Rais Samia amteua Jacob John Mkunda kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF)

Asante mkuu hakika umenipa mwanga.
 
Yale yalikuwa mapinduzi feki yaliyotengenezwa na Nyerere ili ajimwambafai kwamba hawamuwezi.
Ulikuwa na Umri gani wakati ule... watu waliuawa, wengine wakakamatwa na kushitakiwa na wengine wakawa wakimbizi wewe unasema ni mapinduzi feki!!??
 
Ulikuwa na Umri gani wakati ule... watu waliuawa, wengine wakakamatwa na kushitakiwa na wengine wakawa wakimbizi wewe unasema ni mapinduzi feki!!??
Watu wakifa sio hoja.

Hata matukio feki yana gharama pia.

Kama tukio feki la babu wa loliondo, watu wengi sana walikufa kwa kuacha dawa.

Lakini litaendelea kubaki kuwa TUKIO FEKI.
 
Watu wakifa sio hoja.

Hata matukio feki yana gharama pia.

Kama tukio feki la babu wa loliondo, watu wengi sana walikufa kwa kuacha dawa.

Lakini litaendelea kubaki kuwa TUKIO FEKI.
Umeshawahi kukaa na waliohusika na kujadiliana nao uone kama lilikuwa ni tukio feki??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…