balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Atatetewa na Mzee Mdee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serikali yake ituambie pesa za makusanyo ya tozo zinakwenda wapi mbona siku hizi hakuna update zozote?
Kwenye hii issue yake na Ndugai kwangu Ndugai ndie mshindi, yeye anafurahia ushindi anaodhani ameupata kwasababu tu kuna kund kubwa la wanafiki nyuma yake wanaojali matumbo yao wako upande wake kwasababu ya mamlaka aliyonayo kama mkuu wa nchi, lakini hajashinda kwa nguvu ya hoja.
Yule bwana ni DHAIFU.Ndugai alitakiwa kubaki na msimamo wake, kama kuvurugana wavurugane kila mmoja aoneshe makali kwa nafasi yake aliyopi
Bhe bhe shiiii!!!!!??Shiii bhaghoshaaaa!!!!
Mama Yenu Huyo nae kichaa tu kaombwa radhi Bado chokochoko nyingi za nni,Kwa hotuba ya leo ya Samia kama Ndugai asipojiuzulu basi hana akili timamu na anatumikia tumbo lake tu. Samia amesema wazi kuwa kilichomsukuma Ndugai kupinga mikopo ni Uchaguzi Mkuu wa 2025. Aidha amesema wale wote wanasioweza kwenda pamoja na yeye katika kuwaletea wananchi maendeleo atawaondoa katika serikali ya ili wapate muda wa kutosha kujiandaa na uchaguzi wa 2025!
I see this tooKuna uwezekano mkubwa nusu ya Wabunge wa sirudi bungeni 2025
Kweli kabisaHii vita spika akiamua kupambana atashinda isitoshe huyu maza hakubaliki popote walio wengi washaona ni mweupe na anatuuza.
Tatizo tuna rais na bunge haramu, wasipatikana kwa uchaguzi na kura halali. Bado dhambi ya kubaka chaguzi iendelee kuwatafunaRais Samia Suluhu Hassan amesema ni Uhuru wa Mtu kusema chochote, lakini inashangaza Mtu anayetegemewa kushirikiana na Serikali kwenye safari ya maendeleo 'kuargue' kuhusu Tozo na Mkopo wa Trilioni 1.3 kwasababu taarifa zote za Uchumi zinapita kwake akisema, "Ni homa (fever) ya 2025, wasameheni"
Ameongeza, "Huwezi kuamini mtu mzima na unaenda kuargue tozo na mkopo wa Trilioni 1.3 kama kwamba ndio kwamba inatokea Tanzania wakati toka tunapata Uhuru ni Mikopo kwenda mbele. Na katika Mikopo yote huu ni mkopo mzuri zaidi"
Aliwekewa mtego yeye na kanasa vibaya,kajidhalilisha jana leo karushiwa kombora,angejua angekomaa tu hii ni zaidi ya aibu.Job anajua anachofanya amemuwekea mama mtego wa panya
Kwa maneno? Kwa hii hotuba ya leo, ya michambo, mama anapotea.Kale katimu kanazidi kudidimizwa kaburini kwa mwendazake
Hawa akina Ndugai wamemu underate Rais ambaye amekuwa ana wa handle kiungwana wakadhani ni udhaifu.Huyu mama anapaswa kuelewa nafasi aliyonayo ni nyeti namba moja kitaifa.
Unapoendeleza malumbano ya kike kwa mtu ambaye tayari amejishusha na kuomba msamaha.
Rais wa nchi unapaswa kuonyesha ukomavu wa kisiasa ikiwemo pia kuwavumilia na kuwasamehe wale msioendana kimtizamo.
Mimi binafsi namuona mama kama vile ndie kaingia mtego wa Ndugai.
Vinginevyo siasa ndani ya CCM zitamsumsumbua zaidi, kwani atabaki na kundi la wanafiki kama huyo Mwigulu & wanafiki classics