Rais Samia amteua Balozi Ali Idi Siwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa

Nani kakubishia hayo?!!

Nimesema ukulima hauna maana?!!

Afya haina maana ?!![emoji15][emoji15][emoji15]

Mbona "generalization" mpwa ?!!!

Karibu wanzuki hapa ubandani kwa mama Lily[emoji120]
NImekupanua mawazo mpya. Asante, wanzuki ni moja ya pombe zake.
 
Balozi hana umuhimu sana kwenye ujasusi pale embassy, hana umuhimu kuliko attaché wa intelligence services. Vilevile Balozi hana umuhimu kuliko military attaché kwenye mambo ya kijeshi pale ubalozini.

Balozi ni kioo, kila anapokwenda na anachofanya anajulikana kwenye hiyo nchi. Huwezi mkuta anapambana kukusanya data za siri au anasimamia kufanya recruitments za mole, double agent wala nini, wanakwepa kumpa majukumu hatarishi na ya kutia doa diplomasia ya nchi endapo atakamatwa au kujulikana. Hata Diwani au huyu Said uwape ubalozi kwa nchi zinazojielewa hawatishiki kwa lolote.

Mara kibao nchi zinafukuza wanadiplomasia wanausalama na zinawaacha mabalozi wao. Anaweza teuliwa daktari wa mifugo na ujasusi ukapigwa kuliko maelezo.
Unayatazama mambo juujuu na unavyodhani wewe,kagame asingemkataa sefue,ujasusi siyo bunduki,ngumu na sumu tu,upo Karne ya 20 bado
 
Ninatafakari,
Mambo ni mengi lkn nguvu ya Taifa la Asili yangu ni kubwa Sana. TISS mna Uhakika na DG MPYA ?
Je, kufika alipo sio kazi nzuri ya Jirani?
Je, hajawa compromised akiwa Kigali ?
Je, hakuwahi pata mwanamke wa Kigali?
Je , mawasiliano yake muhimu na Biodata zake haziko Kigali,
Je, Udhaifu wake na uimara wake hauko Kigali ?
Tuna Uhakika gani ? DPW wana nguvu gani kwenye kumfikisha huyu hapa.

Kuhusu uwezekano wa DPWD KUWA NYUMA YA HUU UTEUZI

"Kati ya mwaka 2001 mpaka 2014, Balozi Mstaafu Ndugu Siwa alikuwa Afisa Mambo ya Nje, Mkuu katika ofisi ya Ubalozi wa Tanzania Abu Dhabi iliyoko nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu (United Arab Emirates); Moscow, nchini Urusi na baadaye Berlin, nchini Ujerumani"

Huyu DG Mpya Amefanya kazi na kujamiiana na hawa jamaa wawili wenye kiu na Rasilimali zetu Dubai na Kigali. Je, alikuwa smart kiasi cha sasa kuwakwepa? Au wanajua na wamemtuma kazi ?
Hakika hatutatoboa🤔
 
Unayatazama mambo juujuu na unavyodhani wewe,kagame asingemkataa sefue,ujasusi siyo bunduki,ngumu na sumu tu,upo Karne ya 20 bado
Ubishi wako tu. Mwaka huu Norway imefukuza wanadiplomasia 15 wa Urusi kwa tuhuma za ujasusi, balozi wao hayumo. Sweden imefukuza watano na balozi wao hahusiki. Netherlands na Austria vilevile wamefukuza majasusi diplomats na mabalozi wamebaki.
Mwaka jana Latvia imefukuza wanadiplomasia 35 wa Urusi na balozi wamembakiza.

Narudia kusema balozi hana umuhimu huo kwenye spying pale nchi aliyopangiwa. Hana umuhimu kwenye hizo kazi yeye amekaa kisiasa na kidiplomasia hata awe ndio mkurugenzi mwenyewe wa shirika.
Rwanda kumkataa Sefue sio kumuogopa mnakuza mambo ya kitoto. Kwani ni nchi gani jirani haijui kwamba inachunguzwa na jirani yake.

