivyo

Uwizi, uhuni, ubabe vyote visemwe kama vilivyo.

Huwa inatokea wengne wakifanya mambo ya kijinga, ya ovyo, ya kihuni, ya kibabe na nk haiandikwi au kutangazwa au kuonekana kama mambo yasiyofaa. Lakin wakifanyiwa wao sasaaaa, dunia nzima itajua. Utafikiri wao ndo binadamu wengine nusu binadamu
 
Back
Top Bottom