TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Yaani mkuu umenivuruga balaa...! Sasa kama Tozo inaweza kulipa deni halisi na interest yake juu, kwa nini tukakope!!TOZO siyo kwa matumizi walioyasema bali ni za kulipia hayo matrilioni plus interest of course.
Hahaha!!! Samia miez nane ila uraisi umemkolea mpaka basi..Kwa hiyo yeye ajiandae peke yake lakini si wenzake wenye nia??? 😊😊
Ni aibu kuishi kwa mikopo,Unakopa kujenje tundu la choo, Madarasa? Tunaweza na Tutajenga bila mikopo.Katika Mikopo yote tuliyowahi kuchukua …huu wa 1.3 trillion ndio una uwazi zaid-Jemedari Job Ndugai 3rd Jan,2022
Aliwahi kumtetea mnyonge yupi huko nyuma? Magufuli alimsifia wazi kwa kuwafungis wapinzani vikao vya bunge ndo kutetea wanyonge huko? Hata ili la mikopo jibu limetolewa ni kujipanga na 2025.Job mtetezi wa wanyonge,
Ni aibu kuishi kwa mikopo,Unakopa kujenje tundu la choo, Madarasa? Tunaweza na Tutajenga bila mikopo.
Kwani mwanamke na mwanamke kugombana kuna tatizo gani wacha wachambaneHayo ndio matokeo ya kugombana na wanawake ndugai atakoma atachambwa hadi achubuke
Kwa hiyo jana alitoa Pichu akabaki na kanzu...mama kalitoa na kanzu lenyewe😁😁😁Mama leo amepiga kwenye mshono.
Ndugai leo 'kavuliwa nguo' na jana alijisahau 'akavua nguo yake ya ndani', sasa leo hana nguo kabisa!!!
Kaongea Utopolo hadi aibu tuna head of state infant kwa hali hii ni hatari sana, anapelekeshwa ataweza siasa n.a. mihadhara Huyu? CCM tutaumbukaRais Samia Suluhu Hassan amesema ni Uhuru wa Mtu kusema chochote, lakini inashangaza Mtu anayetegemewa kushirikiana na Serikali kwenye safari ya maendeleo 'kuargue' kuhusu Tozo na Mkopo wa Trilioni 1.3 kwasababu taarifa zote za Uchumi zinapita kwake akisema, "Ni homa (fever) ya 2025, wasameheni"
Ameongeza, "Huwezi kuamini mtu mzima na unaenda kuargue tozo na mkopo wa Trilioni 1.3 kama kwamba ndio kwamba inatokea Tanzania wakati toka tunapata Uhuru ni Mikopo kwenda mbele. Na katika Mikopo yote huu ni mkopo mzuri zaidi"
Mwanaume huwezi kukaa unapigana mipasho na mmama tena wa pwani, hii ni aibu, ama kumlambalamba miguu kuomba msamaha,Kwa hiyo clip ya mama nashauri ajihuzuru tu kuficha aibu na kulinda heshima ya cheo
Wacha inyeshe tuone panapovujaTunywe mtori nyama tutazikuta chini!
LegacyyyMwanzoni kabisa niliwasikia watu wakisema bunge ni dhaifu.
Spika kaongea kidogo tu watu wamemvaa tena.
Kwahiyo mnataka nini??
Halafu suala la Rais wa nchi kuendelea na hili suala la mikopo ni ufinyu wa akili.
Mtu ameshaomba radhi.
Yeye bado kashikilia bango.
Poor thinking capacity.
Ndugai alitakiwa kubaki na msimamo wake, kama kuvurugana wavurugane kila mmoja aoneshe makali kwa nafasi yake aliyopi
Kutokana na kuwaza zaidi kuhusu 2025 na matarajio yake kupotea Ndugai amejiweka pabaya huenda hata bunge likamwondoa maana amekuwa wazi kabisaa kuonesha dharau kubwa Sana kwa Mh Rais niliwahi kuleta post hapa huyu ndugai anakilichojificha mbeleni hakuamini iKama ile IWE ISIWE NA KUPORA PESA ZA MATIBABU YA LISSU KUNA SIKU MUNGU ASIYELALA ATARUDISHA TUU NA HUU NDIO WAKATI WA NDUGAI KUWAMBWA MSALABANI yeye alitibiwa kwa zaidi Billion 2 hakuona mwenzake kuwa anahitaji matatibabu hayo halafu na mwendazake akashangilia wote hawa Mungu amewaandalia fungu mahali pao hakuna rangi hawataona wakati wa Mungu ukifika
Nimekosa mimi nimekosa sanaMama leo amepiga kwenye mshono.
Ndugai leo 'kavuliwa nguo' na jana alijisahau 'akavua nguo yake ya ndani', sasa leo hana nguo kabisa!!!