Bird Watcher
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 3,151
- 6,261
JPM mmesema kweli haya kapumzika huyu nae mlimpokea kqa shangwe now mmeanza kumnanga mnataka nini nyie wagalatia?Anafanyia huko huko New York. Huyu mama tumepigwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JPM mmesema kweli haya kapumzika huyu nae mlimpokea kqa shangwe now mmeanza kumnanga mnataka nini nyie wagalatia?Anafanyia huko huko New York. Huyu mama tumepigwa.
Hata Samia ni zao la USAID.View attachment 2187838
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi jioni ya Aprili 14, 2022 kama ifuatavyo:
Amemteua Rosemary William Slaa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Bohari ya Dawa (MSD), Bi. Slaa ni Afisa Mwandamizi katika Kampuni ya Picenaterhouse Coopers PWC.
Amemteua Mavere Ali Tukai kuwa Mtendaji Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD), Tukai ni Kiongozi Mkuu wa Mradi wa USAID Global Health Supply Chain Technical Assistance.
Amemteua Raymond William Mndolwa kuwa Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji, Mndolwa ni Mtaalam wa Operesheni, Kampuni ya STC Construction, Dar es Salaam.
Taarifa ya Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Zuhura Yunus ni kuwa uteuzi huo unaanza mara moja.
View attachment 2187787
Uraisi amesema ni taasisi ,huyu halali na MAFAILI ya watu kama lile lijiwe Kuna MAFAILI ya Kina Pascal Mayala,Johnbaptist yanaozea kItandani chini ya mto chato.Kumbukeni uteuzi wa Mwigulu ulivyofanyika Toka chato usikuSiku hizi barua za uteuzi zinasainiwa hotelini. Haya mama endelea kuupiga mwingi.
Kateuliwa sababu ya vyeti.Tukai Mavere is a pharmaceutical management specialist and a procurement professional experienced in pharmaceutical management, supply chain management and projects management. His supply chain management knowledge were acquired from the Chartered Institute of Purchasing and Supplies (CIPS); he also has a Bachelor Degree in Pharmacy [BPHARM] and Masters Degree in Pharmaceutical Services and Medicines Control: Mavere has hands-on experience in procurement, project management, supervision, and training and pharmaceutical supply chain management. He has a total of 14 year work experience and over ten year experience in supply chain management.
Tuna subiria restructure ya jeshi la polisi.View attachment 2187838
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi jioni ya Aprili 14, 2022 kama ifuatavyo:
Amemteua Rosemary William Slaa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Bohari ya Dawa (MSD), Bi. Slaa ni Afisa Mwandamizi katika Kampuni ya Picenaterhouse Coopers PWC.
Amemteua Mavere Ali Tukai kuwa Mtendaji Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD), Tukai ni Kiongozi Mkuu wa Mradi wa USAID Global Health Supply Chain Technical Assistance.
Amemteua Raymond William Mndolwa kuwa Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji, Mndolwa ni Mtaalam wa Operesheni, Kampuni ya STC Construction, Dar es Salaam.
Taarifa ya Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Zuhura Yunus ni kuwa uteuzi huo unaanza mara moja.
View attachment 2187787
pamoja na kumpamba kwa mie hata angewekwa mwalimu mkuu hapo ni sawa kuliko kumuacha huyo MEJA JENERALI MHIDZE aendelee kuwa hapo! mgombanishi sana! na ndio wanajeshi walioshikizwa nafasi kubwa uraiani wapo hivyoHuyu ndugu Mavere Tukai ni "kichwa" haswaa.....
Ni "pharmaceutical management specialist"....
Jamaa yuko FOCUSED na DETERMINED sana.....
Alikuwa pale USAID....wamarekani wanamfahamu kwa uwezo mkubwa alionao....watammiss sana.....
Imefika muda atutumikie katika MSD.....
Kila la heri kwake kamarada Mavere Tukai ,amen🙏
#Siempre JMT
#YetzerHatov🙏
Anaweza akapigwa figisu akaonekana hovas kabisaHuyu ndugu Mavere Tukai ni "kichwa" haswaa.....
Ni "pharmaceutical management specialist"....
Jamaa yuko FOCUSED na DETERMINED sana.....
Alikuwa pale USAID....wamarekani wanamfahamu kwa uwezo mkubwa alionao....watammiss sana.....
Imefika muda atutumikie katika MSD.....
Kila la heri kwake kamarada Mavere Tukai ,amen🙏
#Siempre JMT🙏
#YetzerHatov🙏
Mbona Hayati Rais Magufuli alipokuwa akitoa maelekezo kutokea Chato mligomba sana!Popote alipo Rais ni ofisi....
