Pre GE2025 Rais Samia “amzawadia” Millioni 10 Askofu Ruwa’ichi Kwa kutambua mchango wake kwa Kanisa na Taifa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wakatoliki Hawanunuliwi, siyo kila Askofu ni Pengo
Naona CHADEMA mmeanza kupagawa na kuweweseka baada ya kuona Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Anaendelea kuchanja mbuga katika mioyo ya mamilioni ya watanzania
 
Hawa watu ni wenye uelewa mpana. Hivi Samia anadhani anaweza kuwanunua kwa pesa za wafadhiri wake toka nje, wasijue maana ya pesa hiyo ni nini?

Hili ndilo linalonishangaza na huyu mwanamke, kutokuwa na mipaka ya kutafuta watu wenye hadhi ya kuhongeka.

Hili sasa litakuja kumwanika wazi wazi kuhusu uwezo wake wa kutofautisha chawa na wasioweza kuwa chawa kwa bei yoyote ile.

Ngoja nisubiri kumsikia Askofu siku moja akigeuka kuwa chawa wa mama kwa rushwa ya millioni 10!
Mtapata taabu sana mwaka huu ni kupata presha na maradhi mbalimbali pale mtakaposhuhudia Rais wetu mpendwa akiendelea kuungwa mkono na viongozi mbalimbali hapa nchini. Hii ni kwa kuwa Rais Samia ameinuliwa kwa mkono wa Mungu na kupewa kibali na Mungu mwenyewe
 
Nimekwisha kueleza, unayo matatizo makubwa kichwani mwako. Unahitaji msaada.
Mwishowe utadai umezungumza na huyo mungu wako kakueleza yote hayo unayohangaika nayo hapa. Kama siyo ukichaa huo, tuuite kitu gani!
 
Rais Samia Ni Mpango wa Mungu Mwenyewe kumuinua.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge amemzawadia kiasi cha shilingi Milioni 10 Askofu Ruwaichi wa kanisa katoliki Jimbo kuu la Dar es salaam.

Zawadi hiyo ni katika kutambua mchango wake kwa kanisa na Taifa letu kwa ujumla kupitia huduma na uongozi wake.ambapo ni yeye pia aliyeanzisha chuo kikuu cha Mtakatifu Agustino Mwanza pamoja na matawi yake mbalimbali kama vile Mtwara,moshi n.k.lakini pia katika utumishi wake akiwa askofu jimbo kuu la Dar ameweza kuanzisha parokia mbalimbali takribani 100.

Hayo yameelezwa na makamu wa Rais Mheshimiwa Dkt Philipo Isdori Mpango alipomwakilisha Mh Rais wetu kipenzi katika Misa ya Jubilee ya miaka 25 ya uaskofu wa Ruwaichi. Ambapo pamoja na mambo mengine makamu wa Rais amesisitiza Watanzania kuwa na mioyo ya shukurani na kusema asante. kumshukuru Mungu kwa kutupatia uhai na afya njema na hii pumzi tuliyonayo.

Rais wetu kipenzi Anaendelea kuonyesha namna alivyo Rais wa watu wote ,mwenye upendo kwa wote na mwenye kushirikiana vyema na viongozi wetu wa Dini na madhehebu yote. Rais wetu anatambua mchango wa viongozi wa Dini na nafasi yao katika Ustawi wa Taifa letu . ndio maana ya kuamua kumtuma kiongozi namba mbili baada yake kwenda kumuwakilisha.hii yote ni katika kuonyesha heshima na upendo wake mkubwa alio nao katika moyo na kifua chake kwa viongozi wetu wa Dini.

Ndio mama Mama yetu mpendwa amekuwa akishirikiana vyema sana na viongozi wetu hawa wakiroho katika masuala mbalimbali na kuwapa nafasi ya kuwasikiliza pale wanapokuwa na jambo ambalo wangependa kutoa maoni au mawazo yao, kama alivyofanya kwenye suala la uwekezaji bandarini jambo ambalo viongozi wetu walimuelewa vyema na kuondoa hofu waliyokuwa nayo awali na kuamua kumuunga mkono Rais wetu na serikali yake na dhamira yao njema iliyozingatia maslahi mapana kwa Taifa letu. Ambapo ndio maana Tunaendelea kuona amani na utulivu vikiendelea kutamalaki hapa nchini .

Huku umoja na mshikamano ukiendelea kuwa imara miongoni mwa Watanzania ,tukiishi kwa pamoja na kuzungumza lugha moja pasipo kubaguana kwa misingi ya Dini zetu au makabila yetu au jinsia zetu au ukanda tunaotokea.tumebakia kama Taifa moja lililoungana vyema na kushikamana.

