Rais Samia amteua Jacob John Mkunda kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF)

Rais Samia amteua Jacob John Mkunda kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF)

Weka picha tumuone
.
Screenshot_20220629-193803.jpg
 
Who is this guy? Kawaruka Lt. Gens wawili au more kampandishwa kutoka Maj. Gen kuwa Full Gen?

Yaani kutoka two stars Gen kuwa four stars Gen?

Kama alivyomrusha Hamduni
I know VETTING MATTERS but NGOJA tufuatilie CV yake VS ALIOWARUKA

======+
I'll come back for more
Screenshot_20220629-201044_WhatsApp.jpg
 
Pongezi nyingi kwa Mkuu wetu mpya wa Majeshi pamoja na Mnadhimu Mkuu wa Majeshi.

Sisi kama wananchi tunategemea watatumikia kwa weledi na ubunifu wa hali ya juu ili Jeahi letu liendelee kuwa Jeshi imara na la kisasa zaidi.
 
UTEUZI: Rais Samia Suluhu Hassan amempandisha cheo Meja Jenerali Jacob John Mkunda kuwa Jenerali na amemteua kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF).
 

Attachments

  • Screenshot_20220629_194941_com.facebook.katana.jpg
    Screenshot_20220629_194941_com.facebook.katana.jpg
    118.9 KB · Views: 51
Imetimia

TOKA MAKTABA:

Kufuatana na muundo wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania chini ya Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Salvatory Mabeyo, kuna maafisa wakuu wa juu wafuatao :

HABARI TOKA MAKTABA MTANDAONI


Luteni Jenerali Mathew E. Mkingule Mwanzo-Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania ni Mnadhimu Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi wa 14 tangu alipoteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa awamu ya sita Mhe. Samia Suluhu Hassan tarehe 21 Agosti, 2021.

Muundo wa TPDF kuna wakuu wafuatao wa kamandi 5 source : Mwanzo-Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania
  • Rear Admiral Michael Mwanandenje Mumanga aliteuliwa kuongoza Kamandi ya Jeshi la Wanamaji kuanzia Aug 2021 hadi sasa.
  • Kamandi ya nchi kavu Meja Jenerali Anthony Chacha Sibuti
  • Meja Jenerali Shabani B. Mani aliteuliwa kuwa Kamanda wa Jeshi la Anga kuanzia tarehe 23 Aug 2021 hadi sasa
  • Meja Jenerali Rajabu Mabele mkuu wa JKT kuanzia tarehe 19 May 2021 hadi sasa
  • Kamandi ya MMJ Vikosi chini ya Makao Makuu ya Jeshi Meja Jenerali Ramson Godwin Mwaisaka kuanzia tarehe 01 Jun 21, baada ya kupandishwa cheo kipya kuwa Meja Jenerali
  • Mkuu wa Utumishi Jeshini Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli
  • Mkuu wa Chuo Cha Ulinzi wa Taifa-NDC Meja Jenerali Ibrahim Mhona
  • Meja jenerali JJ Mkunda mkuu wa operesheni JWTZ
  • Meja Jenerali Salum Haji Othman Kamishna wa Utafiti na Maendeleo Jeshini katika Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.


10 June 2022

Mkuu wa operesheni wa JWTZ meja jenerali J.J Mkunda azungumza na wapiganaji waliomaliza mazoezi ya utayari




14 Juni 2022
Dodoma, Tanzania

SIKU YA BAJETI

Jenerali Venance Mabeyo na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wafika Bungeni kusikiliza bajeti ya serikali mwaka 2022/ 2023

 
Back
Top Bottom