pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
We tukana, lia, kasirika, nuna au fanya utakavyo, rais wa jmt ni samia na Mungu akipenda ni mpaka 2030Yote ni mashoga tu, sema ni ya mpito yataondoka tu ni muda utaongea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We tukana, lia, kasirika, nuna au fanya utakavyo, rais wa jmt ni samia na Mungu akipenda ni mpaka 2030Yote ni mashoga tu, sema ni ya mpito yataondoka tu ni muda utaongea
Sefue ni Msoga,na PK anajua hilo,anajua kwanini amekataa.Ubishi wako tu. Mwaka huu Norway imefukuza wanadiplomasia 15 wa Urusi kwa tuhuma za ujasusi, balozi wao hayumo. Sweden imefukuza watano na balozi wao hahusiki. Netherlands na Austria vilevile wamefukuza majasusi diplomats na mabalozi wamebaki.
Mwaka jana Latvia imefukuza wanadiplomasia 35 wa Urusi na balozi wamembakiza.
Narudia kusema balozi hana umuhimu huo kwenye spying pale nchi aliyopangiwa. Hana umuhimu kwenye hizo kazi yeye amekaa kisiasa na kidiplomasia hata awe ndio mkurugenzi mwenyewe wa shirika.
Rwanda kumkataa Sefue sio kumuogopa mnakuza mambo ya kitoto. Kwani ni nchi gani jirani haijui kwamba inachunguzwa na jirani yake.
Kwa hivyo na hapa mnataka kusema Samia alimuogopa Diwani na akamuogopa pia huyu aliyemuondoa leo? Yani Sefue aogopwe na Kagame? Kwamba Sefue ana bajeti, jeshi, ushawishi, ulinzi, umaarufu kumzidi Kagame pale Rwanda au kitu gani. Au ajabu lipi Sefue angefanya pale Rwanda, au ziletwe missions za NISS na za TISS za kwenye 2010s mpaka leo uone Rwanda ina sababu gani za kuogopa balozi jasusi kutoka Tanzania.
Rwanda mbona mnaipaisha sana?He was appointed in early 2014 by retired President Jakaya Kikwete to represent the country in the East African Community member state.
But, he had to wait until mid of May, 2014 for President Paul Kagame’s approval, ending months of speculations that his appointment would not be endorsed.
Anaonekana ni mtu sahihi kwa nafasi hiyo kama mpaka Rwanda amewahi kuwa balozi wetu maana Rwanda huwezi peleka balozi asiyekuwa kachero mbobezi.
Ila Mzee Massoro hajakaa sana kitini watu walimsifia sana hapa kwa ma "Great thinker"
Ubishi wako tu. Mwaka huu Norway imefukuza wanadiplomasia 15 wa Urusi kwa tuhuma za ujasusi, balozi wao hayumo. Sweden imefukuza watano na balozi wao hahusiki. Netherlands na Austria vilevile wamefukuza majasusi diplomats na mabalozi wamebaki.
Mwaka jana Latvia imefukuza wanadiplomasia 35 wa Urusi na balozi wamembakiza.
Narudia kusema balozi hana umuhimu huo kwenye spying pale nchi aliyopangiwa. Hana umuhimu kwenye hizo kazi yeye amekaa kisiasa na kidiplomasia hata awe ndio mkurugenzi mwenyewe wa shirika.
Rwanda kumkataa Sefue sio kumuogopa mnakuza mambo ya kitoto. Kwani ni nchi gani jirani haijui kwamba inachunguzwa na jirani yake.
Kwa hivyo na hapa mnataka kusema Samia alimuogopa Diwani na akamuogopa pia huyu aliyemuondoa leo? Yani Sefue aogopwe na Kagame? Kwamba Sefue ana bajeti, jeshi, tushawishi, ulinzi, umaarufu kumzidi Kagame pale Rwanda au kitu gani. Au ajabu lipi Sefue angefanya pale Rwanda, au ziletwe missions za NISS na za TISS za kwenye 2010s mpaka leo uone Rwanda ina sababu gani za kuogopa balozi jasusi kutoka Tanzania.
tuone hizo mission za NISS na TISS mkuuUbishi wako tu. Mwaka huu Norway imefukuza wanadiplomasia 15 wa Urusi kwa tuhuma za ujasusi, balozi wao hayumo. Sweden imefukuza watano na balozi wao hahusiki. Netherlands na Austria vilevile wamefukuza majasusi diplomats na mabalozi wamebaki.
