Pre GE2025 Rais Samia “amzawadia” Millioni 10 Askofu Ruwa’ichi Kwa kutambua mchango wake kwa Kanisa na Taifa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Machadema nmeumia na mnaumia sana mpoona Rais wetu Anaendelea kuungwa mkono na kukubalika na viongozi mbalimbali wa kidini,wakati ninyi na roho mbaya zenu mnatamani muwe mnaona nyaraka za kuikosoa na kuishambulia serikali yetu. Hizo roho mbaya zenu zitawaueni mwaka huu.
Ooh kumbe lengo lilikuwa hilo oh sawa.Kwamba mnahisi viongozi wengine wa dini wataumia na kujutia kuwa upande wa wanaoonewa wakiona jinsi waliochagua kukaa kimya wanavyopata vibunda!
Poleni sana aisee,watu wengi waliomo kwenye wito wala hawana shobo na pesa!
Nnauhakika huenda hata Ruwaich hajafurahishwa isipokuwa tu hawez kuREBUCK hadharani na kama ameridhia na kufurahia labda awe mtu wa system lakini Padre mwenye wito haswaa wale hawez furahia ujinga huo!
 
Naona unaugulia maumivu makubwa sana yanayotokana na wivu na chuki zako binafsi
 
Ukishaona mtu anaita mtu mwingine kwa jina refu kama kamba ya kata ya kutekea maji katika kisima kirefu, jua basi huyu mtu anamuabudu huyo mtu mwingine na kumuona ndie MUNGU wake na anamtukuza jambo ambalo vitabu vya imani zote vimekataza.

Kimsingi unachoandika hapa ni muendelezo wa upumbavu wa raia wachache wasio na utimamu wa akili.
 
Mwambie hao hata akiwahonga, kesho akivurunda watamwambia tu ukweli. Kamwe hawatanyamaza

Na akumbuke hao watu hawana njaa, na pia siyo wachumia tumbo kama akina Zitto.
Mnaumia sana mioyo yenu baada ya kuona kila mtu na kila kundi linamuunga mkono Mh Rais wetu mpendwa.
 
Kumuunga mkono kuna uhusiano gani na kutoa rushwa? Mwambie awe mfano wa kuigwa kwenye kupiga vita rushwa! Na siyo kuikumbatia. Akumbuke rushwa ni adui wa haki.
 
Unaelewa maana ya rushwa? Au umeamka na kimiminika kichwani.
 
Hivi we jamaa huwa unalipwa kwa kazi ya kusifia? Unasifia mpaka unazidisha sifa too much extreme. Kwani ukiandika bila kusifia sana hutaeleweka? Nyie ndio mnaokuza na kutukuza dhana ya uchawa
 
Mimi sisifii ndugu yangu bali naandika UKWELI tu.
 
Ukishaona mtu anaita mtu mwingine kwa jina refu kama kamba ya kata ya kutekea maji katika kisima kirefu, jua basi huyu mtu anamuabudu huyo mtu mwingine na kumuona ndie MUNGU wake na anamtukuza jambo ambalo vitabu vya imani zote vimekataza.

Kimsingi unachoandika hapa ni muendelezo wa upumbavu wa raia wachache wasio na utimamu wa akili.
Naona hasira zako zinatokana na watanzania kuendelea kumuunga mkono kwa kishindo Mheshimiwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mama Samia.wakati wenye roho mbaya na chuki aina yako mlikuwa mnataka kuona Rais akishambuliwa kwa maneno machafu muda wote.
 
Rais Samia Ni Mpango wa Mungu Mwenyewe kumuinua.
Inawezekana, kutokana na akili yako hii, ukadhani wewe ndiye mungu mwenyewe mwenye "Mpango wa kumuinua Samia." Usifikiri natania, nenda kawaone wataalam wakusaidie kwa maradhi yako haya.
 
Huwezi ukaona hoja ikiwa umeshindwa kuipa nafasi akili yako kufanya kazi kwa uhuru
Unatumia maneno tu bila hata kujuwa unalenga nini. "...kuipa nafasi akili kufanya kazi kwa uhuru.", unajuwa maana yake ni nini?
Akili yenye kuathirika kama yako inao uhuru gani?
 
Back
Top Bottom