Rais Samia amteua Mavere Tukai kuwa Mtendaji Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD)

Rais Samia amteua Mavere Tukai kuwa Mtendaji Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD)

Huyu Mavere Tukai ni "pharmaceutical management specialist".....amebobea haswa na ana IQ nzuri na anapenda KUSIKILIZA sana......

Mkuu wangu Nyboma kwa heshima ya ulipopita na kufanya kazi kama mzalendo si vema kuwakandia watanzania wenzako....

#Against Bigotry [emoji120]
#Against Any Form Of Prejudice And Discrimination [emoji120]

SIEMPRE JMT[emoji120]
Eh...

Wabongo bana ehe jamaa ni kichwaa haswa..... very smart

Ova
 
Kichwa maana yake nini weww sema umetumwa kuja kuoamba pamba tu hapa. Kuna vichwa vingapi tz hapa hadi vimepita Harvard lakini hakuna kitu. Akina prof muhongo na chenge sio vichwa?.mbona wameboronga kama kawaida?. Unga wa giningi............... Kaa kwa kutulia weae kijana. Kuna watu wenye weredi wengi sana tz lakini uliza wanachofanya maofisini hata form 6 hawezi fanya
Kweli mijitu km Chenge majizi makubwa eti yamesoma Havard! Mbuzi kasoro Mkia! Takataka kabisa!
 
Huyu Mavere Tukai ni "pharmaceutical management specialist".....amebobea haswa na ana IQ nzuri na anapenda KUSIKILIZA sana......

Mkuu wangu Nyboma kwa heshima ya ulipopita na kufanya kazi kama mzalendo si vema kuwakandia watanzania wenzako....

#Against Bigotry 🙏
#Against Any Form Of Prejudice And Discrimination 🙏

SIEMPRE JMT🙏

Maadam ni wewe chawa ndio unamsifia huyu jamaa nadhani hamna kitu kwani NDEGE WAFANANAO NDIO HURUKA PAMOJA!
 
Huyu Mavere Tukai ni "pharmaceutical management specialist".....amebobea haswa na ana IQ nzuri na anapenda KUSIKILIZA sana......

Mkuu wangu Nyboma kwa heshima ya ulipopita na kufanya kazi kama mzalendo si vema kuwakandia watanzania wenzako....

#Against Bigotry 🙏
#Against Any Form Of Prejudice And Discrimination 🙏

SIEMPRE JMT🙏
Nami nampomgeza Mavere kwa kuteuliwa kwani kisifa anastahili,anapenda kusikiliza and i think ni team player.

Namshauri awe tayari kujifunza make MSD iko complex,asiendekeze ma-chawa na wapiga debe make sasa watamininika vya kutosha.

Mr. Mavere, Tengeneza team yako ikijumuisha watu wenye uzoefu na institution memory ya MSD,vinginevyo ukibeba jamaa zako wa wa NGO ya Global Health na kuona ni zamu yenu ya kula urefu wa kamba,eventually yatakukuta ya Mej. General Mhidze ambae aliamini wanajeshi wenzie ndio wanaweza kazi na ku-ignore watu wenye institution memory,matokeo yake kaondoka kwa Aibu
 
Mkuu wangu unapinga hata uteuzi wa kichwa Tukai Mavere?!!!🤣🤣
Kuna teuzi zinafanyika mtu hata kama humjui unasikia tu amani moyoni .ccm mpaka something I happen ndo akili zinawarudi. Tubahitaji teuzi zinazotutendea haki sisi wavuja jasho. Narudia vijana ni wengi sana wenye weledi na uwezo wa kufanya kazi
 
Hongera Mavere .

Mama ameupiga mwingi mno.

Hongera Rosemary. Hapa ndio mama kapatia sana. Rose anaifahamu MSD mno. Very calm and composed. Na maswali yake fikirishi. She enjoys playing with data.
Mavere fanya adjustment procurement. Usiwaondoe watumishi wote bali mkuu wao. Atakukwamisha.

Una kazi ya ku deal na Wizara. Jamaa wana interest binafsi mno. Hili shimo sijui unatoboaje. Msaada wa Ikulu ni muhimu. Hapa sio waziri.

Angalia sana uwezo wa watu. Kuna majungu mno. Utaambiwa unatembea na fulani. Usikubali kusikiliza umbeya.
 
Sikiliza sana unachoambiwa. Watu wana interest binafsi hivyo kuharibu utendaji.
 
Back
Top Bottom