Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si KAZI ya Rais kurudisha wanachama waliorudisha kadi za CCM ktk mkutano wa hadhara.CCM ni Chama Dola usisahau hilo!
Huyu Hanaf Msabaha ni mtoto wa Msabaha Bangusilo aliyekuwa Waziri wa Nishati enzi za sakata la Richmond?Hii nimeiona ITV habari. Mama kakasirika mkuu wa wilaya kufanya uzembe kwa wananchi kurudisha kadi za chama kisa Mtwara wengi ni upinzani.
My Take: Tuendelee kupambana!
=========
Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza kumuondoa kazini Hanafi Hassan Msabaha wakati akifunga mafunzo ya uongozi kwa Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala katika Shule ya Uongozi Kibaha
Akieleza sababu zilizopelekea uamuzi huo Rais Samia amesema Mkuu huyo wa Wilaya amekuwa akipokea hongo na kuhamisha Miradi inapotakiwa kwenda na kuipelekea sehemu isiyohitajika, kitendo kilichofanya Wananchi kukerwa na kurudisha Kadi za Chama
Amesema hawezi kustahimili kuona Kadi za Chama zinarudishwa wakati Mkuu wa Wilaya na Mkurugenzi wapo na walipoulizwa, Wakuu hao walijibu kuwa eneo hilo lina Wapinzani wengi
View attachment 2730252
Tuma ndefu, imeishia katikati, "...na wamejenga..."Rais Samia Suluhu Hassan amesema anamfuta kazi Mkuu wa Wilaya ya Mtwara vijijini, Hanafi Msabaha kutokana na kushindwa kusikiliza kero za wananchi hadi kupelekea wananchi hao kurudisha kadi za chama cha Mapinduzi (CCM).
Samia ameyasema hayo leo Jumapili Agosti 27, 2023 akifunga mafunzo ya uongozi kwa Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala katika Shule ya Uongozi Kibaha, mkoani Pwani.
"Mnapopuuza kero zao sijui mtaenda kujibu nini kwa Mungu…..Mkuu wa Wilaya anahongwa, mradi unapelekwa usikotakiwa kiasi kwamba wananchi wanarudisha kadi za chama, Sina Imani na mkuu wa Wilaya anayesababisha kadi zirudishwe, Mkuu wa Wilaya Mtwara vijijini, namtimua Leo, siwezi kustahimili kadi zinarudishwa,”amesema Rais Samia.
Habari nzuri sana hii. Turudishe kadi.kwa wingi..watimuliwe wengiHii nimeiona ITV habari. Mama kakasirika mkuu wa wilaya kufanya uzembe kwa wananchi kurudisha kadi za chama kisa Mtwara wengi ni upinzani.
My Take: Tuendelee kupambana!
=========
Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza kumuondoa kazini Hanafi Hassan Msabaha wakati akifunga mafunzo ya uongozi kwa Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala katika Shule ya Uongozi Kibaha
Akieleza sababu zilizopelekea uamuzi huo Rais Samia amesema Mkuu huyo wa Wilaya amekuwa akipokea hongo na kuhamisha Miradi inapotakiwa kwenda na kuipelekea sehemu isiyohitajika, kitendo kilichofanya Wananchi kukerwa na kurudisha Kadi za Chama
Amesema hawezi kustahimili kuona Kadi za Chama zinarudishwa wakati Mkuu wa Wilaya na Mkurugenzi wapo na walipoulizwa, Wakuu hao walijibu kuwa eneo hilo lina Wapinzani wengi
View attachment 2730252
CHADEMA mtaangaika sana ila nakusaidia tu Rais Samia alishinda Kwa 85% uchaguzi mkuu uliopita na CHADEMA ilipata 13% , Sasa tangu lini 13% ikawa nyingi Kwa 85%?Mbona yeye hasikilizi kero za watanzania walio wengi juu ya Mkataba wa Bandari?
Rais Samia Suluhu Hassan amesema anamfuta kazi Mkuu wa Wilaya ya Mtwara vijijini, Hanafi Msabaha kutokana na kushindwa kusikiliza kero za wananchi hadi kupelekea wananchi hao kurudisha kadi za chama cha Mapinduzi (CCM).
Samia ameyasema hayo leo Jumapili Agosti 27, 2023 akifunga mafunzo ya uongozi kwa Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala katika Shule ya Uongozi Kibaha, mkoani Pwani.
