Pre GE2025 Rais Samia “amzawadia” Millioni 10 Askofu Ruwa’ichi Kwa kutambua mchango wake kwa Kanisa na Taifa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Usikute alieandika apa ni mtoto wa kiume
 
Uchawa mtupu unasifu uongo hadi unatia aibu.
 
Lucas, kuna wakati hufanyi kosa lolote kuleta habari ya jambo lililotokea, lakini uwasilishaji wako ndiyo unaoleta ukakasi na watu kuipuuza habari uliyoileta.

Hayo mambo sijui chuma cha reli, mioyo ya watanzania inabubujika machozi ya furaha, n.k; nadhani unaamini yanapamba habari kumbe yanaifubaza habari nzima.

Kwani ukiileta habari yenyewe kama ilivyo, kuna tatizo gani?
 
Kwa kawaida huwa sisomi mada za aina hii, hasa zinazoletwa hapa na huyu. Lakini kichwa cha mada kimenistua.

Kama habari hii ni ya kweli, basi naona kila mtu mwenye ushawishi wa aina yoyote ile, hii pesa inayomwagwa ndani ya nchii hii sasa kuelekea kwenye chaguzi itakuwa ni ya bure kabisa.
Hivi hawa waarabu kweli wanaweza kutudharau kiasi hiki?
 
Usipende kuandika vitu ukiwa umelewa pombe na kutotambua hata unachoandika na unachojibu.
 
Usipende kuandika vitu ukiwa umelewa pombe na kutotambua hata unachoandika na unachojibu.
Sasa leo unataka kunihusisha kwenye upumbavu wako humu jukwaani?
Tutaacha kuzungumzia upumbavu ulioweka hapa, badala yake nitakufundisha adabu.
 
Mwambie mama yako aache huu utaratibu wake mara moja wa kuanza kutembeza rushwa za waziwazi kwa viongozi wetu wa dini.
Hawa watu ni wenye uelewa mpana. Hivi Samia anadhani anaweza kuwanunua kwa pesa za wafadhiri wake toka nje, wasijue maana ya pesa hiyo ni nini?

Hili ndilo linalonishangaza na huyu mwanamke, kutokuwa na mipaka ya kutafuta watu wenye hadhi ya kuhongeka.

Hili sasa litakuja kumwanika wazi wazi kuhusu uwezo wake wa kutofautisha chawa na wasioweza kuwa chawa kwa bei yoyote ile.

Ngoja nisubiri kumsikia Askofu siku moja akigeuka kuwa chawa wa mama kwa rushwa ya millioni 10!
 
Nchi Hatari Kwa Machawa:-

1. Afganistan

2.Sudan

3. South Sudan

4. Libya

5. Mozambique

Huko sifia upumbavu uone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…