Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
-
- #81
Rais Samia Ni fahari ya watanzania na chaguo la mamilioni ya watanzaniaLabda kwako na familia yako.
Hongera kwa kuwa chawa.
Kaza mattyakko iko siku nawe utaendeshwa ndani ya Vieitii..))!!(())(())
Ooh kumbe lengo lilikuwa hilo oh sawa.Kwamba mnahisi viongozi wengine wa dini wataumia na kujutia kuwa upande wa wanaoonewa wakiona jinsi waliochagua kukaa kimya wanavyopata vibunda!Machadema nmeumia na mnaumia sana mpoona Rais wetu Anaendelea kuungwa mkono na kukubalika na viongozi mbalimbali wa kidini,wakati ninyi na roho mbaya zenu mnatamani muwe mnaona nyaraka za kuikosoa na kuishambulia serikali yetu. Hizo roho mbaya zenu zitawaueni mwaka huu.
BICHWA KOMWE - yupo sahihi! Hizo pesa tungepewa sisi tunaojitafuta sio kupeana matajiri kwa matajiriFanya kazi kwa bidii ,juhudi ,maarifa na nidhamu utapata pesa ya aina yoyote ile unayoihitaji.
Nitakupa Mwenyewe ephen. Mama ni mtu wa watu .ndio maana anapendwa na kukubalika na kila mtanzania mwenye akili Timamu na anayejitambua vizuriBICHWA KOMWE - yupo sahihi! Hizo pesa tungepewa sisi tunaojitafuta sio kupeana matajiri kwa matajiri
Mimi kanichukulie kibunda changu kwa mama
Sawa nasubiri🤸Nitakupa Mwenyewe ephen. Mama ni mtu wa watu .ndio maana anapendwa na kukubalika na kila mtanzania mwenye akili Timamu na anayejitambua vizuri
Naona unaugulia maumivu makubwa sana yanayotokana na wivu na chuki zako binafsiOoh kumbe lengo lilikuwa hilo oh sawa.Kwamba mnahisi viongozi wengine wa dini wataumia na kujutia kuwa upande wa wanaoonewa wakiona jinsi waliochagua kukaa kimya wanavyopata vibunda!
Poleni sana aisee,watu wengi waliomo kwenye wito wala hawana shobo na pesa!
Nnauhakika huenda hata Ruwaich hajafurahishwa isipokuwa tu hawez kuREBUCK hadharani na kama ameridhia na kufurahia labda awe mtu wa system lakini Padre mwenye wito haswaa wale hawez furahia ujinga huo!
Mwambie hao hata akiwahonga, kesho akivurunda watamwambia tu ukweli. Kamwe hawatanyamazaAcha ushetani wako hapa na wivu wako.
Mnaumia sana mioyo yenu baada ya kuona kila mtu na kila kundi linamuunga mkono Mh Rais wetu mpendwa.Mwambie hao hata akiwahonga, kesho akivurunda watamwambia tu ukweli. Kamwe hawatanyamaza
Na akumbuke hao watu hawana njaa, na pia siyo wachumia tumbo kama akina Zitto.
Kumuunga mkono kuna uhusiano gani na kutoa rushwa? Mwambie awe mfano wa kuigwa kwenye kupiga vita rushwa! Na siyo kuikumbatia. Akumbuke rushwa ni adui wa haki.Mnaumia sana mioyo yenu baada ya kuona kila mtu na kila kundi linamuunga mkono Mh Rais wetu mpendwa.
Unaelewa maana ya rushwa? Au umeamka na kimiminika kichwani.Kumuunga mkono kuna uhusiano gani na kutoa rushwa? Mwambie awe mfano wa kuigwa kwenye kupiga vita rushwa! Na siyo kuikumbatia. Akumbuke rushwa ni adui wa haki.
Acha kukaza fuvu. Nimekupa maagizo. Yatekeleze. Sitaki majibizano. Sawa?Unaelewa maana ya rushwa? Au umeamka na kimiminika kichwani.
Mimi sisifii ndugu yangu bali naandika UKWELI tu.Hivi we jamaa huwa unalipwa kwa kazi ya kusifia? Unasifia mpaka unazidisha sifa too much extreme. Kwani ukiandika bila kusifia sana hutaeleweka? Nyie ndio mnaokuza na kutukuza dhana ya uchawa
Naona hasira zako zinatokana na watanzania kuendelea kumuunga mkono kwa kishindo Mheshimiwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mama Samia.wakati wenye roho mbaya na chuki aina yako mlikuwa mnataka kuona Rais akishambuliwa kwa maneno machafu muda wote.Ukishaona mtu anaita mtu mwingine kwa jina refu kama kamba ya kata ya kutekea maji katika kisima kirefu, jua basi huyu mtu anamuabudu huyo mtu mwingine na kumuona ndie MUNGU wake na anamtukuza jambo ambalo vitabu vya imani zote vimekataza.
Kimsingi unachoandika hapa ni muendelezo wa upumbavu wa raia wachache wasio na utimamu wa akili.
Inawezekana, kutokana na akili yako hii, ukadhani wewe ndiye mungu mwenyewe mwenye "Mpango wa kumuinua Samia." Usifikiri natania, nenda kawaone wataalam wakusaidie kwa maradhi yako haya.Rais Samia Ni Mpango wa Mungu Mwenyewe kumuinua.
'mungu' ambaye ni wewe, au siyo?Rais Samia Ni Mpango wa Mungu Mwenyewe kumuinua.
Unatumia maneno tu bila hata kujuwa unalenga nini. "...kuipa nafasi akili kufanya kazi kwa uhuru.", unajuwa maana yake ni nini?Huwezi ukaona hoja ikiwa umeshindwa kuipa nafasi akili yako kufanya kazi kwa uhuru