Rais Samia amtimua Hanafi Hassan Msabaha, Mkuu wa Wilaya ya Mtwara kisa wananchi kurudisha Kadi za CCM

Basi sisi wananchi tumfute kazi rais Samia kwasabb watu wanalalamikia sana mkatataba wa DPW lkn rais Samia hasemi kitu. Yupo kimya na ameahidi kuendelea kunyamaza.

Aidha mhe rais ana muhali au kuna rushwa kubwa imetembezwa na DPW
 
Huyu Hanaf Msabaha ni mtoto wa Msabaha Bangusilo aliyekuwa Waziri wa Nishati enzi za sakata la Richmond?
 
Tuma ndefu, imeishia katikati, "...na wamejenga..."
 
Habari nzuri sana hii. Turudishe kadi.kwa wingi..watimuliwe wengi
 
Mbona yeye hasikilizi kero za watanzania walio wengi juu ya Mkataba wa Bandari?
CHADEMA mtaangaika sana ila nakusaidia tu Rais Samia alishinda Kwa 85% uchaguzi mkuu uliopita na CHADEMA ilipata 13% , Sasa tangu lini 13% ikawa nyingi Kwa 85%?
 
Kwa hiyo hapo tatizo ni kadi za kijani kurudishwa au wananchi kutosikilizwa? Huyu rais vipi ?
 
Ndo maana inabidi wakuu wa mikoa na wilaya wapigiwe kura.
 
Akieleza sababu zilizopelekea uamuzi huo Rais Samia amesema Mkuu huyo wa Wilaya amekuwa akipokea hongo na kuhamisha Miradi inapotakiwa kwenda na kuipelekea sehemu isiyohitajika, kitendo kilichofanya Wananchi kukerwa na kurudisha Kadi za Chama
Sababu ya DC kufukuzwa ndio hizo hapo kwenye 'bold'....hayo ya kadi kurudishwa ni nyongeza tu.
 
Na bado tutazirudisha tena hapa tumezinduliwa toka usingizini. Wajiandae zaidi
 
Wakati mkilaumu dini zisichanganywe na siasa,

Kiongozi wetu, anachanganya Urais na uchama!!

Kuna kosa Gani wananchi kuikataa CCM, ndo democracy yenyewe!!
Chama ndio kinaunda serikali.
 
Kama Uongozi ndio huu naye Mwenye mamkaka na Ulimwengu huu amfute Kazi ...vilio cha vitu kupanda bei, ufinyu wa ajira, mishahara kiduchu kwenye sector binafsi na bado hili la bandari na yeye anaendekeza ukada tu badala ya kutatua kero za wananchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…