Rais Samia amteua Balozi Ali Idi Siwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa

Rais Samia amteua Balozi Ali Idi Siwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa

Chakushangaza mteule huyu anaonekana alishafikia umri wa kustaafu na kupewa wadhifa wa part-time job kutokana na uzee kama mwenyekiti wa bodi ya wadhamini NSSF.
1693238012019.png

Huku pilika pilika za idara hii nyeti inatakiwa akili isiyochoka, ubunifu, kumudu ongezeko la kazi za dharura , spidi kubwa ya G5 kuelewa mambo ...

Spymasters provide direction to staff, often deciding which are the priority tasks and targets for the service. They assess the risks and approve intelligence operations and, where necessary, seek the approval of senior ministers in the government. It follows that they need to have excellent relationships with senior members of the government...
 
PK anamjua huyo mzee. Ni sawa na kuletewa balozi alafu ni mwalimu wako kwenye intelligence. JK alijua lazima PK aingie woga [emoji28]
Kagame aogope balozi? Hivi nyie Kagame mnamchukuliaje. Au balozi ana lipi la ajabu kuogopwa na Kagame ambaye amewahi kufukuza (sio kubadilisha kazi) mkuu wa majeshi, Waziri wa Ulinzi, mkuu wa usalama, viongozi waandamizi jeshini. Kaongoza uasi, kahusika kumuua Rais wake, kahusika kumuua mkuu wa kundi lake la wapiganaji ambaye alikuwa anamkaimu. Kubwa ya yote kahusika kwenye genocide.

Huyo ndio atishiwe na balozi wa nchi inaitwa Tanzania, hapa hapa anakofanya missions zake?
Ni Rais mpuuzi anayeweza ogopa balozi, unadhani kila Rais anakuwa mkunja mikono kama huyu na wasaidizi wake na hapo hawapo na kiongozi wa hiyo nchi
20230826_224020.jpg
 
Ninatafakari,
Mambo ni mengi lkn nguvu ya Taifa la Asili yangu ni kubwa Sana. TISS mna Uhakika na DG MPYA ?
Je, kufika alipo sio kazi nzuri ya Jirani?
Je, hajawa compromised akiwa Kigali ?
Je, hakuwahi pata mwanamke wa Kigali?
Je , mawasiliano yake muhimu na Biodata zake haziko Kigali,
Je, Udhaifu wake na uimara wake hauko Kigali ?
Tuna Uhakika gani ? DPW wana nguvu gani kwenye kumfikisha huyu hapa.

Kuhusu uwezekano wa DPWD KUWA NYUMA YA HUU UTEUZI

"Kati ya mwaka 2001 mpaka 2014, Balozi Mstaafu Ndugu Siwa alikuwa Afisa Mambo ya Nje, Mkuu katika ofisi ya Ubalozi wa Tanzania Abu Dhabi iliyoko nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu (United Arab Emirates); Moscow, nchini Urusi na baadaye Berlin, nchini Ujerumani"

Huyu DG Mpya Amefanya kazi na kujamiiana na hawa jamaa wawili wenye kiu na Rasilimali zetu Dubai na Kigali. Je, alikuwa smart kiasi cha sasa kuwakwepa? Au wanajua na wamemtuma kazi ?
 
Ni juzi tu hapo Sheria ya Usalama wa Taifa ilifanyiwa marekebisho na katika hayo marekebisho, kuna kifungu kinazuia mtu yeyote ambaye amewahi kushika nafasi ya Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa kushika nafasi yoyote katika utumishi ndani ya serikali ya JMT.

Nashangaa kuona hapo aliyekuwa Mkurugenzi ameteuliwa kuwa Balozi.

Sijui kama Mwanasheria Mkuu wa serikali anamshauri vizuri Rais wetu.
 
Ninatafakari,
Mambo ni mengi lkn nguvu ya Taifa la Asili yangu ni kubwa Sana. TISS mna Uhakika na DG MPYA ?
Je, kufika alipo sio kazi nzuri ya Jirani?
Je, hajawa compromised akiwa Kigali ?
Je, hakuwahi pata mwanamke wa Kigali?
Je , mawasiliano yake muhimu na Biodata zake haziko Kigali,
Je, Udhaifu wake na uimara wake hauko Kigali ?
Tuna Uhakika gani ? DPW wana nguvu gani kwenye kumfikisha huyu hapa.
Madhara ya kushiba furu ndio haya
 
Maafisa wa juu wa TISS karibia wote wamewahi fanya kazi nje hasa Wizara ya Mambo ya Nje au kusoma nje tena wakiwa idarani. Kuna mabalozi kama kina Masilingi wamekaa Marekani miaka mingi na wapo kitengo.
Ukitaka kuogopa basi chagua waliokaa ndani tu, na utapata vilaza.
Hata jeshi hivyo hivyo lina maofisa wamesoma sana nje na huwezi waweka pembeni.

Ila huwa sipendi wakuu wa TISS wanavyoondolewa na kupewa ubalozi nje instantly sema wanasiasa wanaangalia usalama wa ndani sio dhidi ya maadui wa nje.
 
Zingatia Swali la Mwisho
 
Back
Top Bottom