Mwaka jana Latvia imefukuza wanadiplomasia 35 wa Urusi na balozi wamembakiza.
Narudia kusema balozi hana umuhimu huo kwenye spying pale nchi aliyopangiwa. Hana umuhimu kwenye hizo kazi yeye amekaa kisiasa na kidiplomasia hata awe ndio mkurugenzi mwenyewe wa shirika.
Rwanda kumkataa Sefue sio kumuogopa mnakuza mambo ya kitoto. Kwani ni nchi gani jirani haijui kwamba inachunguzwa na jirani yake.
Kwa hivyo na hapa mnataka kusema Samia alimuogopa Diwani na akamuogopa pia huyu aliyemuondoa leo? Yani Sefue aogopwe na Kagame? Kwamba Sefue ana bajeti, jeshi, ushawishi, ulinzi, umaarufu kumzidi Kagame pale Rwanda au kitu gani. Au ajabu lipi Sefue angefanya pale Rwanda, au ziletwe missions za NISS na za TISS za kwenye 2010s mpaka leo uone Rwanda ina sababu gani za kuogopa balozi jasusi kutoka Tanzania.
View attachment 2731576
Rais wa Jamburi ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Ali Idi Siwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa.
Balozi Siwa ameapishwa leo tarehe 28 Agosti, 2023 Ikulu jijini Dar es Salaam na anachukua nafasi ya Bw. Said Hussein Massoro ambaye ameteuliwa kuwa Balozi.
View attachment 2731581
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Balozi Ali Idi Siwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Agosti, 2023.
Alah hamdulilahDah! Naona uwanja unaotumika ni ule ule wa Azam Complex Chamazi.
Yasemekana sababu ni mtandao wa wa fedha wa watumishi wa mkoa wa Mbeya .Kuna shida mahali, pengine ni siri nyingi kuvuja
Kumkataa mtu na kumuogopa ni vitu viwili tofauti sana. Ni sawa unakuta watu wanauzungumzia kupika pilau ukaleta habari za ushonaji wa viatu.Sefue ni Msoga,na PK anajua hilo,anajua kwanini amekataa.
Alimkataa kwa sababu anazojua yeye, wewe umejuaje alimuogopa?Kagame alimkatalia nini mzee ombeni sefue kuwa balozi!?..ujuaye tuambie
Labda sheria bado haijasahiniwa na rais .
mapimbi km hao unawanyamazia tuu,wakisikia TISS wanajamba,hii TISS ya uvccm inaweza kumwambia nini Kagame?wao waibe kura tuu.Alimkataa kwa sababu anazojua yeye, wewe umejuaje alimuogopa?
Kagame kawa senior intelligence officer wa Uganda baada ya kuwa kiongozi wa wapiganaji na kina Museveni (cheo alichokuwa nacho Kagame ndani ya Uganda ni kikubwa kuliko chochote alichowahi pata Sefue ndani ya TISS). Katoka na kundi lake kapigana Rwanda kawa Rais kwa kumwaga damu na kulala porini aje aogope huyo mtembea kwenye korido?
Kwa mfano unataka useme Sefue angemfanya nini Kagame?
Iletwe CV ya Kagame na CV ya Rais wa Tanzania na maofisa wao kuanzia Kikwete tulinganishe nani kapitia changamoto nzito na nani kafanya maamuzi magumu?
Tuachane na ndani ya nchi, tulete mission na tuhuma za kazi za TISS ndani ya Rwanda na tulete mission na tuhuma za NISS ya Rwanda ndani ya Tanzania tuone nani wanazo nyingi?
Uliwahi sikia Rwanda wanalalamika kufuatiliwa na Tanzania? Au unadhani Rwanda kuna mijadala ya hivi ya kujishuku dhidi ya Tanzania.
