Rais Samia amtimua Hanafi Hassan Msabaha, Mkuu wa Wilaya ya Mtwara kisa wananchi kurudisha Kadi za CCM

Rais Samia amtimua Hanafi Hassan Msabaha, Mkuu wa Wilaya ya Mtwara kisa wananchi kurudisha Kadi za CCM

Kidogo kidogo maza naye anatamani kuwa 'dikteta'!
 
Hahahaaa!! Secta ya kuteua na kutengua ndio anachoweza huyu kizimkazi.
Mambo magumu na makubwa kwa watanganyika hawezi kama ss imekua kasuba wauzaji wa mafuta kuficha mafuta wakisubilia juma5 ya mwanzo w mwezi wauze kwa bei kubwa.Huku kizimkazi hawezi kugusa kabisa.
1. Mkuu wa EWURA ni mume w spika.
2. Waziri wa nishati ni MTOTO wa kigogo na Kada mwandamizi.
Sio mkuu w wilaya kashindwa ww ndio umeshindwa na hii ni salamu kwako kizimkazi
 
DC na DED katika moja ya JD zao ni kuhakikisha chama tawala kinabaki madarakani na wanachama hawarudishi kadi.?

Mbona katiba yetu ya hovyo namna hii?
 
Kizimkazi mbona ww umepuza kero z watanganyika kwenye BANDARI je na ww utajibu nn kwa mungu AU teseme ww wa motoni?
 
Akili sifuri lile Libibi la Cuba, hana kifua, hana integrity ya kuhudumu ofisi Ile matope ndio kazi wanaweza.
Kuumizwa na kitu usichoweza kukibadilisha uelekeo ni kujitafutia maradhi ya moyo kama bado huna
 
Ile Katiba Mpya ya Wananchi ingepita kipindi kile, muda huu tungekuwa tumesahau uwepo wa vyeo kama hivi vya DC, RC, nk. Lakini pia mamlaka Rais ya kujigeuza mungu tu yangepungua.
 
Raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania Dk Samia suluhu hassan akiwa mkoani pwani amesisitiza viongozi kuwa wabunifu na kutosubiria maelekezo kutoka juu hata hivyo amemtumbua mkuu wa wa wilaya ya mtwara baada ya wananchi kurudisha kadi za chama kwa kisingizio kuwa kuna upinzani mkali wilayani humo ,chanzo cha kutumbuliwa ndoo hicho kwa hiyo hana imani naye tena[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]View attachment 2730337
Anokula naona keki ya taifa watampigia tu
 
Mtwara, Tanzania

ZAIDI YA KADI 250 ZA CCM ZARUDISHWA, HUDUMA MUHIMU ZAFUNGWA MTWARA WAKIDAI SHULE YA KATA.


View: https://m.youtube.com/watch?v=1oF03SnynDI

'Ntwara' kuchele live warudisha kadi za chama dola kongwe cha CCM


Habari kwa kina :
Ripoti za kiuchunguzi Faida Online TV yafika vijiji vya Lyowa na Muungano kuongea na wanavijiji, mwenyekiti wa kijiji, diwani na mkuu wa Wilaya Bw. Hanafi Msabaha ili kupata taarifa kamili :

22 August 2023
Wananchi wa Kijiji cha Lyowa kata ya Muungano Wilaya na Mkoa wa Mtwara wamefunga Shule ya Msingi ya Kijiji hicho, Wamefunga Ofisi ya Mtendaji wa Kijiji, Wamemlazimisha Mwenyekiti wa Kijiji kujiengua katika nafasi hiyo lakini pia zaidi ya Wanachama 250 wa Chama cha Mapinduzi CCM wamerudisha Kadi za Chama hicho wakishinikiza kupewa pesa za Mama Samia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Milioni 560 kwa ajili ya ukamilishaji wa Shule yao ya Sekondari

Faida Online TV tumefika Kijijini hapo na kuzungumza na Wananchi hao, Mwenyekiti aliyelazimishwa kujiweka kando, Pamoja na Mh. Diwani wa Kata hiyo na Baadae kubisha hodi kwenye Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Mh. Hanafi Msabaha.

Source : kwa hisani kubwa ya
Faida Online TV
 
Raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania Dk Samia suluhu hassan akiwa mkoani pwani amesisitiza viongozi kuwa wabunifu na kutosubiria maelekezo kutoka juu hata hivyo amemtumbua mkuu wa wa wilaya ya mtwara baada ya wananchi kurudisha kadi za chama kwa kisingizio kuwa kuna upinzani mkali wilayani humo ,chanzo cha kutumbuliwa ndoo hicho kwa hiyo hana imani naye tena[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]View attachment 2730337
Hivi mkuu wa mkoa/ wilaya ni watumishi wa chama au ni watumishi wa serikali?
Mama ana anza kutuletea yale madesa ya Jpm
 
Hakika wananchi wa Mtwara wanauelewa mpana, wamefikisha ujumbe kwa muhusika mkuu na hatua zimechukuliwa.

Bado suala la bandari la DP World pia linahitaji kushughulikiwa kwa spidi hii hii ya kasi kama hili la Mtwara ...

1693144041063.png
 
24 Aug2023
Mtwara, Tanzania

Wananchi walilia zahanati Kiromba Halmashauri ya Mji Nanyamba mkoani Mtwara


View: https://m.youtube.com/watch?v=8YbIJqr6n3E

Wananchi wa Kijiji cha Kiromba Chini, Kata ya Kiromba Halmashauri ya Mji Nanyamba mkoani Mtwara, wameiomba Serikali kuwapa nguvu katika ujenzi wa Zahanati yao ambayo kwa sasa ipo kwenye hatua ya Msingi.

Wananchi wanachangia kupitia makato wanapouza mazao yao ya kilimo kama korosho lakini bado zahanati hiyo inahitaji kuungwa mkono na serikali ili ujenzi wa jengo zahanati hiyo ikamilike ...
Faida Online TV tumefika Kijijini hapo na kuzungumza na Wananchi hao.
 
Kama raisi kasema Mkuu wa wilaya kahongwa pccb mnasubiri nini kumpeleka huyo ndugu mahakamani!?au mpaka msukumwe
 
Acha wafu wawazike wafu wao
Inanyesha sana kunaanza kuvuja
Mfukuzaji hajatambua mpaka saaa swala la dipiworld limeigawanya sana kijani chama..
Atazidi kushangazwa sijui atafukuza wangapi?
Nchi imegawanyika sana kurudisha tulipokuwa ni kufanya mabadiliko
 
Back
Top Bottom