Rais Samia amteua Balozi Ali Idi Siwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa

Sefue ni Msoga,na PK anajua hilo,anajua kwanini amekataa.
 
Rwanda mbona mnaipaisha sana?
 

tuone hizo mission za NISS na TISS mkuu
 
 
Kagame alimkatalia nini mzee ombeni sefue kuwa balozi!?..ujuaye tuambie
Alimkataa kwa sababu anazojua yeye, wewe umejuaje alimuogopa?
Kagame kawa senior intelligence officer wa Uganda baada ya kuwa kiongozi wa wapiganaji na kina Museveni (cheo alichokuwa nacho Kagame ndani ya Uganda ni kikubwa kuliko chochote alichowahi pata Sefue ndani ya TISS). Katoka na kundi lake kapigana Rwanda kawa Rais kwa kumwaga damu na kulala porini aje aogope huyo mtembea kwenye korido?

Kwa mfano unataka useme Sefue angemfanya nini Kagame?
Iletwe CV ya Kagame na CV ya Rais wa Tanzania na maofisa wao kuanzia Kikwete tulinganishe nani kapitia changamoto nzito na nani kafanya maamuzi magumu?
Tuachane na ndani ya nchi, tulete mission na tuhuma za kazi za TISS ndani ya Rwanda na tulete mission na tuhuma za NISS ya Rwanda ndani ya Tanzania tuone nani wanazo nyingi?
Uliwahi sikia Rwanda wanalalamika kufuatiliwa na Tanzania? Au unadhani Rwanda kuna mijadala ya hivi ya kujishuku dhidi ya Tanzania.

Eti Kagame anamuogopa Sefue. Nyinyi ndio huwa mnasema Tanzania ni jeshi la kwanza kwa mapigano ya ardhini duniani. Uzalendo uchwara
 
mapimbi km hao unawanyamazia tuu,wakisikia TISS wanajamba,hii TISS ya uvccm inaweza kumwambia nini Kagame?wao waibe kura tuu.
 
kagame hapo atakuwa amepigwa butwaa kujua kuwa alikuwa anaishi na nyoka miaka yote hiyo.
 
Yule mwingine ana shida gani?
GENTAMYCINE nilipoanzisha Uzi ( Thread ) hapa JamiiForums Wiki Mbili zimepita kuuliza kwanini DGIS aliyebadilishwa Masorro jina lake lilikuwa halikaririki kama Waliomtangulia si mlidhani nilikurupuka tu na ule Uzi huku Wengine mkinishangaa wakati niliuanzisha Makusudi ili Kuwaandaa na ambacho niliambiwa kuwa Kitatokea dhidi yake na hakika Kimetokea.
 
Bajeti ya fiscal year ni trillion 44...unajimbaje mwenyewe "LNG" ilihali "exploration tu kwa mwaka mzima" ni dola milioni 100....

Ile nchi ya viwanda ya JPM anaitekeleza mh.Rais SSH kwa kuipata hiyo zaidi ya nusu ya bajeti ya nchi(trillion 26) kutoka kwa DP WORLD ili twende alikotaka hayati JPM...huko tutaweza hata kutengeneza vifaa vyetu vya uchimbaji na kuwa na wataalamu wetu wa kutosha....

Mzee wangu karibu wanzuki [emoji120]
 
Hili lisitusahaulishe tamko la TEC mpaka kieleweke
Kule umenikimbia ?!!

Utatoa hutoi ?!!

Jibu langu nipatie hapahapa....

Ni kwanini TEC haikuwahi kutoa waraka ndani ya miaka 10 ya utawala wa awamu ya 3?!!!

Ni kwanini TEC imetudanganya kuwa kwa miaka 60 taifa halijawahu kupata mwekezaji wa bandari kutoka nje ?!!!

Nimeganda hapa[emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…