Rais Samia amvaa Ndugai. Asema, "Huwezi kuamini mtu mzima ana-argue tozo na mkopo wa Trilioni 1.3"


Watuambie pesa zinakwenda wapi?
 
Huyu mama anapaswa kuelewa nafasi aliyonayo ni nyeti namba moja kitaifa.
Unapoendeleza malumbano ya kike kwa mtu ambaye tayari amejishusha na kuomba msamaha.
Rais wa nchi unapaswa kuonyesha ukomavu wa kisiasa ikiwemo pia kuwavumilia na kuwasamehe wale msioendana kimtizamo.
Mimi binafsi namuona mama kama vile ndie kaingia mtego wa Ndugai.
Vinginevyo siasa ndani ya CCM zitamsumsumbua zaidi, kwani atabaki na kundi la wanafiki kama huyo Mwigulu & wanafiki classics
 
Asante sana Mama kwa kuweka upepo sawa. Sasa na maelezo ya matumizi ya mkopo huo ni muhimu zaidi pia. Ufafanuzi wa matumizi yake watume wasaidizi wako watufafanulie.
 
Mama Yenu Huyo nae kichaa tu kaombwa radhi Bado chokochoko nyingi za nni,
 
Tatizo tuna rais na bunge haramu, wasipatikana kwa uchaguzi na kura halali. Bado dhambi ya kubaka chaguzi iendelee kuwatafuna
 
Ukichokonolewa na ukachokonoka kirahisi, inaonyesha IQ yako ndogo, alafu ukirudia rudia kukumbushia ulikochokonolewa, ndio kabisa unajianika ur lowest IQ & EI yako.

Msichokonoke kirahisi hata mkichonolewa.

 
Hawa akina Ndugai wamemu underate Rais ambaye amekuwa ana wa handle kiungwana wakadhani ni udhaifu.

Sasa ngoja wakabiliane na nguvu ya mwanamke (power of woman)
 
Sasa bunge lifanye kazi yake kwa mujibu wa sheria na katiba hamna uswahiba kati ya bunge na serikali.
 
Nilisema mwanzo nduguy asingeomba msamaha nini maana ya freedom of speech?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…