Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuleta stability na chance ya maendeleo ya kweli jwanza kijani wapumzishwe na muda ni sasa Watanzania tusipotumia hii nafasi muda huu, itachukua tena muda sanaUmewaza kama mimi. Au hajui kama kuna wanachama wameacha kushiriki mambo ya kichama kwasababu yake?
Tangu aliposababisha spika kujiuzulu, tangu aliporudisha watendaji wabovu kwenye wizara (akina mwigulu, makamba na nnauye), tangu aliposaini makubaliano/mikataba yenye utata; kuna watu hawana imani kabisa.
Na huo ndio ukweli jamani wala sio chuki kama chawa wake wanavyotafsiri!
Hii nimeiona ITV habari. Mama kakasirika mkuu wa wilaya kufanya uzembe kwa wananchi kurudisha kadi za chama kisa Mtwara wengi ni upinzani.
My Take: Tuendelee kupambana!
=========
Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza kumuondoa kazini Hanafi Hassan Msabaha wakati akifunga mafunzo ya uongozi kwa Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala katika Shule ya Uongozi Kibaha
Akieleza sababu zilizopelekea uamuzi huo Rais Samia amesema Mkuu huyo wa Wilaya amekuwa akipokea hongo na kuhamisha Miradi inapotakiwa kwenda na kuipelekea sehemu isiyohitajika, kitendo kilichofanya Wananchi kukerwa na kurudisha Kadi za Chama
Amesema hawezi kustahimili kuona Kadi za Chama zinarudishwa wakati Mkuu wa Wilaya na Mkurugenzi wapo na walipoulizwa, Wakuu hao walijibu kuwa eneo hilo lina Wapinzani wengi
View attachment 2730252
Huyu Hanaf Msabaha ni mtoto wa Msabaha Bangusilo aliyekuwa Waziri wa Nishati enzi za sakata la Richmond?
Ndo maana inabidi wakuu wa mikoa na wilaya wapigiwe kura.
Umewaonea! Watu wanafuata sera........................bandari!Raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania Dk Samia suluhu hassan akiwa mkoani pwani amesisitiza viongozi kuwa wabunifu na kutosubiria maelekezo kutoka juu hata hivyo amemtumbua mkuu wa wa wilaya ya mtwara baada ya wananchi kurudisha kadi za chama kwa kisingizio kuwa kuna upinzani mkali wilayani humo ,chanzo cha kutumbuliwa ndoo hicho kwa hiyo hana imani naye tena[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]View attachment 2730337
Anatetea Power, power threatened..............trying to make power consolidationRaisi amepanic kwa mambo ya hivyo ila wizi ukitokea hatusikii kelele
DPW inamchanganya maskini ya MunguRaisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania Dk Samia suluhu hassan akiwa mkoani pwani amesisitiza viongozi kuwa wabunifu na kutosubiria maelekezo kutoka juu hata hivyo amemtumbua mkuu wa wa wilaya ya mtwara baada ya wananchi kurudisha kadi za chama kwa kisingizio kuwa kuna upinzani mkali wilayani humo ,chanzo cha kutumbuliwa ndoo hicho kwa hiyo hana imani naye tena[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]View attachment 2730337
wizi ah! kuiba sawa......Hii nimeiona ITV habari. Mama kakasirika mkuu wa wilaya kufanya uzembe kwa wananchi kurudisha kadi za chama kisa Mtwara wengi ni upinzani.
My Take: Tuendelee kupambana!
=========
Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza kumuondoa kazini Hanafi Hassan Msabaha wakati akifunga mafunzo ya uongozi kwa Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala katika Shule ya Uongozi Kibaha
Akieleza sababu zilizopelekea uamuzi huo Rais Samia amesema Mkuu huyo wa Wilaya amekuwa akipokea hongo na kuhamisha Miradi inapotakiwa kwenda na kuipelekea sehemu isiyohitajika, kitendo kilichofanya Wananchi kukerwa na kurudisha Kadi za Chama
Amesema hawezi kustahimili kuona Kadi za Chama zinarudishwa wakati Mkuu wa Wilaya na Mkurugenzi wapo na walipoulizwa, Wakuu hao walijibu kuwa eneo hilo lina Wapinzani wengi
View attachment 2730252
nan anasema hivyo ccmu au katiba ?wanasema serikali ni ya CCM na watumishi wanaitetea CCM
Kuna kadi zingine hivi karibuni zitarudishwa Kilosa ambako kuna matajiri wamedhurumu ardhi ya wanakijiji kwa kumhonga DC na DEDSina Imani na mkuu wa Wilaya anayesababisha kadi zirudishwe, Mkuu wa Wilaya Mtwara vijijini, namtimua Leo, siwezi kustahimili kadi zinarudishwa,”amesema Rais Samia.