Rais Samia amteua Jacob John Mkunda kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF)

Rais Samia amteua Jacob John Mkunda kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF)

Hongera zake; inawezekana Mkingule naye umri ulikuwa umekwenda. Yaani alikuwa anakaribia kustaafu kwa mujibu wa sheria.
 
huwa sipendi kusikia Mkuu wa Majeshi anaitwa "Afande...Mkuu wa Majeshi" sielewi hili neno "afande" ni sahihi kulitumia kwa wenye vyeo vya juu?!

kwa uelewa wangu nilidhani kwa vyeo vya juu anatakiwa kuitwa "kamanda".
naomba ufafanuzi kwa wenye kujua maana huwa nahisi kumuita "afande" ni kama kudunisha cheo chake.
wataalamu naomba mtusaidie hapo.
 
Jamaa mtu peace sana, nishawahi kua nae kwenye issue flan hivi(binafsi) sema kuonana nae ilikua mara chache walinzi wake ndo unaonana nao tuu, nadhan ilikua planned toke mda maana sio kwa ule ulinzi, ndio nmeelewa sasa ila hongera mno kwake kamanda.
 
20220629_203646.jpg

👇
20220629_204216.jpg
 
huwa sipendi kusikia Mkuu wa Majeshi anaitwa "Afande...Mkuu wa Majeshi" sielewi hili neno "afande" ni sahihi kulitumia kwa wenye vyeo vya juu?!

kwa uelewa wangu nilidhani kwa vyeo vya juu anatakiwa kuitwa "kamanda".
naomba ufafanuzi kwa wenye kujua maana huwa nahisi kumuita "afande" ni kama kudunisha cheo chake.
wataalamu naomba mtusaidie hapo.

Kila kamanda ni afande ila sio Kila afande ni kamanda.
 
Who is this guy? Kawaruka Lt. Gens wawili au more kampandishwa kutoka Maj. Gen kuwa Full Gen?
Yaani kutoka two stars Gen kuwa four stars Gen?

Kama alivyomrusha Hamduni
I know VETTING MATTERS but NGOJA tufuatilie CV yake VS ALIOWARUKA

======+
I'll come back for more
Mungu huwa akiamua kukusimamisha hata kama ukiwa jalalani utainuka
 
Kapandishwa kutoka Meja jenerali kawa Jenerali

Mwenzake kapandishwa kutoka Meja jenerali kawa Luteni Jenerali

Hii ki-protocal imekaaje....??? hajarukishwa Cheo huyu mwamba
 
Who is this guy? Kawaruka Lt. Gens wawili au more kampandishwa kutoka Maj. Gen kuwa Full Gen?
Yaani kutoka two stars Gen kuwa four stars Gen?

Kama alivyomrusha Hamduni
I know VETTING MATTERS but NGOJA tufuatilie CV yake VS ALIOWARUKA

======+
I'll come back for more
Kwa wale wasioelewa, Lt General anakuwa mmoja ktk jeshi la TZ. Kwa hiyo sio kweli kuwa amewaruka Lt Generals akamchukua Major General.
 
Back
Top Bottom