Rais Samia amteua Zuhura Yunus kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Jaffar Haniu kupangiwa kazi nyingine

Rais Samia amteua Zuhura Yunus kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Jaffar Haniu kupangiwa kazi nyingine

Pascal Mayalla alishakataa hizo kazi
Pascal ni very senior kwa Msigwa na Jafari lakini alishajiondoa kwenye system anafanya yake
Pascal yupo vizuri sana.Sema alipomchokoza Ndugai alipoitwa Dodoma hatujui aliambiwa nini .Tukaona mwenzetu kakata moto.anyway mtu yoyote anaweza kupata kilichomtokea Mayalla.waliokuwa na shingo ngumu ndio wakapigwa shaba za kutosha kabisa.tusimdhihaki ana mchango wake mkubwa tu kwa watanzania.
 
Na magaidi wanaotusumbua huko mtwara ni dini gani?
Unaweza kuficha mavi lakini harufu itakuumbua.Ulizunguka sana kuhusu huu uteuzi lakini mwishoni sura yako halisi imejitokeza .
The lights are on but nobody is home.
 
Hataweza, huku anaambiwa cha kusema BBC alikuwa anaamua yeye nini cha kusema.
Hongera sasa atumie uleule weledi alokua nao BBC akilegea aka akavaa shati la kijani atapoteza heshima yake .
 
Hongera kwake Zuhura Yunus

Hakuna uteuzi wa rais unaokataza utenguzi. Penye Uteuzi pana utenguzi pia ni swala la wakati tuu kama ilivyotokea kwa msigwa, haniu na wengine
Maelezo yote haya ya nini??!
 
Back
Top Bottom