Rais Samia amteua Mavere Tukai kuwa Mtendaji Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD)

Rais Samia amteua Mavere Tukai kuwa Mtendaji Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD)

Issue ni maelekezo ya Wakubwa kwny Taasisi za umma usidhan waliokuwepo huko ni 'vilaza'
Huyu ndugu Mavere Tukai ni "kichwa" haswaa.....

Ni "pharmaceutical management specialist"....

Jamaa yuko FOCUSED na DETERMINED sana.....

Alikuwa pale USAID....wamarekani wanamfahamu kwa uwezo mkubwa alionao....watammiss sana.....

Imefika muda atutumikie katika MSD.....

Kila la heri kwake kamarada Mavere Tukai ,amen[emoji120]

#Siempre JMT[emoji120]
#YetzerHatov[emoji120]
 
Issue ni maelekezo ya Wakubwa kwny Taasisi za umma usidhan waliokuwepo huko ni 'vilaza'

Sawa.....

Yangekuwa ni maelekezo ya kuzodolewa kusikokwisha iwapo angeniteua mimi Jumbe Brown ,kijana muuza kahawa na Al Kasus hapa kwa Mtogole.......

#Siempre JMT🙏
 
jibu swali , uchawa wako kwa mteule usiusambaze JF , hatutakubali
🤣🤣Ila langu si swali ?!!

Yaani chawa uwe wewe tu humu JF...ukitusambazia uchawa wako kwa Mbowe na kule ukweni kwake sisi tukubali eee?!! Si ndio ?!!!
 
[emoji1787][emoji1787]Ila langu si swali ?!!

Yaani chawa uwe wewe tu humu JF...ukitusambazia uchawa wako kwa Mbowe na kule ukweni kwake sisi tukubali eee?!! Si ndio ?!!!
huna hoja , akina pascal walisifu makonda humu na tuliwaonya , leo wanadhalilika tu
 
Hii MSD ni moja ya mashirika yenye pepo mchafu. Huyu mtendaji Mkuu mpya ndio kaja na yale maagizo ya kuifumua MSD aka bohari kuu ya madawa ya binadamu.
Tuendako tutauona mwanga.....

#Siempre JMT🙏
 
Back
Top Bottom