Naweka kalamu yangu chini na kuishia hapa. Chanzo cha habari yangu ni Gazeti la Mwananchi la kiswahili. Kama unataka kupata na mengine mengi juu ya habari hii basi nenda kwenye chanzo hicho cha habari hii.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa. Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kenge wa chadema hawataki kusikia
 
Sijajua na sijui kwakweli kwanini viongozi wetu hawa wa dini hawajiEXEMPT na vitu vichafu kama hivyo!?Basi angezielekeza pesa zile kwenye watu wenye uhitaji paleplae alipokabidhiwa na makamu wa Rais!Serikali ingejitahidi kutafuta namna nyingine bora(hata kuwepo na nishani za utambuzi kwa watu wanaofanya mambo mazuri kwa jamii au taifa) ya kuwapongeza.
Tabia ya EXECUTIVE kutumia pesa kila mara kugawagawa inakera.Najiuliza kwani watu wanaofanya vzuri kwenye jamii au Taifa katika nyanja mbalimbali wote wanamotive ya Pesa?Hakuna watu wanaolipigania Taifa badala ya maslahi ya fedha?Yaan siku hizi iwe michezoni tunawapa fedha,kwenye dini ndio hivyo na karibu nyanja zingine zoote,its not correct.Hakuna medali za heshima au utambuzi ambazo mtu anaweza kupewa kama kumbukumbu maishani mwake?!Ni ushamba wa hali ya juu kutumia fedha kama lobbying na kwakweli INAKERA.
 
Machadema nmeumia na mnaumia sana mpoona Rais wetu Anaendelea kuungwa mkono na kukubalika na viongozi mbalimbali wa kidini,wakati ninyi na roho mbaya zenu mnatamani muwe mnaona nyaraka za kuikosoa na kuishambulia serikali yetu. Hizo roho mbaya zenu zitawaueni mwaka huu.
 
Anahonga mpaka mapadree?, CCM ni wapuuzi.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge amemzawadia kiasi cha shilingi Milioni 10 Askofu Ruwaichi wa kanisa katoliki Jimbo kuu la Dar es salaam.

Zawadi hiyo ni katika kutambua mchango wake kwa kanisa na Taifa letu kwa ujumla kupitia huduma na uongozi wake.ambapo ni yeye pia aliyeanzisha chuo kikuu cha Mtakatifu Agustino Mwanza pamoja na matawi yake mbalimbali kama vile Mtwara,moshi n.k.lakini pia katika utumishi wake akiwa askofu jimbo kuu la Dar ameweza kuanzisha parokia mbalimbali takribani 100.

Hayo yameelezwa na makamu wa Rais Mheshimiwa Dkt Philipo Isdori Mpango alipomwakilisha Mh Rais wetu kipenzi katika Misa ya Jubilee ya miaka 25 ya uaskofu wa Ruwaichi. Ambapo pamoja na mambo mengine makamu wa Rais amesisitiza Watanzania kuwa na mioyo ya shukurani na kusema asante. kumshukuru Mungu kwa kutupatia uhai na afya njema na hii pumzi tuliyonayo.

Rais wetu kipenzi Anaendelea kuonyesha namna alivyo Rais wa watu wote ,mwenye upendo kwa wote na mwenye kushirikiana vyema na viongozi wetu wa Dini na madhehebu yote. Rais wetu anatambua mchango wa viongozi wa Dini na nafasi yao katika Ustawi wa Taifa letu . ndio maana ya kuamua kumtuma kiongozi namba mbili baada yake kwenda kumuwakilisha.hii yote ni katika kuonyesha heshima na upendo wake mkubwa alio nao katika moyo na kifua chake kwa viongozi wetu wa Dini.

Ndio mama Mama yetu mpendwa amekuwa akishirikiana vyema sana na viongozi wetu hawa wakiroho katika masuala mbalimbali na kuwapa nafasi ya kuwasikiliza pale wanapokuwa na jambo ambalo wangependa kutoa maoni au mawazo yao, kama alivyofanya kwenye suala la uwekezaji bandarini jambo ambalo viongozi wetu walimuelewa vyema na kuondoa hofu waliyokuwa nayo awali na kuamua kumuunga mkono Rais wetu na serikali yake na dhamira yao njema iliyozingatia maslahi mapana kwa Taifa letu. Ambapo ndio maana Tunaendelea kuona amani na utulivu vikiendelea kutamalaki hapa nchini .

Huku umoja na mshikamano ukiendelea kuwa imara miongoni mwa Watanzania ,tukiishi kwa pamoja na kuzungumza lugha moja pasipo kubaguana kwa misingi ya Dini zetu au makabila yetu au jinsia zetu au ukanda tunaotokea.tumebakia kama Taifa moja lililoungana vyema na kushikamana.

Naweka kalamu yangu chini na kuishia hapa. Chanzo cha habari yangu ni Gazeti la Mwananchi la kiswahili. Kama unataka kupata na mengine mengi juu ya habari hii basi nenda kwenye chanzo hicho cha habari hii.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa. Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
anaglitoa msikitini JF pasingalitosha. TEC na akina Dk Slaa wangalikuja na kauli nzito. Lkn namsihi rais Samia apunguze maana sisi waislam tunaamini Swadakal jaria hua inaendelea. sasa sijui itakuaje kusaidia makanisa?
 
Back
Top Bottom