"Mnapopuuza kero zao sijui mtaenda kujibu nini kwa Mungu…..Mkuu wa Wilaya anahongwa, mradi unapelekwa usikotakiwa kiasi kwamba wananchi wanarudisha kadi za chama, Sina Imani na mkuu wa Wilaya anayesababisha kadi zirudishwe, Mkuu wa Wilaya Mtwara vijijini, namtimua Leo, siwezi kustahimili kadi zinarudishwa,”amesema Rais Samia.
View: https://www.instagram.com/p/CwcbU1FN79K/
Ndo maana inabidi wakuu wa mikoa na wilaya wapigiwe kura.Hii nimeiona ITV habari. Mama kakasirika mkuu wa wilaya kufanya uzembe kwa wananchi kurudisha kadi za chama kisa Mtwara wengi ni upinzani.
My Take: Tuendelee kupambana!
=========
Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza kumuondoa kazini Hanafi Hassan Msabaha wakati akifunga mafunzo ya uongozi kwa Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala katika Shule ya Uongozi Kibaha
Akieleza sababu zilizopelekea uamuzi huo Rais Samia amesema Mkuu huyo wa Wilaya amekuwa akipokea hongo na kuhamisha Miradi inapotakiwa kwenda na kuipelekea sehemu isiyohitajika, kitendo kilichofanya Wananchi kukerwa na kurudisha Kadi za Chama
Amesema hawezi kustahimili kuona Kadi za Chama zinarudishwa wakati Mkuu wa Wilaya na Mkurugenzi wapo na walipoulizwa, Wakuu hao walijibu kuwa eneo hilo lina Wapinzani wengi
View attachment 2730252
Sababu ya DC kufukuzwa ndio hizo hapo kwenye 'bold'....hayo ya kadi kurudishwa ni nyongeza tu.Akieleza sababu zilizopelekea uamuzi huo Rais Samia amesema Mkuu huyo wa Wilaya amekuwa akipokea hongo na kuhamisha Miradi inapotakiwa kwenda na kuipelekea sehemu isiyohitajika, kitendo kilichofanya Wananchi kukerwa na kurudisha Kadi za Chama
Na bado tutazirudisha tena hapa tumezinduliwa toka usingizini. Wajiandae zaidiHii nimeiona ITV habari. Mama kakasirika mkuu wa wilaya kufanya uzembe kwa wananchi kurudisha kadi za chama kisa Mtwara wengi ni upinzani.
My Take: Tuendelee kupambana!
=========
Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza kumuondoa kazini Hanafi Hassan Msabaha wakati akifunga mafunzo ya uongozi kwa Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala katika Shule ya Uongozi Kibaha
Akieleza sababu zilizopelekea uamuzi huo Rais Samia amesema Mkuu huyo wa Wilaya amekuwa akipokea hongo na kuhamisha Miradi inapotakiwa kwenda na kuipelekea sehemu isiyohitajika, kitendo kilichofanya Wananchi kukerwa na kurudisha Kadi za Chama
Amesema hawezi kustahimili kuona Kadi za Chama zinarudishwa wakati Mkuu wa Wilaya na Mkurugenzi wapo na walipoulizwa, Wakuu hao walijibu kuwa eneo hilo lina Wapinzani wengi
View attachment 2730252
Rais ndio Mwenyekiti wa CCMSi KAZI ya Rais kurudisha wanachama waliorudisha kadi za CCM ktk mkutano wa hadhara.
Ila, wananchi nao hawana HOFU,
Kwamba wamerudisha kadi hadharani, kweupe?
Msiwasingizie CDM ktk hili.
Dogo huwa ana ufala mwingi sana huyu. Halafu kuanzia Uvinza hadi Mtwara huwa anajiona yupo juu hata ya wakuu wa Mikoa akijifanya yeye ni wa kutoka Kitengo.Sababu ya DC kufukuzwa ndio hizo hapo kwenye 'bold'....hayo ya kadi kurudishwa ni nyongeza tu.
Chama ndio kinaunda serikali.Wakati mkilaumu dini zisichanganywe na siasa,
Kiongozi wetu, anachanganya Urais na uchama!!
Kuna kosa Gani wananchi kuikataa CCM, ndo democracy yenyewe!!
Samahani, naomba kukuuliza swali! Je ni lini Samia Suluhu Hassan akagombea urais wa Tanzania?CHADEMA mtaangaika sana ila nakusaidia tu Rais Samia alishinda Kwa 85% uchaguzi mkuu uliopita na CHADEMA ilipata 13% , Sasa tangu lini 13% ikawa nyingi Kwa 85%?
Pale jukwaani alikuwa anafanya KAZI ya chama au Serikali?Rais ndio Mwenyekiti wa CCM