Kwa hivyo na hapa mnataka kusema Samia alimuogopa Diwani na akamuogopa pia huyu aliyemuondoa leo? Yani Sefue aogopwe na Kagame? Kwamba Sefue ana bajeti, jeshi, ushawishi, ulinzi, umaarufu kumzidi Kagame pale Rwanda au kitu gani. Au ajabu lipi Sefue angefanya pale Rwanda, au ziletwe missions za NISS na za TISS za kwenye 2010s mpaka leo uone Rwanda ina sababu gani za kuogopa balozi jasusi kutoka Tanzania.
 
Sasa kama tunauwezo wote huu kwanini sisi bado masikini na rushwa imetamalaki plus wizi wa Mali ya umma. Ila nyie jamaa kama wale wadada Tako kuuubwa na uchi nao barabara 6 ways
 
Ninatafakari,
Mambo ni mengi lkn nguvu ya Taifa la Asili yangu ni kubwa Sana. TISS mna Uhakika na DG MPYA ?
Je, kufika alipo sio kazi nzuri ya Jirani?
Je, hajawa compromised akiwa Kigali ?
Je, hakuwahi pata mwanamke wa Kigali?
Je , mawasiliano yake muhimu na Biodata zake haziko Kigali,
Je, Udhaifu wake na uimara wake hauko Kigali ?
Tuna Uhakika gani ? DPW wana nguvu gani kwenye kumfikisha huyu hapa.

Kuhusu uwezekano wa DPWD KUWA NYUMA YA HUU UTEUZI

"Kati ya mwaka 2001 mpaka 2014, Balozi Mstaafu Ndugu Siwa alikuwa Afisa Mambo ya Nje, Mkuu katika ofisi ya Ubalozi wa Tanzania Abu Dhabi iliyoko nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu (United Arab Emirates); Moscow, nchini Urusi na baadaye Berlin, nchini Ujerumani"

Huyu DG Mpya Amefanya kazi na kujamiiana na hawa jamaa wawili wenye kiu na Rasilimali zetu Dubai na Kigali. Je, alikuwa smart kiasi cha sasa kuwakwepa? Au wanajua na wamemtuma kazi ?
Umewaza mbali mkuu, wakati nasoma wasifu wake pale juu nimeingiwa na mashaka yasio kidogo na huyu bosi mpya!
Tutatoboa kweli?
 
Ni juzi tu hapo Sheria ya Usalama wa Taifa ilifanyiwa marekebisho na katika hayo marekebisho, kuna kifungu kinazuia mtu yeyote ambaye amewahi kushika nafasi ya Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa kushika nafasi yoyote katika utumishi ndani ya serikali ya JMT.

Nashangaa kuona hapo aliyekuwa Mkurugenzi ameteuliwa kuwa Balozi.

Sijui kama Mwanasheria Mkuu wa serikali anamshauri vizuri Rais wetu.
Labda sheria bado haijasahiniwa na rais .
 
Ubishi wako tu. Mwaka huu Norway imefukuza wanadiplomasia 15 wa Urusi kwa tuhuma za ujasusi, balozi wao hayumo. Sweden imefukuza watano na balozi wao hahusiki. Netherlands na Austria vilevile wamefukuza majasusi diplomats na mabalozi wamebaki.
Mwaka jana Latvia imefukuza wanadiplomasia 35 wa Urusi na balozi wamembakiza.

Narudia kusema balozi hana umuhimu huo kwenye spying pale nchi aliyopangiwa. Hana umuhimu kwenye hizo kazi yeye amekaa kisiasa na kidiplomasia hata awe ndio mkurugenzi mwenyewe wa shirika.
Rwanda kumkataa Sefue sio kumuogopa mnakuza mambo ya kitoto. Kwani ni nchi gani jirani haijui kwamba inachunguzwa na jirani yake.

Kwa hivyo na hapa mnataka kusema Samia alimuogopa Diwani na akamuogopa pia huyu aliyemuondoa leo? Yani Sefue aogopwe na Kagame? Kwamba Sefue ana bajeti, jeshi, ushawishi, ulinzi, umaarufu kumzidi Kagame pale Rwanda au kitu gani. Au ajabu lipi Sefue angefanya pale Rwanda, au ziletwe missions za NISS na za TISS za kwenye 2010s mpaka leo uone Rwanda ina sababu gani za kuogopa balozi jasusi kutoka Tanzania.
Kagame alimkatalia nini mzee ombeni sefue kuwa balozi!?..ujuaye tuambie
 
Back
Top Bottom