Kabwe Katali
JF-Expert Member
- Dec 8, 2021
- 475
- 934
Pascal yupo vizuri sana.Sema alipomchokoza Ndugai alipoitwa Dodoma hatujui aliambiwa nini .Tukaona mwenzetu kakata moto.anyway mtu yoyote anaweza kupata kilichomtokea Mayalla.waliokuwa na shingo ngumu ndio wakapigwa shaba za kutosha kabisa.tusimdhihaki ana mchango wake mkubwa tu kwa watanzania.Pascal Mayalla alishakataa hizo kazi
Pascal ni very senior kwa Msigwa na Jafari lakini alishajiondoa kwenye system anafanya yake