ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Jamaa limepiga shuziUraisi amesema ni taasisi ,huyu halali na MAFAILI ya watu kama lile lijiwe Kuna MAFAILI ya Kina Pascal Mayala,Johnbaptist yanaozea kItandani chini ya mto chato.Kumbukeni uteuzi wa Mwigulu ulivyofanyika Toka chato usiku
Wewe ndo unadhani tunaishi kwenye perfect world siyo leo hata angekuja malaika MSD haiwezi ku-attain 100% Fill Rate kwa wateja wake.Uki-Refer recent CAG report,Business Plan ya MSD ili-target stock availability ya 75%,na wakaweza ku-attain only 34% ambayo CAG amei-query.Sasa hata MSD inge-perform to its maximum target ya 75% unategemea hiyo balance ya 25% ingekuwa complemented vipi?Huu ni uchawa mwingine. Unashauri O/S notification badala ya kushauri kuimarisha upatikanaji wa bidhaa za afya. Yaani aboreshe kuonesha tatizo na si kutatua tatizo. Acheni wizi basi.
Kama MSD ingeattain hiyo 75% fill rate, kelele za OS zingepotea mno. Shida kubwa ni kwenye tertiary hospitals na maoteo ya nchi hayapo realistic. Tuki quantify vizuri na procurement process zikaboreshwa OS itakuwa ni kidogo mno.Wewe ndo unadhani tunaishi kwenye perfect world siyo leo hata angekuja malaika MSD haiwezi ku-attain 100% Fill Rate kwa wateja wake.Uki-Refer recent CAG report,Business Plan ya MSD ili-target stock availability ya 75%,na wakaweza ku-attain only 34% ambayo CAG amei-query.Sasa hata MSD inge-perform to its maximum target ya 75% unategemea hiyo balance ya 25% ingekuwa complemented vipi?
Wewe jamaa umesomea uchawa? Wewe ni kichwa wa uchawa na Hakika kazi ya uchawa unaitendea haki kabisaHuyu ndugu Mavere Tukai ni "kichwa" haswaa.....
Ni "pharmaceutical management specialist"....
Jamaa yuko FOCUSED na DETERMINED sana.....
Alikuwa pale USAID....wamarekani wanamfahamu kwa uwezo mkubwa alionao....watammiss sana.....
Imefika muda atutumikie katika MSD.....
Kila la heri kwake kamarada Mavere Tukai ,amen🙏
#Siempre JMT🙏
#YetzerHatov🙏
Mkuu, nani alikudanganya USAID wanaajiri vichwa? Nina ndugu zangu kibao wanafanya kazi USAID na international organization nyingine. Hakuna cha kichwa wala nini.Ni mtaalamu anatokea USAID kule waajiri vichwa tu tena vikali vyenye uwezo mkubwa wa creativity innovation nk
Professional certification yake umeiona ?ni ya kimataifa siyo ya Tanzania .Tanzania wapo wachache sana professionals wenye international certification
Kazi gani udereva?Mkuu, nani alikudanganya USAID wanaajiri vichwa? Nina ndugu zangu kibao wanafanya kazi USAID na international organization nyingine. Hakuna cha kichwa wala nini.
Wewe mwenyewe umesema USAID wanaajiri vichwa kwa hiyo hata kama ni dereva kwa maelezo yako bado ni kichwa, sio?Kazi gani udereva?
Akiboronga tu tunamtoa, na badala yake anawekwa Miraji Kikwete. Hivi leo ni siku gani [emoji849][emoji25]Tuendako tutauona mwanga.....
#Siempre JMT[emoji120]
Hawa jamaa wanafikiri watu mafala....mimi ninao watu mle ndani ... ni wa kawaida sanaMkuu, nani alikudanganya USAID wanaajiri vichwa? Nina ndugu zangu kibao wanafanya kazi USAID na international organization nyingine. Hakuna cha kichwa wala nini.
What is kichwa?Huyu ndugu Mavere Tukai ni "kichwa" haswaa.....
Ni "pharmaceutical management specialist"....
Jamaa yuko FOCUSED na DETERMINED sana.....
Alikuwa pale USAID....wamarekani wanamfahamu kwa uwezo mkubwa alionao....watammiss sana.....
Imefika muda atutumikie katika MSD.....
Kila la heri kwake kamarada Mavere Tukai ,amen[emoji120]
#Siempre JMT[emoji120]
#YetzerHatov[emoji120]
Hana undugu na Hangaya? Maana naye kwa " wa kwetu" hajamnoBongo mradi kunakucha.
Rais anateua, waliobaki wanatangaza,Anafanyia huko huko New York. Huyu mama tumepigwa.
Kusimamishwa sio dhambi isiyofutika boss, aliyemsimamisha hakuwa Mungu ni binadamu. Kwa Mungu kwenye dhambi anazifutaRaymond Mndolwa aliwahi kuwa Mkurugenzi wa Operesheni za Mikoa pale NHC. Kumbukumbu zinaonyesha alisimamishwa kazi kwa tuhuma za ufisadi na aliyekuwa Waziri wa Ardhi, Mhe Lukuvi.
Sasa leo tunaona amepata uteuzi wa Rais. Je zile tuhuma zilikuwa ni malicious!?
CAG naye awe anaimulika serikali je ilipeleka msd pesa ya kununua dawa Kama ilivyopitishwa bajeti ya dawa bungeni? Sio unampima ili umdhalilishe ikiwa unaelewa serikali imepeleka pesa 40% na madeni ya nyuma kibao hujalipa alafu unataka matokeo yawe 100 kwa 100.Wewe ndo unadhani tunaishi kwenye perfect world siyo leo hata angekuja malaika MSD haiwezi ku-attain 100% Fill Rate kwa wateja wake.Uki-Refer recent CAG report,Business Plan ya MSD ili-target stock availability ya 75%,na wakaweza ku-attain only 34% ambayo CAG amei-query.Sasa hata MSD inge-perform to its maximum target ya 75% unategemea hiyo balance ya 25% ingekuwa complemented vipi?
Miraji kikwete nae anamvuta assistant kalapina 🤣🤣🤣🤣Akiboronga tu tunamtoa, na badala yake anawekwa Miraji Kikwete. Hivi leo ni siku gani [emoji849][emoji25]