Watu wamekosa uteuzi INAUMAAAAAH!Duuh 😳🤣🤣
Mkuu si kwa povu hili usiku mkubwa....
Ok....twende taratibu...
Sasa ulitaka amteue nani hapo MSD?!!!!
Safi Sana ,Rais anawajali watu wenye kuonyesha weledi na hasa kutoka private sector..View attachment 2187838
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi jioni ya Aprili 14, 2022 kama ifuatavyo:
Amemteua Rosemary William Slaa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Bohari ya Dawa (MSD), Bi. Slaa ni Afisa Mwandamizi katika Kampuni ya Picenaterhouse Coopers PWC.
Amemteua Mavere Ali Tukai kuwa Mtendaji Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD), Tukai ni Kiongozi Mkuu wa Mradi wa USAID Global Health Supply Chain Technical Assistance.
Amemteua Raymond William Mndolwa kuwa Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji, Mndolwa ni Mtaalam wa Operesheni, Kampuni ya STC Construction, Dar es Salaam.
Taarifa ya Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Zuhura Yunus ni kuwa uteuzi huo unaanza mara moja.
View attachment 2187787
Hata Laurian Rugambwa alitoka huko huko na cv yake ni kubwa kuliko ya huyu..Huyu ndugu Mavere Tukai ni "kichwa" haswaa.....
Ni "pharmaceutical management specialist"....
Jamaa yuko FOCUSED na DETERMINED sana.....
Alikuwa pale USAID....wamarekani wanamfahamu kwa uwezo mkubwa alionao....watammiss sana.....
Imefika muda atutumikie katika MSD.....
Kila la heri kwake kamarada Mavere Tukai ,amen🙏
#Siempre JMT🙏
#YetzerHatov🙏
Tatizo la nchi yetu si viongozi bali ni mfumo mzima. Kila mtu mpigaji kuanzia juu hadi chini hata ukiweka mtu smart sana huko juu mfumo utamhujumu ili ashindwe waweze kupiga pesa. Inahitajika tufanyie overhaul kwa mifumo yetu kuanzia elimu za chini. Watu wanaingia kwenye ajira wakiwa na focus ni vipi wanaweza kumake easy money na kufanikiwa.Nami nampomgeza Mavere kwa kuteuliwa kwani kisifa anastahili,anapenda kusikiliza and i think ni team player.
Namshauri awe tayari kujifunza make MSD iko complex,asiendekeze ma-chawa na wapiga debe make sasa watamininika vya kutosha.
Mr.Mavere, Tengeneza team yako ikijumuisha watu wenye uzoefu na institution memory ya MSD,vinginevyo ukibeba jamaa zako wa wa NGO ya Global Health na kuona ni zamu yenu ya kula urefu wa kamba,eventually yatakukuta ya Mej.General Mhidze ambae aliamini wanajeshi wenzie ndio wanaweza kazi na ku-ignore watu wenye institution memory,matokeo yake kaondoka kwa Aibu
Unaishi ulimwengu wa zamani sana!Mama si yupo marekani?, huyu alifanya huu uteuzi ni nani??
Huu ni uchawa mwingine. Unashauri O/S notification badala ya kushauri kuimarisha upatikanaji wa bidhaa za afya. Yaani aboreshe kuonesha tatizo na si kutatua tatizo. Acheni wizi basi.Acha uchawa huko USAID kuna vilaza kibao wanachojua ni kuandika vi-report vya ku-solicit donor funding lkn impact kwenye Taasisi kama MSD unakuta haziko practical na zisizo na impact kwenye operations,mtihani rahisi wa kuanzia kwa Mavere ni MSD kutoa Automated O/S notification ndani ya 24 hrs kwa Hospitals na HFs,jambo ambalo akiwa Global Health alikuwa analipigia debe
Maza ilibidi akuteuwe ww manake una solutions zoteHongera Mavere .
Mama ameupiga mwingi mno.
Hongera Rosemary. Hapa ndio mama kapatia sana. Rose anaifahamu MSD mno. Very calm and composed. Na maswali yake fikirishi. She enjoys playing with data.
Mavere fanya adjustment procurement. Usiwaondoe watumishi wote bali mkuu wao. Atakukwamisha.
Una kazi ya ku deal na Wizara. Jamaa wana interest binafsi mno. Hili shimo sijui unatoboaje. Msaada wa Ikulu ni muhimu. Hapa sio waziri.
Angalia sana uwezo wa watu. Kuna majungu mno. Utaambiwa unatembea na fulani. Usikubali kusikiliza umbeya.