Rais Samia amtimua Hanafi Hassan Msabaha, Mkuu wa Wilaya ya Mtwara kisa wananchi kurudisha Kadi za CCM

Rais Samia amtimua Hanafi Hassan Msabaha, Mkuu wa Wilaya ya Mtwara kisa wananchi kurudisha Kadi za CCM

Mtumbuaji hamnazo na aliyetumbuliwa hamnazo..
Mkuu wa wilaya atatatua kero kwa pesa za mshahara wake?
Pelekeni pesa.
Hapo sababu haswa ni kurudishwa kadi ya CCM si jambo jingine
 
Kwahiyo kurudisha kadi za CCM kumemuuma sana mpaka anamtimua kazi mtu!!!kwahiyo njia ya kufuta mkataba wa dp word ni kurudisha kadi za CCM,,,haya kina bi Tibaijuka na mzee Warioba mshapewa njia!!
 
Raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania Dk Samia suluhu hassan akiwa mkoani pwani amesisitiza viongozi kuwa wabunifu na kutosubiria maelekezo kutoka juu hata hivyo amemtumbua mkuu wa wa wilaya ya mtwara baada ya wananchi kurudisha kadi za chama kwa kisingizio kuwa kuna upinzani mkali wilayani humo ,chanzo cha kutumbuliwa ndoo hicho kwa hiyo hana imani naye tena[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]View attachment 2730337
Kwa hiyo njia pekee ya kuakoa BANDARI ZETU ni Kurudisha kadi za CCM?
 
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Screenshot_20230827-143213.jpg
 
Raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania Dk Samia suluhu hassan akiwa mkoani pwani amesisitiza viongozi kuwa wabunifu na kutosubiria maelekezo kutoka juu hata hivyo amemtumbua mkuu wa wa wilaya ya mtwara baada ya wananchi kurudisha kadi za chama kwa kisingizio kuwa kuna upinzani mkali wilayani humo ,chanzo cha kutumbuliwa ndoo hicho kwa hiyo hana imani naye tena[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]View attachment 2730337
Ili kadi zisirudishwe kero na wananchi na hoja zao zisikilizwe!! Hii ndio solution pekee na sio utumbuaji!! Kuna shida kubwa kiutawala kutowathamin wananchi pale wanapopinga jambo au kulalamikia changamoto kadha wa kadha!!
 
Nafikiri wangepelekewa maendeleo sijui kama wangewaza kuhusu upinzani au kurudisha hizo Kadi,,, mikoa ya huko ni kama imesahaulika,,,gesi,korosho, au basi
 
Mtwara huku lipumba aliujenga upinzani hasa jimbo là tandahimba, newala ,mtwara mjini na mtwara vijijini
 
So kurudisha kadi nikwamba sinampango wa kuchukua.

Haiwezekani kundi la wahuni wanakudanganya eti ongezeko la mshahara wa mtumishi sh Saba. 7

Wananch wengi zaidi ya 50 million wanategemea chench za mishahara wanayopokea watumishi maviongozi ya juu yanakula posho kibao. Hivi mwl wa darasan, nurse anakula posho wapi
Maandamano ya watumishi wa umma yapo kikatiba kabisa, mnakwama wapi walimu nk nk?
 
Hao wamechepusha miradi ya serekali kwenye sehemu ambayo ni ya cuf wakidhani wangemfurahisha rais,kumbe wamemchukiza vibaya sana. (MH.samia rais wa wote )
 
Back
Top Bottom