Kabwe Katali
JF-Expert Member
- Dec 8, 2021
- 475
- 934
Pascal yupo vizuri sana.Sema alipomchokoza Ndugai alipoitwa Dodoma hatujui aliambiwa nini .Tukaona mwenzetu kakata moto.anyway mtu yoyote anaweza kupata kilichomtokea Mayalla.waliokuwa na shingo ngumu ndio wakapigwa shaba za kutosha kabisa.tusimdhihaki ana mchango wake mkubwa tu kwa watanzania.Pascal Mayalla alishakataa hizo kazi
Pascal ni very senior kwa Msigwa na Jafari lakini alishajiondoa kwenye system anafanya yake
Halafu mtu anakuja kutudanganya hapa eti ni mmachame!Zuhura ni mzenji pure kabisa.
Karoho kama kameuma hivi mkuu..Maana ghafla "Duh"... af ukazugia na "Usipime" na mwisho ikjificha kwenye "Hongera".Duh! Usipime!
Kazi imepata mtu stahiki.
Hongera Zuhura Yunus!
P
Huyu dada ni mtu wa Tanga.Ni mmachame
Unaweza kuficha mavi lakini harufu itakuumbua.Ulizunguka sana kuhusu huu uteuzi lakini mwishoni sura yako halisi imejitokeza .Na magaidi wanaotusumbua huko mtwara ni dini gani?
hawakuoni!Duh! Usipime!
Kazi imepata mtu stahiki.
Hongera Zuhura Yunus!
P
Alidhani Akiuponda UPINZANI atapata teuziPascal Mayalla anaendelea kupiga picha daraja la Tanzanite na kupost
Yule mahita mtesi wa watu ni dini gani?
Inasemekana hivyoOh kumbe! Mpare nini?
Inawezekana sana tuHivi unaweza fanya kazi Ikulu kama sio afisa usalama?
Kuna nafasi kubwa zaidi ya Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu ??Kwaiyo kwa akili yenu fupi mnahisi kafukuzwa au??! Anapelekwa kwenye nafasi nyingine kubwa kuliko hiyo
π€£π€£ππππ
Ana vijimaneno vyake fulani ambavyo ukisoma lazima ucheke.
Rejwa uzi wake juzi alisema mamluki wapigwa bumbuwaziπππ
Hongera sasa atumie uleule weledi alokua nao BBC akilegea aka akavaa shati la kijani atapoteza heshima yake .
Pale mlangoni ikulu Kuna Aya ya quran..tangu nyerereLet us wait and see if she will be free to "write"..... ushungi mwenzake.... mambo yameiva sasa. Bado msikiti kujengwa Ikulu!
Una nini lakini?[emoji1787][emoji1787]
Hivi mamluki akiwa mmoja ni MLUKI?
Maelezo yote haya ya nini??!Hongera kwake Zuhura Yunus
Hakuna uteuzi wa rais unaokataza utenguzi. Penye Uteuzi pana utenguzi pia ni swala la wakati tuu kama ilivyotokea kwa msigwa, haniu na wengine
UsingiziUna nini lakini?
Sio kweli...kwa hili hapana.Inawezekana sana tu