Eti Kagame anamuogopa Sefue. Nyinyi ndio huwa mnasema Tanzania ni jeshi la kwanza kwa mapigano ya ardhini duniani. Uzalendo uchwara
Mwenyekiti wa Bodi ya Waadhamini ya NSSF, Balozi Ali Idi Siwa
View attachment 2731603
13 July 2023
''NSSF INA UWEZO wa KULIPA MAFAO ZAIDI ya MIAKA 40 IJAYO, THAMANI YAKE ni KUBWA'' - BALOZI ALI IDI SIWA
View: https://m.youtube.com/watch?v=CcIR3esWuV8&pp=ygUMQWxpIElkaSBTaXdh
.
Mwenyekiti wa Bodi ya Waadhamini ya NSSF, Balozi Ali Idi Siwa amewahakikishiwa wanachama wa NSSF kuwa Mfuko upo imara na kwamba una uwezo wa kuendelea kuwalipa Mafao mbalimbali kwa zaidi ya miaka 40 ijayo.Balozi Siwa ameyasema hayo Julai 11, 2023 wakati alipotembelea Banda la NSSF katika Maonesho ya 47 ya Kimataifa ya Biashara ‘Sabasaba’ yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.Ameongeza kuwa Mfuko unaendelea kukua kwa kasi kubwa kwani hivi sasa ukwasi wa Mfuko umefikia thamani ya shilingi za kitanzania Trilioni 7.1 na kwamba NSSF inaendelea kuboresha mifumo ya ufanyaji kazi ili kuhakikisha kuwa huduma bora zinamfikia kila mwanachama
View attachment 2731598
Picha toka maktaba : Balozi Ali Idi Siwa
Mambo juu ya mambo. Aliyemtangulia atapewa cheo kipi maana hajadumu sana
View attachment 2731595
Ali Idi Siwa, Tanzanian Ambassador to Rwanda presents credentials to H.E President Paul Kagame - Kigali, 1 April 2015
“In respect to the relations between Rwanda and Tanzania, which had fallen into an unfortunate situation, we would like to say that let the bygones be bygones, we are starting a new chapter now,” said Siwa.
Describing past tensions as “unfortunate events”, the new envoy said that the two countries, which share a common border, have always enjoyed warm relations, which he said would continue in the interest of their citizens and the region.
GENTAMYCINE nilipoanzisha Uzi ( Thread ) hapa JamiiForums Wiki Mbili zimepita kuuliza kwanini DGIS aliyebadilishwa Masorro jina lake lilikuwa halikaririki kama Waliomtangulia si mlidhani nilikurupuka tu na ule Uzi huku Wengine mkinishangaa wakati niliuanzisha Makusudi ili Kuwaandaa na ambacho niliambiwa kuwa Kitatokea dhidi yake na hakika Kimetokea.Yule mwingine ana shida gani?
Sensa ya 2023 watanzania ni milioni 61.....2012 ilikuwa milioni 48....juu ya soko huria na adabu mbovu inayohusisha kulegalega kwa uzalendo kwa taifa na kwa raia wenyewe....mabadiliko hayasha gazi.....1995-2005 Apson
2005-2015 Othman
2015-2023 Kipilimba+Diwani+Masoro+Siwa
Kuna shida sehemu
Maslahi ya CCM ndio maslahi ya Tanzania yenyewe....Mzee wangu Ngongo vipi Dementia iko mlangoni ?!!! [emoji1787][emoji1787]Kwa Chama kwanza Tanzania baadae sana.
[emoji7][emoji7][emoji2956]Hicho chama ndiyo kinabeba mustakabali mwema wa Tanzania ndiyo maana wanaenda nacho
Bajeti ya fiscal year ni trillion 44...unajimbaje mwenyewe "LNG" ilihali "exploration tu kwa mwaka mzima" ni dola milioni 100....Dhahabu,Gas na sasa Bandari tungekuwa na mikataba bora hizo tozo za kijinga zusingekuwepo.
CCM ndio wameifikisha nchi njia panda,tuna dhahabu lakini si mali yetu.Tuna Gas lakini si yetu.Tuna Bandari soon hatutakuwa kuwa na tofauti na nchi kama Rwanda au Burundi.
CCM ni laana na janga la taifa.
Hoja yako ni nini ?!!!Othman nae alitoka TANGA!! Hapo nauona mkono wa mkwere kwenye huu uteuzi!!
Kule umenikimbia ?!!Hili lisitusahaulishe tamko la TEC mpaka kieleweke
atakuwa vya mkataba uleYule mwingine ana shida gani?