Rais Samia amvua hadhi ya Ubalozi Dkt. Slaa

Hajapungukiwa chochote acha kuanzisha nyuzi za kichochezi hapa
 
Kanisa likisha kukataa wewe hufai duniani mpaka mbinguni. Sisi wakatoliki tunajua hivyo.

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Anajihangaisha na mazezeta wa nchi hii?
unapoamua kutumia wale ze comedy wa habari wasio na elimu wala upeo wowote eti kutetea DP World, inaonyesha namna CCM ilivyo chini..
 
Hii huwa inaitwa Kiranga komo.

namhurumia sana slaa kucheza na Rostam Aziz.

Hivi miaka yote ya kwenye siasa hajamjuwa tu ni nani yule?

Namshauri amuulize pengo.
 
Ma ccm majinga sana hata mtoto mdogo asingefanya hivi yaani uelewa wao ni sifuri na sijui wanawezaje kuongoza nchi mpaka hii leo ila mwisho wao unakaribia
 
A
Between soft and hard power,
Mama kachagua kutumia hard power!
 
Nampongeza Mama Samia kwa haya maamuzi magumu. Haiwezekani kulea ujinga unaoathiri watanzania milioni 60. Dr Slaa amestahili hiyo adhabu.
 
PhD ya Theology aliisaliti kwa kuparamia Wanawake na Ubalozi pia kaunajisi kwa kujaribu kukalia ncha ya Mkuki
Haiondoi ukweli kuwa ni msomi na hayo ya kuisaliti ni ya kwako wewe na huwezi kufananisha Udaktari wake na ule wa kupewa.
 
Huyu jamaa watanzania hatumuelewi

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Acha upotoshaji wa kijinga, Slaa hakuvuliwa upadre bali aliamua kuachana na upadre. CDM hakufukuzwa bali aliondoka baada ya CCM kumpokea fisadi Lowassa. Ubalozi wa Tanzania nao ni kitu cha kujivunia, ungekuwa ubalozi wa US hapo wangalau.

Hapa ndio imedhihirika hivi vyeo ni kwa ajili ya kuwafunga watu midomo. Kumvua Slaa ubalozi baada ya kupigania raslimali za nchi ni sifa wala sio aibu. Labda kwenu chawa ndio mnaona ni pigo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…