Rais Samia amteua Balozi Ali Idi Siwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa

Hii Habari nimeona Gerson Msigwa kuwa kuna Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa kaapishwa leo.
1693235461111.png
 
He was appointed in early 2014 by retired President Jakaya Kikwete to represent the country in the East African Community member state.

But, he had to wait until mid of May, 2014 for President Paul Kagame’s approval, ending months of speculations that his appointment would not be endorsed.

Anaonekana ni mtu sahihi kwa nafasi hiyo kama mpaka Rwanda amewahi kuwa balozi wetu maana Rwanda huwezi peleka balozi asiyekuwa kachero mbobezi.

Ila Mzee Massoro hajakaa sana kitini watu walimsifia sana hapa kwa ma "Great thinker"
 
Hiki ndio anaweza, kuteu au kutengua. Roho yake inakuwa safi mnooo. Lakini yale mambo magumu na muhimu kwa watanganyika.

Kwa mfano sasa imekuwa haki yao wamiliki wa petrol Station kuficha mafuta na kusubilia kila Jumatano ya mwanzo wa mwezi bei ipande ndio wauze, huko hapana kabisa gusa

1. Mkuu wa EWURA ni mume wa spika

2. Waziri wa nishati ni mtoto wa kada mwandamizi.
 
He was appointed in early 2014 by retired President Jakaya Kikwete to represent the country in the East African Community member state.

But, he had to wait until mid of May, 2014 for President Paul Kagame’s approval, ending months of speculations that his appointment would not be endorsed.

Anaonekana ni mtu sahihi kwa nafasi hiyo kama mpaka Rwanda amewahi kuwa balozi wetu maana Rwanda huwezi peleka balozi asiyekuwa kachero mbobezi.

Ila Mzee Massoro hajakaa sana kitini watu walimsifia sana hapa kwa ma "Great thinker"
PK anamjua huyo mzee. Ni sawa na kuletewa balozi alafu ni mwalimu wako kwenye intelligence. JK alijua lazima PK aingie woga [emoji28]
 
Back
Top Bottom