RC hana mamlaka hata ya kutoa hati ya kumiliki ardhi, sasa kipande gani cha nchi anamiliki? Lakini Waziri ana uwezo wa kiwaamuru makamishna wa ardhi kufuta hati ya kumiliki ardhi!Hujui katiba wewe! RC anamiliki mkoa Waziri hana kipande cha nchi bwashee
Anayefuta umiliki ni Rais bwashee. Unajua mwenyekiti wa kijiji akitoa ardhi, hakuna anayeweza kuifuta hadi Rais? Unajua mkuu wa mkoa ana bunduki 7 na mpambe wake ni Polisi. Je, Waziri analindwa na nani? Rais ana mpambe ambaye ni JWTZ na mwenyekiti wa kijiji/Mtaa ana bunduki 1 na mpambe wake kikatiba ni Mgambo. Hata makamu wa rais hana mpambe anayevaa kiaskari ujue! Hujui kitu, tunakufundisha unaleta ubishi. Hujui hata Protocal kijanaRC hana mamlaka hata ya kutoa hati ya kumiliki ardhi, sasa kipande gani cha nchi anamiliki? Lakini Waziri ana uwezo wa kiwaamuru makamishna wa ardhi kufuta hati ya kumiliki ardhi!
Sasa RC anamiliki nini?Anayefuta umiliki ni Rais bwashee. Unajua mwenyekiti wa kijiji akitoa ardhi, hakuna anayeweza kuifuta hadi Rais? Unajua mkuu wa mkoa ana bunduki 7 na mpambe wake ni Polisi. Je, Waziri analindwa na nani? Rais ana mpambe ambaye ni JWTZ na mwenyekiti wa kijiji/Mtaa ana bunduki 1 na mpambe wake kikatiba ni Mgambo. Hata makamu wa rais hana mpambe anayevaa kiaskari ujue! Hujui kitu, tunakufundisha unaleta ubishi. Hujui hata Protocal kijana
Ana wizaraHujui kitu nyamaza! RC ana mkoa, Waziri kikatiba ana nini?
Anamiliki mkoa! Mkoa ni wake pamoja na kuwa siku hizi uteuzi ni mbovu, kuna watu wa ovyo, ila kikatiba ni mtu mkubwa katika mkoa wake. Anaown Halmashauri zote ujue. Hivi unajua bajeti ya kijijiSasa RC anamiliki nini?
RC ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama hivyo kuwa na polisi siyo ajabu!Anayefuta umiliki ni Rais bwashee. Unajua mwenyekiti wa kijiji akitoa ardhi, hakuna anayeweza kuifuta hadi Rais? Unajua mkuu wa mkoa ana bunduki 7 na mpambe wake ni Polisi. Je, Waziri analindwa na nani? Rais ana mpambe ambaye ni JWTZ na mwenyekiti wa kijiji/Mtaa ana bunduki 1 na mpambe wake kikatiba ni Mgambo. Hata makamu wa rais hana mpambe anayevaa kiaskari ujue! Hujui kitu, tunakufundisha unaleta ubishi. Hujui hata Protocal kijana
Wizara ni sekta siyo kipande cha nchiAna wizara
Kijana soma katiba vizuri. Analindwa na polisi na bunduki 7 wakati Rais analindwa na bunduki 14 ujueRC ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama hivyo kuwa na polisi siyo ajabu!
Ulikuwa unapata maslai gani binafsi kwa kalemani kuwa waziri na wewe ukiwa msukuma mwenzake?Maza kawaondoa vijana wote wa JPM(Wasukuma) 1. Mashimba, 2. Kalemani. 3. Dotto 4. Ngusa 5. Prof Makubi then kaweka waislam wenzake, kanda ya ziwa wakimchagua huyu maza watakuwa hawana akili
Naona umefurahi sana eti! Nadhani kesho utakuwa miongoni mwa wanafunzi wa sekondari walioombwa kukusanyika sehemu mbalimbali kuadhimisha Miaka Miwili ya Kuupiga Mwingi! Ahahahahaha!!!Wow! Sukuma gang jingine limetupwa jalalani
wasukuma wanaonewa na hii tumbua tumbua yao italeta madhara huko mbeleni.Wow! Sukuma gang jingine limetupwa jalalani
Ukipata muda tuwekee hayo makanun ya utumish wa umma na sis tufute tongoNot necessarily, atapangiwa kazi nyingine!.
Ila pia ninanote demotions za kiaina!.
Mtu alikuwa KM, akapandishwa kuwa Kamishna, halafu sasa anashushwa na kuwa RAS!. It's not fair, kanuni za Utumishi wa umma zifuatwe. Ukimshusha mtu wa level ya PS, mtupe ubalozini!.
P
OkUkipata muda tuwekee hayo makanun ya utumish wa umma na sis tufute tongo
P
Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
Wenzako huwa wanaivuta wanatamka Amaaaaaaandla!Ndio sababu.
Amandla...
Hiyo ni katika mkutano. Mimi sipo kwenye mkutano.Wenzako huwa wanaivuta wanatamka Amaaaaaaandla!
Kwahiyo unataka akivyurubda aachwe kwa kuwa ni Msukuma??wasukuma wanaonewa na hii tumbua tumbua yao italeta madhara huko mbeleni.
Unauhakika??! Afu mwenzio hulingani nayeWow! Sukuma gang jingine limetupwa jalalani
Kulingana naye kivipi? Kwamba yeye hapumui kama mm?Afu mwenzio hulingani naye