Rais Samia amteua Balozi Ali Idi Siwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa

Rais Samia amteua Balozi Ali Idi Siwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa

Ninatafakari,
Mambo ni mengi lkn nguvu ya Taifa la Asili yangu ni kubwa Sana. TISS mna Uhakika na DG MPYA ?
Je, kufika alipo sio kazi nzuri ya Jirani?
Je, hajawa compromised akiwa Kigali ?
Je, hakuwahi pata mwanamke wa Kigali?
Je , mawasiliano yake muhimu na Biodata zake haziko Kigali,
Je, Udhaifu wake na uimara wake hauko Kigali ?
Tuna Uhakika gani ? DPW wana nguvu gani kwenye kumfikisha huyu hapa.
Another smartphone on wrong hands.
 
Maafisa wa juu wa TISS karibia wote wamewahi fanya kazi nje hasa Wizara ya Mambo ya Nje au kusoma nje tena wakiwa idarani. Kuna mabalozi kama kina Masilingi wamekaa Marekani miaka mingi na wapo kitengo.
Ukitaka kuogopa basi chagua waliokaa ndani tu, na utapata vilaza.
Hata jeshi hivyo hivyo lina maofisa wamesoma sana nje na huwezi waweka pembeni.

Ila huwa sipendi wakuu wa TISS wanavyoondolewa na kupewa ubalozi nje instantly sema wanasiasa wanaangalia usalama wa ndani sio dhidi ya maadui wa nje.
kwan TISS inahusiana na maswala ya ndan au nje ? kipi kinakufanya uwaone walioish nje wanafaa kwenye TISS kulio walioishi ndan ?
 
Ninatafakari,
Mambo ni mengi lkn nguvu ya Taifa la Asili yangu ni kubwa Sana. TISS mna Uhakika na DG MPYA ?
Je, kufika alipo sio kazi nzuri ya Jirani?
Je, hajawa compromised akiwa Kigali ?
Je, hakuwahi pata mwanamke wa Kigali?
Je , mawasiliano yake muhimu na Biodata zake haziko Kigali,
Je, Udhaifu wake na uimara wake hauko Kigali ?
Tuna Uhakika gani ? DPW wana nguvu gani kwenye kumfikisha huyu hapa.
Ni vema pia kuwaza kuwa kuwepo kwake Rwanda kunaweza kutusaidia maana huenda nae kaja na ya huko maana tusisahau hata CAT alibadili system yote, aligundua nini? Huenda na wetu alikuwa kikazi zaidi na aliplay smart.
 
Siku tutakayoweza kutenganisha maslahi ya chama na maslahi ya nchi inaweza kutusaidia sana.
Usiibebe CCM uache vyama Kama chadema viongozi nchi,huko ni kuitakia mema nchi au kuitumbukiza shimoni!?..siku jamii ikielimika na kuchagua wawakilishi kwa sera zao na si dini au mkumbo,siku hiyo idara itaacha uchaguzi ashindwe yoyote na haitatia mkono ccm
 
Kagame aogope balozi? Hivi nyie Kagame mnamchukuliaje. Au balozi ana lipi la ajabu kuogopwa na Kagame ambaye amewahi kufukuza (sio kubadilisha kazi) mkuu wa majeshi, Waziri wa Ulinzi, mkuu wa usalama, viongozi waandamizi jeshini. Kaongoza uasi, kahusika kumuua Rais wakez kahusika kumuua mkuu wa kundi lake la wapiganaji ambaye alikuwa anamkaimu. Kubwa ya yote kahusika kwenye genocide.

Huyo ndio atishiwe na balozi wa nchi inaitwa Tanzania, hapa hapa anakofanya missions zake?
Ni Rais mpuuzi anayeweza ogopa balozi, unadhani kila Rais anakuwa mkunja mikono kama huyu na wasaidizi wake na hapo hawapo na kiongozi wa hiyo nchiView attachment 2731620
Kagame Kuna balozi wa tz alimkataa,nadhani ni yule dingi aliyehudumu ikulu ya jakaya
 
Maafisa wa juu wa TISS karibia wote wamewahi fanya kazi nje hasa Wizara ya Mambo ya Nje au kusoma nje tena wakiwa idarani. Kuna mabalozi kama kina Masilingi wamekaa Marekani miaka mingi na wapo kitengo.
Ukitaka kuogopa basi chagua waliokaa ndani tu, na utapata vilaza.
Hata jeshi hivyo hivyo lina maofisa wamesoma sana nje na huwezi waweka pembeni.

Ila huwa sipendi wakuu wa TISS wanavyoondolewa na kupewa ubalozi nje instantly sema wanasiasa wanaangalia usalama wa ndani sio dhidi ya maadui wa nje.
Marekebisho yaliyofanywa kwenye sheria ya TISS yamezuia hilo, mtu yeyote aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa TISS hawezi kuteuliwa katika nafasi yoyote ya utumishi katika serikali.

Nimeshangaa kuona huyu aliyetolewa kupewa ubalozi.

Marekebisho yalifanyika lini mkuu, hilo jambo lilikuwa linanikera sana. Mtu ndio kwanza ana taarifa za motomoto akaondolewa muda huohuo anapewa post nchi nyingine.
Nchi nyingi hata Deputy hapelekwi nje labda miaka kadhaa ipite. Ni bora umpe ubalozi mkuu mstaafu wa polisi au jeshi kuliko usalama.
 
Intelligence services do not like their officers to remain in one place indefinitely lest they become too comfortable, in the same way agent runners are ROTATED ,to ensure that they do not lose objectivity or end up too heavily invested in one case or a single spy,....Mwisho wa kunukuu
 
Back
Top Bottom