Pre GE2025 Rais Samia “amzawadia” Millioni 10 Askofu Ruwa’ichi Kwa kutambua mchango wake kwa Kanisa na Taifa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wote wenye sifa za kupewa mkopo walisgapewa wote na pia serikali ya dkt Samia imekiwa ikiongeza mapesa mabilioni kwa mabilioni kila mwaka.kwa ajili ya kuwapatia wanafunzi wote wenye sifa za kupata mikopo.lakini pia kwa sasa pesa ya kujikimu nayo imeongezeka mara dufu jambo ambalo limewapa utulivu wa akili wanafunzi wawapo vyuoni..
 
Siongelei ambao hawajapata naongelea waliokwisha pata ni miezi mitatu imepita wanafunzi hawajapewa stahiki zao... mama yako kutwa kuzunguka na noti kutafuta sifa kwenye mambo ya hovyo... Msichukulie elimu kawaida hii nchi inahitaji wasomi zaidi ya wanasiasa
 
Hata akitembeza rushwa ila ajue siye.
Chuki yako itakuwa bure tu.maana Daktari Samia Suluhu Hasssan ndiye chaguo la watanzania wazalendo,wanaojitambua na wenye akili Timamu. Tunaendelea kudunda na kutamba na Mama yetu mpendwa mpaka 2030 ndio tutaweka breki na kituo .
 
Chuo gani hicho ambacho hawajapata? Maana naona unaropoka ropoka tu hapa kama mlevi wa gongo.
 
Huyo Ruwaichi HAJABUBUJIKWA na machozi ya furaha baada ya kupokea BUNDA LA MANOTI?

Definitely alibubujikwa na kukenua hadi gego la mwisho. Chezea manoti wewe!

Samia anione na mimi anipe hata laki tatu tu ntamlamba hadi visigino na kumuabudu.

Fahari ya kapuku ni kusujudia matajiri.
 
RUSHWA RUSHWA RUSHWA HIYO NI RUSHWA VIONGOZI WA DINI NI WACHUMIA TUMBO
 
Chuo gani hicho ambacho hawajapata? Maana naona unaropoka ropoka tu hapa kama mlevi wa gongo.
We mpumbavu kweli kweli
 
Fanya kazi kwa bidii ,juhudi ,maarifa na nidhamu utapata pesa ya aina yoyote ile unayoihitaji.
 
Wewe hujitambui hata kidogo.embu niondokee hapa ukafie mbele huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…