Rais Samia amteua Jacob John Mkunda kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF)

Rais Samia amteua Jacob John Mkunda kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF)

Kaka
Uteuzi mzuri wenye dalili za kuijibu hii hoja, Je, Kuna Uhusiano wa Dini, Kabila na Ukakamavu?. Watu wa Dini, Kabila fulani, ni wazuri zaidi jeshini kuliko dini, kabila nyingine? Tangu kuanzishwa kwake JWTZ mwaka 1964, baada ya Luteni Generali mmoja tuu mwenye jina la Abdalah, ambaye alikuja kuwa CDF, leo ndio Luteni Generali wa mwingine mwenye jina la Salumu ameteuliwa, akiwa ndie Mzanzibari wa kwanza kufikia cheo hicho, na hivyo kuweka a possibility ya Tanzania kuja kupata CDF kutoka upande wa pili wa Muungano in future.
NB. Naomba kuweka caveats ya kutuhumiwa mbaguzi, makabila na mdini, amini usiamini my concern were bonafide genuine kuuliza mbona ma CDF wote ni kutoka upande mmoja na dini moja?. Unaweza kukuta no one noticed anything mpaka baada ya concern, ndio watu wakajiuliza, hivyo ikabidi kaji affirmative action kafanyike kumuondoa Luteni Generali aliyefuata kwenye normal progression ya kuja kuwa CDF, ili to create a room ya mtu wa kwanza wa upande wa pili naye aweze kuwa Luteni Generali!. Na kwa faida ya wanajukwa hili Pasco Mayalla kabla ya kuwa mtangazaji wa RTD, alipitia JKT Makotupora na MMJKT, kisha akajiunga straight na JWTZ Airwing na kuajiriwa with MT. Number, na sasa ni askari wa akiba, ikitangazwa vita sisi ndio tunatangulizwa mbele ili tuwe chambo.
P
Kaka paragraph ya mwisho umeandika kwa hisia sana
 
Kwa jinsi siasa zetu zilivyo jaa uchama, ubinafsi, Rushwa na matakataka mengine, Ki-intelligence Jeshi letu linaufahamu uwezo wa kijeshi wa nchi zinazotuzunguka? Maana this country kila kitu kinaongozwa na siasa.
Usingekua hapo ulipo na usingekua unafanya unachofanya kama jeshi JW lingekua kisiasa.Na yote hayo yangekua waz baada ya Rais kufia madarakani.

Acheni upotoshaji wa wajuaji mitandaoni ambao wkia hawana kaz za kufanya huamua kuzusha lolote wanalotaka.
It is well with JW ..it is well with TZ
 
Huyo jamaa alishaacha kuwa makini siku nyingi. Lt. Gen. waislamu waliwahi kuwepo wengi yeye anasema mmoja
Yaan wengi mnooo akina Imrani Kombe..Yan watu wanajitia ujuaji kwel yan
 
Rais hata akilipwa laki Tatu, hakuna wa kumzidi mshahara, huyo wa kupokea 40pm Katerina na rais. Rais anaweza safisha hazina akitaka.
Bado narudi pale pale. Kwamba rais ambae ni boss namba 1 nchi hii.. kwamba halipwi kuliko cdf?
 
Kuanzia private hadi sajenti V3 umri wao kustafu ni miaka 45.
Ni kutokana na kwamba Hawa watu wanafanya kazi za miguvu akili kidog so kwa age hiyo wanakuwa washachoka.
Kuanzia Staff Sargent Hadi RSM ni miaka 50-55
Kuanzia afisa Second liutenant na kuendelea umri wao ni miaka 60.

Kwa maafisa wa ngazi za juu Hadi 65
huu umeandika utopolo tupu
 
Mtaani Wanaume ukipendeza tunatukanwa na Wanawake.Mh Rais Samia Suruhu Hassan awakanye.Wanaume wameheshimu utawala kwanini wanatutukana?
 
Hivi ungekuwa kwenye position ya Emiliano Mzena na Oscar Kambona kwa wakati ule ungemshauri Rais afanye nini awasubiri Wanajeshi pale Ikulu ?.

Na kwenda kujificha mpaka pale maasi yalipoisha ndio ndio unasema Mwalimu alipinduliwa aisee dude you're not serious at all.

Nasisitiza hata katika hilo gazeti la NYTimes halionyeshi Kama Mwalimu na Kawawa walipinduliwa.
Hata mimi nimemjibu hapo, lakini naona hataki kuelewa. Yaani it was not even an attempted coup like the one in 1980s, just an army mutiny. A kiddo does not understand😂
 
Toka maktaba :

Toka maktaba :
Up dates 19 May 2022 toka mitandaoni

Mkuu wa majeshi Jenerali Venance Salvatory Mabeyo aliongozana na maofisa wajuu waandamizi bungeni wakati wa bajeti ya wizara ya ulinzi, spika wa Bunge akawatambulisha :



  • Luteni jenerali Mathew Edward Mkingule mnadhimu mkuu wa jeshi
  • Meja Jenerali Anthony Chacha Sibuti mkuu kamandi ya jeshi la nchi kavu
  • Meja jenerali Rajabu Nduku Mabele mkuu wa JKT
  • Meja jenerali Amri Salim Mwamy mkuu wa tiba jeshini
  • Meja jenerali Ibrahim Michael Mhona mkuu wa chuo cha ulinzi cha taifa NDC
  • Rear Admiral Ramson Godwin Mwaisaka mkuu wa kamadi ya jeshi la wanamaji
  • Meja Jenerali Shabani Mani mkuu wa kamadi ya anga
  • Meja jenerali Jacob John Mkunda operesheni na utendaji wa kivita
  • Meja Jenerali Salim Othman mkuu tafiti na maendeleo ya jeshi
  • Meja Jenerali Hawa Issa Kodi mkuu wa logistics na uhandisi jeshini
  • Brigedia jenerali Iddi Saidi Nkambi mkuu wa kamandi Vikosi chini ya Makao Makuu ya Jeshi MMJ
  • Brigedia Jenerali Fadhili Nondo mkuu vikosi Zanzibar

Huyo wa logistics atakula hela ndio manunuzi
 
Back
Top Bottom